Ushindi wa kishindo uliopata CCM kwenye uchaguzi mdogo ni ishara ya kukubalika Kwa Rais Samia. Upinzani ujipange kweli kushindana na CCM ya Samia

Kunapofuka Moshi moto unawaka na dalili ya mvua ni mawingu, wahenga walisema. Rais Samia anakubalika, anapendwa na anahitajika mno na watanzania na watanzania watafanya juu chini kumheshimisha. Nasema haya Sasa ili kukae tukijua kwenye akili zetu kwamba CCM ni jabali.

Tumeshuhudia ushindi wa kishindo uliopata CCM kwenye uchaguzi mdogo na hii ni wingu lenye dalili ya mvua ya ushindi uchanguzi ujao wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

Huu ni ushauri Kwa wote wenye kuelewa na kusikia Kwa sababu wananchi wameamua kufanya kweli kwenye chaguzi zijazo, CCM itashinda Kwa kishindo, Rais Samia atavunja rekodi ya ushindi aliopata JPM 2020 ni vema upinzani ikapambana na Ubunge na udiwani na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,Rais Samia aachwe awe mgombea pekee wa urais.
Kwanini isiwe ushahidi wa wizi wa kishindo? Unaweza hakikisha uhalalali wake🤔
 
Kunapofuka Moshi moto unawaka na dalili ya mvua ni mawingu, wahenga walisema. Rais Samia anakubalika, anapendwa na anahitajika mno na watanzania na watanzania watafanya juu chini kumheshimisha. Nasema haya Sasa ili kukae tukijua kwenye akili zetu kwamba CCM ni jabali.

Tumeshuhudia ushindi wa kishindo uliopata CCM kwenye uchaguzi mdogo na hii ni wingu lenye dalili ya mvua ya ushindi uchanguzi ujao wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

Huu ni ushauri Kwa wote wenye kuelewa na kusikia Kwa sababu wananchi wameamua kufanya kweli kwenye chaguzi zijazo, CCM itashinda Kwa kishindo, Rais Samia atavunja rekodi ya ushindi aliopata JPM 2020 ni vema upinzani ikapambana na Ubunge na udiwani na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,Rais Samia aachwe awe mgombea pekee wa urais.
Sema wizi wa kishindo CCM haijawai kushinda
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ukitaka kujua watu wamelichoka hilo Chama la majizi, pitia uone jinsia uchaguzi huo ulivyokuwa na wapiga kura wachache. Kama hivi ndio kukubalika, basi wazungu huwa hawakosei kutuita manyani.
Duh 🙄.
Yaani tunaitwa ni mamonkey ??!
Wanatukosea adabu !!
 
Narudia tena ni rahisi Ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko upinzani kuishinda CCM ya Dkt.Samia
 
Back
Top Bottom