Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
😁😁Waulize hukohuko Maswa watakujibu
Tanzania na watanzania wanamilikiwq na familia zisizohata kubalika na wakulima,walalanjaa,wala mlo mmoja kwa siku na hata ile jamii yenye uhakika wa milo yote ishauriwayo kiafya na hata ilejamii lafii,inayo kwapua kutoka kwa Mtanganyika Mtanzania wa tabaka la kawaida.Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?
Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!
Kitendo cha wananchi kuendelea kuiamini familia ya Rais Magufuli ni somo tosha kwa vichwa ngumu Chadema kwa legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi.
Jesca Magufuli, Bulembo na wengine moshi mweupe viti maalumu UVCCM | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/ucha...ngine-moshi-mweupe-viti-maalumu-uvccm-5140384
Anachaguliwa kwa kura? Kama baba yake mwenyewe alikuwa anapora chaguzi, yeye anashindaje? Unatakiwa kuwa mjinga sana kuamini hao familia za viongozi kama wanashinda kwa kura halali. Rejea Ridhiwani, Salma Kikwete nkChadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?
Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!
Kitendo cha wananchi kuendelea kuiamini familia ya Rais Magufuli ni somo tosha kwa vichwa ngumu Chadema kwa legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi.
Jesca Magufuli, Bulembo na wengine moshi mweupe viti maalumu UVCCM | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/ucha...ngine-moshi-mweupe-viti-maalumu-uvccm-5140384
Sisi CHADEMA tunalaani kwa nguvu zetu zote kitendo cha CCM kuwapitisha watoto na wake za viongozi wa zamani na vigogo wengine serikalini kuwa wabunge tena kwa kuwapitisha bila kupingwa!Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?
Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!
Kitendo cha wananchi kuendelea kuiamini familia ya Rais Magufuli ni somo tosha kwa vichwa ngumu Chadema kwa legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi.
Jesca Magufuli, Bulembo na wengine moshi mweupe viti maalumu UVCCM | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/ucha...ngine-moshi-mweupe-viti-maalumu-uvccm-5140384
Kura zimehesabiwa hadharaniAnachaguliwa kwa kura? Kama baba yake mwenyewe alikuwa anapora chaguzi, yeye anashindaje? Unatakiwa kuwa mjinga sana kuamini hao familia za viongozi kama wanashinda kwa kura halali. Rejea Ridhiwani, Salma Kikwete nk
Wajinga na machawa mnazidi kuongezeka sasa Mtoto wa Magufuli na Chadema vinahusika vipi?Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?
Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!
Kitendo cha wananchi kuendelea kuiamini familia ya Rais Magufuli ni somo tosha kwa vichwa ngumu Chadema kwa legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi.
Jesca Magufuli, Bulembo na wengine moshi mweupe viti maalumu UVCCM | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/ucha...ngine-moshi-mweupe-viti-maalumu-uvccm-5140384
Yaani uchaguzi wa ccm unatuletea habari hizo? Ama unadhani tunashoboka kihivyo? Hata hivyo cdm walimtuhumu dhalimu magu kwa tabia yake binafsi, na sio familia yake. Ni hivi, dhalimu yuko motoni, hutaki jinyonge.Kura zimehesabiwa hadharani
Amechaguliwa na wananchi wangapi??Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?
Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!
Kitendo cha wananchi kuendelea kuiamini familia ya Rais Magufuli ni somo tosha kwa vichwa ngumu Chadema kwa legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi.
Jesca Magufuli, Bulembo na wengine moshi mweupe viti maalumu UVCCM | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/ucha...ngine-moshi-mweupe-viti-maalumu-uvccm-5140384
Hivi Tanzania kuna uchaguzi? Ujumbe hauwezi kutolewa kwa njia za kijinga namna hii. Kwanza hii ni ghilba ya Samia ya kuwachota wasukuma akili na siyo kuwa anawapenda....Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?
Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo!
Kitendo cha wananchi kuendelea kuiamini familia ya Rais Magufuli ni somo tosha kwa vichwa ngumu Chadema kwa legacy ya Magufuli ipo na itaendelea kuwatesa kwa miaka mingi.
Jesca Magufuli, Bulembo na wengine moshi mweupe viti maalumu UVCCM | Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/ucha...ngine-moshi-mweupe-viti-maalumu-uvccm-5140384
Chadema watakufa na stress kabisa.Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana?