Ushindi wa Jesica Magufuli unatuma ujumbe gani Chadema?

Hivi Tanzania kuna uchaguzi? Ujumbe hauwezi kutolewa kwa njia za kijinga namna hii. Kwanza hii ni ghilba ya Samia ya kuwachota wasukuma akili na siyo kuwa anawapenda....
Utakufa na stress wewe.
 
Tusipeleke ushetani wa marehemu baba yake Kwa mwanae.
tuje tumuhukumu Kwa matendo yake.sio baba yake
 
Ana kisasi ndani yake, hajaingia kwa bahati mbaya
 
Chadema watakufa na stress vipi wakati hata form hawakusaini?
Mbona watanganyika mmekuwa wajinga kupitiliza?
Na wewe una matatizo ya ubongo. Mimi nimemwambia huyo niliyemquote. Tumia ubongo wako vizuri.
 
Wewe utakuwa ni Bongotole! Maana sijaona sababu ya msingi ya kuihusisha Chadema kwenye uchaguzi wa ndani wa ccm! Yaani makada wanawake wa ccm mmekutana wenyewe huko vichochoroni, mkateuana! Halafu unakuja kuihusisha Chadema!! Hopeless kabisa wewe.
 
Alaaaa hivi Huwa ni lazima uwe Mbumbumbu kwanza ndio uwe Mwanaccm?.


Sasa ushinde wa viti maalumu wa JM, unann Cha kufanya juu ya CHADEMA?.
 
Mwamba Magufuli ni legacy ya kisiasa na maendeleo ya nchi hii. Hakuna wa kuiondoa au kuivuruga!!!
 
Kwamba Jesca wa ccm amechaguliwa na wana ccm hapa chadema inaingiaje? Acheni kuweweseka, chadema yenyewe hata uchaguzi haishiriki, mngewauliza akina zitto na hashim rungwe kwamba wanapata ujumbe gani maana hao ndio washindani wenu
 

Why chadema and not cuf au chauma,
 
Hujatumia ubongo wako vizuri.Kosa la mtu mmoja haliiwajibishi jumuiya yote anayoishi nayo au kumzunguka.Uliwahi kuona wapi mtoto afanye uhalifu halafu mzazi au shangazi yake ahukumiwe? Nonsense! Jaribu kitu kingine.
 
Wewe utakuwa ni Bongotole! Maana sijaona sababu ya msingi ya kuihusisha Chadema kwenye uchaguzi wa ndani wa ccm! Yaani makada wanawake wa ccm mmekutana wenyewe huko vichochoroni, mkateuana! Halafu unakuja kuihusisha Chadema!! Hopeless kabisa wewe.
Jamaa ni mkebe sana.
 
Mimi sio ccm na wale sio cdm lkn Mimi ni nimuumini wa kuongea ukweli..raisi ambaye alipendwa sana hapa Tanzania ni magufuli amechapa kazi na muda wowote alikuwa anaongea kwa bakora km h h polepole anavyosema kuwa kwa nchi km Tanzania huwezi kuongoza kwa kuongea na kalamu,ongea kwa fimbo .
 
Kwani akachaguliwa na wananchi au wajumbe wa ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…