Uchaguzi 2020 Ushindi wa CCM mwaka huu utakuwa mtamu sana kwa sababu Dkt. Magufuli atamshinda mpinzani wa kweli Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Ushindi wa CCM mwaka huu utakuwa mtamu sana kwa sababu Dkt. Magufuli atamshinda mpinzani wa kweli Tundu Lissu

Hii hali siyo ya sawa sawa kwa mgombea urais wa CCM Mpya, kuna jambo lakini anajitahidi kulificha.

Hivi hawezi kujitoa ktk mbio za urais ? Maana kushinda haiwezekani mwaka huu, nadhani hapa kulilia Gwajima anaombea miujiza lakini anajua haiwezi kutokea na anaonesha frustration kali za kudanganywa na kina Humphrey Polepole na Dr. Bashiru Ally Kakurwa
Hahahha.. Baada ya tarehe 28 tunaijua kauli yenu mtakayokuja nayo humu, "tumeibiwa"
 
Kupokelewa hivyo sio ndio kushinda ndugu...nakuhakikishia hata hapo Lissu awezi mshinda magufuli
Hawa jamaa ni mbumbumbu mkuu!

Mimi nmegundua humu tunabishana na watu walikuja na Tundu toka ubelgiji, inaonekana kabisa hata hii juzi tu 2015 walikuwa bado wapo shule za msingi au sekondari
 
Hv unadhn mataga wanaweza kuwa na akili???
Mnaanzisha uzi ili muwatukane Watu wengine bila ya Sababu msicho kijua ni kuwa mna pandikiza chuki zaidi,sio ustaarabu na sio busara hata kidogo Ndugu zangu.
 
Sijawahi kuona timu yenye uwezo na inayojiamini ikajichagulia referee..
 
CCM imekusaidia nini sasa?
Labda nikusaidie,
Mwaka 1992 nilizijaribu siasa za upinzani kwa kujiunga na Chadema pale kisutu majamatini kwenye ofisi ya rip Ndesamburo ambapo ndio ilikuwa ofisi ya muda ya chama kabla Bob makani hajajitolea kale kanyumba kake pale Ufipa.

1995 nilifurahishwa na siasa za Nccr mageuzi baada ya komandoo Marando kumleta Lyatonga Mrema so niliachana na Chadema kilichoaminika kusheheni vijana wa kichagga japo walikuwepo akina Makani, Ngaiza, Kabouru, Mwakitwange ambao hawakuwa wamachame.

1997 nilirejea CCM baada ya kugundua vyama vya upinzani vimekosa agenda ya amani.

CCM ni chama cha AMANI, hiyo ndio faida kuu ninayoifurahia bwashee!
 
Labda nikusaidie,
Mwaka 1992 nilizijaribu siasa za upinzani kwa kujiunga na CHADEMA pale Kisutu Majamatini kwenye ofisi ya rip Ndesamburo ambapo ndio ilikuwa ofisi ya muda ya chama kabla Bob makani hajajitolea kale kanyumba kake pale Ufipa.

1995 nilifurahishwa na siasa za NCCR mageuzi baada ya komandoo Marando kumleta Lyatonga Mrema so niliachana na CHADEMA kilichoaminika kusheheni vijana wa kichaga japo walikuwepo akina Makani, Ngaiza, Kabouru, Mwakitwange ambao hawakuwa wamachame.

1997 nilirejea CCM baada ya kugundua vyama vya upinzani vimekosa agenda ya amani.

CCM ni chama cha AMANI, hiyo ndio faida kuu ninayoifurahia bwashee!
Mkuu inaonekana wewe ni mtu mzima lakini kichwani kuna shida sana, watu wanatekwa, wanabambikwa kesi za uhujumu uchumi, watumishi wanateswa, wengine wanapotezwa na huyu mgombea wako, kweli kama una akili timamu unaweza kumchagua?
 
Mkuu inaonekana wewe ni mtu mzima lakini kichwani kuna shida sn, watu wanatekwa, wanabambikwa kesi za uhujumu uchumi, watumishi wanateswa, wengine wanapotezwa na huyu mgombea wako, kweli kama una akili timamu unaweza kumchagua?
Hakuna watu katili kama wale waliotuhumiwa kumdedisha Chacha Wangwe.

Tatizo wewe bado mdogo unadhani asali ndio tamu kupita vitu vyote hapa duniani, ngoja ukue utajua kuna vitamu zaidi ya asali!
 
Ushindi wa magu utakuwa mtamu haaaa labda ashinde njaa sio kura wewe angalia makundi haya
1 wavuvi
2 vyeti feki
3 bomoabomoa
4 kutopandishwa mishahara na madaraja
5 ajira vijana wengi wahitimu vyuo wapo tu
6 watuwanaishi kama sio nchi yao hofu nikubwa sana
7 ubaguzi wa vyama hanauwezo wakuonganisha mawazo anataka kuongoza kama famillia yake anasahau kuwa nchi ni umma
Nk anachomokea wapi lisu amegombea amemkuta magu kavuruga maeneo hayo sana yaloikuwa yanataka kumbeba magu niflyover mvua 1 tu kwisha habari y ake siwanasema urais nikazi ngumu mbona wanaitaka kwanguvu hatakama imemshida?
 
Ushindi wa magu utakuwa mtamu haaaa labda ashinde njaa sio kura wewe angalia makundi haya
1 wavuvi
2 vyeti feki
3 bomoabomoa
4 kutopandishwa mishahara na madaraja
5 ajira vijana wengi wahitimu vyuo wapo tu
6 watuwanaishi kama sio nchi yao hofu nikubwa sana
Nk anachomokea wapi lisu amegombea amemkuta magu kavuruga maeneo hayo sana yaloikuwa yanataka kumbeba magu niflyover mvua 1 tu kwisha habari y ake siwanasema urais nikazi ngumu mbona wanaitaka kwanguvu hatakama imemshida?
Kwa hiyo wavunja sheria wasimpomchagua ndio hashindi? Kumbe hao watu ni wengi kuliko watz wote eti ee?

Lisi atachaguliwa na Amsterdam. Kumbuka bado siku 13 ili Amsterdam ampokee baby wake akiwa ana lia kwa uchungu mkubwa.
 
Tangu chaguzi za vyama vingi zianze tumezoea kuona wagombea urais wa upinzani ambao wamewahi kuwa wanachama wa CCM au TANU huko nyuma.

Sina hakika kama huyu Tundu Lissu aliwahi kupitia chipukizi au UVCCM wakati akiwa mwanafunzi ila siasa za " ukubwani" amezianzia NCCR mageuzi.

Ndio kusema kwa mara e kwanza CCM inakutana na mpinzani wa kweli tangu mfumo wa vyama vingi uasisiwe.

Maana yake ni kwamba ushindi wa Rais Magufuli hapo Oktoba 28 utakuwa mtamu sana kupita chaguzi zote zilizotangulia.

Maendeleo hayana vyama!
Mbona unachama?
 
Kwa hiyo wavunja sheria wasimpomchagua ndio hashindi? Kumbe hao watu ni wengi kuliko watz wote eti ee?

Lisi atachaguliwa na Amsterdam. Kumbuka bado siku 13 ili Amsterdam ampokee baby wake akiwa ana lia kwa uchungu mkubwa.
Hakuna kuvunja sheria sana ni uonezi vyeti feki wamezalisha watumishi wengi sana inakuaje walio zalishwa halali wazalishaji haram
Wavuvi jamaa walipo fika wanasema tupimeni nyavu baada yavipimo majibu zipo sawa ila tunataka pesa kamahuna tunachoma nakuziteka engeine
Nyumba kunawatu wamejenga kwakula ugali nachumvi alafu unabomoa bila kumlipa
Ajira katika eneo pana nihapa wazazi wamejifirisi kwaajili yakusomesha watoto ili waajiriwe wameuza mashamba .biashara kama maduka wamefilisika wengine nyumba zimeenda kwamikopo ilikijana amalize chuo leo etihamna ajira
Majibu yao yahovyo utasikia wajiajiri mbona wao watoto wao wameshindwa kujiajiri ukitaka niwataje nipo tayari
Tunataka rais atakaetoa majibu kwa watz sio rais wakutuacha na maswali kilasiku
 
Hizo hasira tu, wataje
Sina hakika kama inaruhusiwa kuwataja majina lakini tumeona marais wastafu na mawaziri wastafu na watu kushika nafasi mbalimbali mpaka wake wa maraisi na mawaziri wakuu wanagombea ubunge kwanini wasijajiri nawao?
 
Back
Top Bottom