Ushindi wa Jesica Magufuli unatuma ujumbe gani Chadema?

Maswa Yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
1,398
Reaction score
2,619
Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?

Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!

Kitendo cha wananchi kuendelea kuiamini familia ya Rais Magufuli ni somo tosha kwa vichwa ngumu Chadema kwa legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi.

Jesca Magufuli, Bulembo na wengine moshi mweupe viti maalumu UVCCM | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/ucha...ngine-moshi-mweupe-viti-maalumu-uvccm-5140384
 
Tanzania na watanzania wanamilikiwq na familia zisizohata kubalika na wakulima,walalanjaa,wala mlo mmoja kwa siku na hata ile jamii yenye uhakika wa milo yote ishauriwayo kiafya na hata ilejamii lafii,inayo kwapua kutoka kwa Mtanganyika Mtanzania wa tabaka la kawaida.
 
Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?
Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!
Kitendo cha wananchi kuendelea kuiamini familia ya Rais Magufuli ni somo tosha kwa vichwa ngumu Chadema kwa legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi.

Jesca Magufuli, Bulembo na wengine moshi mweupe viti maalumu UVCCM | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/ucha...ngine-moshi-mweupe-viti-maalumu-uvccm-5140384
Anachaguliwa kwa kura? Kama baba yake mwenyewe alikuwa anapora chaguzi, yeye anashindaje? Unatakiwa kuwa mjinga sana kuamini hao familia za viongozi kama wanashinda kwa kura halali. Rejea Ridhiwani, Salma Kikwete nk
 
Sisi CHADEMA tunalaani kwa nguvu zetu zote kitendo cha CCM kuwapitisha watoto na wake za viongozi wa zamani na vigogo wengine serikalini kuwa wabunge tena kwa kuwapitisha bila kupingwa!
 
Anachaguliwa kwa kura? Kama baba yake mwenyewe alikuwa anapora chaguzi, yeye anashindaje? Unatakiwa kuwa mjinga sana kuamini hao familia za viongozi kama wanashinda kwa kura halali. Rejea Ridhiwani, Salma Kikwete nk
Kura zimehesabiwa hadharani
 
Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?
Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!
Kitendo cha wananchi kuendelea kuiamini familia ya Rais Magufuli ni somo tosha kwa vichwa ngumu Chadema kwa legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi.

Jesca Magufuli, Bulembo na wengine moshi mweupe viti maalumu UVCCM | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/ucha...ngine-moshi-mweupe-viti-maalumu-uvccm-5140384
Wajinga na machawa mnazidi kuongezeka sasa Mtoto wa Magufuli na Chadema vinahusika vipi?

Chadema hata zile form Katibu Mkuu JJ Mnyika hakuzisaini kumaanisha hawatoahiriki uchaguzi mkuu kwa kanuni na Sheria zilizopo chini ya hii tume
 
Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?

Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!

Kitendo cha wananchi kuendelea kuiamini familia ya Rais Magufuli ni somo tosha kwa vichwa ngumu Chadema kwa legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi.

Jesca Magufuli, Bulembo na wengine moshi mweupe viti maalumu UVCCM | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/ucha...ngine-moshi-mweupe-viti-maalumu-uvccm-5140384
Amechaguliwa na wananchi wangapi??
 
Hivi Tanzania kuna uchaguzi? Ujumbe hauwezi kutolewa kwa njia za kijinga namna hii. Kwanza hii ni ghilba ya Samia ya kuwachota wasukuma akili na siyo kuwa anawapenda....
 
Kwanza hajashinda amekuwa wa pili, wa kwanza amekuwa Kamani. Pia mtoto wa Samiah naye kachaguliwa kupitia Zanzibar. Hakuna jipya mbona wa
 
Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?

Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!

Kitendo cha wananchi kuendelea kuiamini familia ya Rais Magufuli ni somo tosha kwa vichwa ngumu Chadema kwa legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi.

Jesca Magufuli, Bulembo na wengine moshi mweupe viti maalumu UVCCM | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/ucha...ngine-moshi-mweupe-viti-maalumu-uvccm-5140384
Chadema watakufa na stress kabisa.
 
Back
Top Bottom