Ushindi wa Jesica Magufuli unatuma ujumbe gani Chadema?

Mh! Kazi ipo! Yaani mtoto ahukumiwe kwa mambo ya baba tena?
 
Come up for air already.
Tanzania imeshitakiwa MIGA ya wapi?

Unajua sasa hivi asilimia inazopata Tanzania kutoka kwenye madini?
Acacia iliyokuwa inatetewa na Lisu iko wapi?
 
Ni wajinga tu ambao hawaoni kazi Njema iliyotukuka aliyofanya JPM
 
Kwani kachaguliwa na Wananchi?
 
Tanzania imeshitakiwa MIGA ya wapi?

Unajua sasa hivi asilimia inazopata Tanzania kutoka kwenye madini?
Acacia iliyokuwa inatetewa na Lisu iko wapi?
Habari za kesi zipo mtandaoni hata nyingine zilifukiwa settlement. Labda hukuwa humu wakati zinatoka.

Niko tayari kubet asilimia tunazopata kwa sasa huzijui.

Yote haya hayana uhusiano na wajumbe kadhaa wa kamati za CCM kumchagua binti yake huwa mbunge wa viti maalumu

Kansa ya koo ni hatari, jichunge.
 
Mtoto wa kiongozi anayepaswa kupitishwa bila kupingwa ni Jesca tu! Takataka zingine zote zikale baba zao walipopeleka mboga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…