akikujibu nistue,kwenye ngumi huu ushindi wa round unakuwaje mkuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akikujibu nistue,kwenye ngumi huu ushindi wa round unakuwaje mkuu??
Kuna sheria wanaitumia ya Annonimous Decision kama sijakosea spelling,ni ivi mtu akiwa anatetea mkanda ktk majaji watatu,wawili wakiwa mfano kwa pacquiano mmoja akiwa kwa may weather huo ni ubingwa wa mtetezi.inatakiwa kumvua mtu mkanda majaji woote wawe kwako,pambano la 47 may wether alipigwa vibaya na Margentina sema sheria iyo kandamizi ikambeba na imeendelea kumbeba,wanasema may weather won by annonimous decision.
Firstly,siyo annonimous, ni Unanimous. Secondly,siyo kwa sababu mtu ana mkanda ndio untumia unanimous decision kumvua mkanda. Unanimous decision maana yake ni decision ya pamoja ya majaji walio kuwa wakijudge pambano. Decision nyingine inayoweza kutokea kwa majaji ni Majority na Draw.Knock Out unaipata baada ya kumpa kichapo kikali mwenzio mpaka anasurrender.
Kwenye Unanimous decision ni Kwamba woote wametoa score on your favour i.e majaji woote wamekupa point za ushindi wewe. Na score haziko based kwenye kurusha ngumi nyiiiiingi bila mpango. Zinabase kwenye kurusha ngumi za maana kwenye uso wa mpinzani wako. Na hicho ndicho kimempa ushindi Floyd. Pacman alikuwa anarusha ngumi nyingi lakini nyingi zilikuwa hazimfikii mpinzani wake. Mayweather alikuwa anarusha kwa accuracy kubwa sana na kuzuia sana. Kifupi Pacman alikuwa anafanya kama Man Utd jana, Posession 80%, mpinzani wako anatumia nafasi muhimu anakutoa nje.
Manny Pacquiao:
It was a good fight. I got him many times. I saw the punches. I thought I won the fight. He is moving around, it is not easy to throw a lot of punches. I can handle his power. He is not strong like some others. He's not bigger than me, the size doesn't matter, I have fought bigger guys
UNANIMOUS DECISIONKuna sheria wanaitumia ya Annonimous Decision kama sijakosea spelling,ni ivi mtu akiwa anatetea mkanda ktk majaji watatu,wawili wakiwa mfano kwa pacquiano mmoja akiwa kwa may weather huo ni ubingwa wa mtetezi.inatakiwa kumvua mtu mkanda majaji woote wawe kwako,pambano la 47 may wether alipigwa vibaya na Margentina sema sheria iyo kandamizi ikambeba na imeendelea kumbeba,wanasema may weather won by annonimous decision.
Kashinda mechi nyingi mno na hajui kupoteza mechi mpaka bado una shaka naye?
Kuna sheria wanaitumia ya Annonimous Decision kama sijakosea spelling,ni ivi mtu akiwa anatetea mkanda ktk majaji watatu,wawili wakiwa mfano kwa pacquiano mmoja akiwa kwa may weather huo ni ubingwa wa mtetezi.inatakiwa kumvua mtu mkanda majaji woote wawe kwako,pambano la 47 may wether alipigwa vibaya na Margentina sema sheria iyo kandamizi ikambeba na imeendelea kumbeba,wanasema may weather won by annonimous decision.
Firstly,siyo annonimous, ni Unanimous. Secondly,siyo kwa sababu mtu ana mkanda ndio untumia unanimous decision kumvua mkanda. Unanimous decision maana yake ni decision ya pamoja ya majaji walio kuwa wakijudge pambano. Decision nyingine inayoweza kutokea kwa majaji ni Majority na Draw.Knock Out unaipata baada ya kumpa kichapo kikali mwenzio mpaka anasurrender.
Kwenye Unanimous decision ni Kwamba woote wametoa score on your favour i.e majaji woote wamekupa point za ushindi wewe. Na score haziko based kwenye kurusha ngumi nyiiiiingi bila mpango. Zinabase kwenye kurusha ngumi za maana kwenye uso wa mpinzani wako. Na hicho ndicho kimempa ushindi Floyd. Pacman alikuwa anarusha ngumi nyingi lakini nyingi zilikuwa hazimfikii mpinzani wake. Mayweather alikuwa anarusha kwa accuracy kubwa sana na kuzuia sana. Kifupi Pacman alikuwa anafanya kama Man Utd jana, Posession 80%, mpinzani wako anatumia nafasi muhimu anakutoa nje.
in boxing what count is not number of punches thrown, but punches landed on target.
mayweather registered many good punches on targets and indeed absorbed very few. layman in boxing may be fooled by pacman useless combinations on mayweather body and gloves.