Ushindi wa magu utakuwa mtamu haaaa labda ashinde njaa sio kura wewe angalia makundi haya
1 wavuvi
2 vyeti feki
3 bomoabomoa
4 kutopandishwa mishahara na madaraja
5 ajira vijana wengi wahitimu vyuo wapo tu
6 watuwanaishi kama sio nchi yao hofu nikubwa sana
7 ubaguzi wa vyama hanauwezo wakuonganisha mawazo anataka kuongoza kama famillia yake anasahau kuwa nchi ni umma
Nk anachomokea wapi lisu amegombea amemkuta magu kavuruga maeneo hayo sana yaloikuwa yanataka kumbeba magu niflyover mvua 1 tu kwisha habari y ake siwanasema urais nikazi ngumu mbona wanaitaka kwanguvu hatakama imemshida?