Mh! Kazi ipo! Yaani mtoto ahukumiwe kwa mambo ya baba tena?Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?
Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!
Kitendo cha wananchi kuendelea kuiamini familia ya Rais Magufuli ni somo tosha kwa vichwa ngumu Chadema kwa legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi.
Jesca Magufuli, Bulembo na wengine moshi mweupe viti maalumu UVCCM | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/ucha...ngine-moshi-mweupe-viti-maalumu-uvccm-5140384
Tanzania imeshitakiwa MIGA ya wapi?Come up for air already.
Ni wajinga tu ambao hawaoni kazi Njema iliyotukuka aliyofanya JPMChadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?
Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!
Kitendo cha wananchi kuendelea kuiamini familia ya Rais Magufuli ni somo tosha kwa vichwa ngumu Chadema kwa legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi.
Jesca Magufuli, Bulembo na wengine moshi mweupe viti maalumu UVCCM | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/ucha...ngine-moshi-mweupe-viti-maalumu-uvccm-5140384
Kwani kachaguliwa na Wananchi?Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?
Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!
Kitendo cha wananchi kuendelea kuiamini familia ya Rais Magufuli ni somo tosha kwa vichwa ngumu Chadema kwa legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi.
Jesca Magufuli, Bulembo na wengine moshi mweupe viti maalumu UVCCM | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/ucha...ngine-moshi-mweupe-viti-maalumu-uvccm-5140384
Habari za kesi zipo mtandaoni hata nyingine zilifukiwa settlement. Labda hukuwa humu wakati zinatoka.Tanzania imeshitakiwa MIGA ya wapi?
Unajua sasa hivi asilimia inazopata Tanzania kutoka kwenye madini?
Acacia iliyokuwa inatetewa na Lisu iko wapi?
SawaChadema Wana focus na vitu vikubwa, siyo wabunge wa viti maalumu
Kwa nini mkuuMtoto wa kiongozi anayepaswa kupitishwa bila kupingwa ni Jesca tu! Takataka zingine zote zikale baba zao walipopeleka mboga..
HakikaHuenda chadema inahusika na kile kifo.