johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Siasa ni sayansi meku!Kumbe na wewe ni mtu mzima lakini matendo yako mbona ni ya hovyo sasa mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa ni sayansi meku!Kumbe na wewe ni mtu mzima lakini matendo yako mbona ni ya hovyo sasa mkuu?
Hahahha.. Baada ya tarehe 28 tunaijua kauli yenu mtakayokuja nayo humu, "tumeibiwa"Hii hali siyo ya sawa sawa kwa mgombea urais wa CCM Mpya, kuna jambo lakini anajitahidi kulificha.
Hivi hawezi kujitoa ktk mbio za urais ? Maana kushinda haiwezekani mwaka huu, nadhani hapa kulilia Gwajima anaombea miujiza lakini anajua haiwezi kutokea na anaonesha frustration kali za kudanganywa na kina Humphrey Polepole na Dr. Bashiru Ally Kakurwa
CCM imekusaidia nini sasa?Siasa ni sayansi meku!
Hawa jamaa ni mbumbumbu mkuu!Kupokelewa hivyo sio ndio kushinda ndugu...nakuhakikishia hata hapo Lissu awezi mshinda magufuli
Mnaanzisha uzi ili muwatukane Watu wengine bila ya Sababu msicho kijua ni kuwa mna pandikiza chuki zaidi,sio ustaarabu na sio busara hata kidogo Ndugu zangu.
Mbona mzee Kama kakasirika sanaHuyu anashindaje? [emoji3]View attachment 1600414
[emoji3][emoji3][emoji3]Unafikiri una delete kama unavyo delete meseji za mpenzi wako wa faraga alizosema Lisu?Delete ccm Oct 28
HatutakubaliTume inamatokeo tayari
Products za kiggo hizo mkuuKumbe ndio mna ushabiki wa maandazi wengine bado mnanuka maziwa
Labda nikusaidie,CCM imekusaidia nini sasa?
Mkuu inaonekana wewe ni mtu mzima lakini kichwani kuna shida sana, watu wanatekwa, wanabambikwa kesi za uhujumu uchumi, watumishi wanateswa, wengine wanapotezwa na huyu mgombea wako, kweli kama una akili timamu unaweza kumchagua?Labda nikusaidie,
Mwaka 1992 nilizijaribu siasa za upinzani kwa kujiunga na CHADEMA pale Kisutu Majamatini kwenye ofisi ya rip Ndesamburo ambapo ndio ilikuwa ofisi ya muda ya chama kabla Bob makani hajajitolea kale kanyumba kake pale Ufipa.
1995 nilifurahishwa na siasa za NCCR mageuzi baada ya komandoo Marando kumleta Lyatonga Mrema so niliachana na CHADEMA kilichoaminika kusheheni vijana wa kichaga japo walikuwepo akina Makani, Ngaiza, Kabouru, Mwakitwange ambao hawakuwa wamachame.
1997 nilirejea CCM baada ya kugundua vyama vya upinzani vimekosa agenda ya amani.
CCM ni chama cha AMANI, hiyo ndio faida kuu ninayoifurahia bwashee!
Hakuna watu katili kama wale waliotuhumiwa kumdedisha Chacha Wangwe.Mkuu inaonekana wewe ni mtu mzima lakini kichwani kuna shida sn, watu wanatekwa, wanabambikwa kesi za uhujumu uchumi, watumishi wanateswa, wengine wanapotezwa na huyu mgombea wako, kweli kama una akili timamu unaweza kumchagua?
Kwa hiyo wavunja sheria wasimpomchagua ndio hashindi? Kumbe hao watu ni wengi kuliko watz wote eti ee?Ushindi wa magu utakuwa mtamu haaaa labda ashinde njaa sio kura wewe angalia makundi haya
1 wavuvi
2 vyeti feki
3 bomoabomoa
4 kutopandishwa mishahara na madaraja
5 ajira vijana wengi wahitimu vyuo wapo tu
6 watuwanaishi kama sio nchi yao hofu nikubwa sana
Nk anachomokea wapi lisu amegombea amemkuta magu kavuruga maeneo hayo sana yaloikuwa yanataka kumbeba magu niflyover mvua 1 tu kwisha habari y ake siwanasema urais nikazi ngumu mbona wanaitaka kwanguvu hatakama imemshida?
Mbona unachama?Tangu chaguzi za vyama vingi zianze tumezoea kuona wagombea urais wa upinzani ambao wamewahi kuwa wanachama wa CCM au TANU huko nyuma.
Sina hakika kama huyu Tundu Lissu aliwahi kupitia chipukizi au UVCCM wakati akiwa mwanafunzi ila siasa za " ukubwani" amezianzia NCCR mageuzi.
Ndio kusema kwa mara e kwanza CCM inakutana na mpinzani wa kweli tangu mfumo wa vyama vingi uasisiwe.
Maana yake ni kwamba ushindi wa Rais Magufuli hapo Oktoba 28 utakuwa mtamu sana kupita chaguzi zote zilizotangulia.
Maendeleo hayana vyama!
Hakuna kuvunja sheria sana ni uonezi vyeti feki wamezalisha watumishi wengi sana inakuaje walio zalishwa halali wazalishaji haramKwa hiyo wavunja sheria wasimpomchagua ndio hashindi? Kumbe hao watu ni wengi kuliko watz wote eti ee?
Lisi atachaguliwa na Amsterdam. Kumbuka bado siku 13 ili Amsterdam ampokee baby wake akiwa ana lia kwa uchungu mkubwa.
Hizo hasira tu, watajeMajibu yao yahovyo utasikia wajiajiri mbona wao watoto wao wameshindwa kujiajiri ukitaka niwataje nipo tayari
Sina hakika kama inaruhusiwa kuwataja majina lakini tumeona marais wastafu na mawaziri wastafu na watu kushika nafasi mbalimbali mpaka wake wa maraisi na mawaziri wakuu wanagombea ubunge kwanini wasijajiri nawao?Hizo hasira tu, wataje