Ushindi wa Mayweather utata

Ushindi wa Mayweather utata

Watu pambano lao la mwisho la ngumi kutizama lilikuwa la Tyson.

Mayweather na Pac ndio wamewatazama leo.

Walikuwa wanafurahi ngumi zilitupwa tu, hawajui ata points zinakuwa vp.

Mwisho wa siku leo nao ni wataalam wa ngumi.
 
Utata uko wapi wakati judges wote unanimously wamempa Floyd?
Angalieni in slow motion round zote majibu mtapata unless mna makengeza
Pac ni mtoto
Go Floyd
 
Weza kabebwa tu..msitumie hoja eti kurusha ngumi nyingi si kuwa zilimpata..kuna haja ya kuangalia mara tatu na zaidi hili pambano angalau mjiridhishe kuwa jamaa kabebwa..tatizo mmarekani asingekubali kushindwa koz game hii ilikuwa na sura ya kidiplomasia na utaifa rather than sura ya kimchezo..haki mbinguni
 
Kuna sheria wanaitumia ya Annonimous Decision kama sijakosea spelling,ni ivi mtu akiwa anatetea mkanda ktk majaji watatu,wawili wakiwa mfano kwa pacquiano mmoja akiwa kwa may weather huo ni ubingwa wa mtetezi.inatakiwa kumvua mtu mkanda majaji woote wawe kwako,pambano la 47 may wether alipigwa vibaya na Margentina sema sheria iyo kandamizi ikambeba na imeendelea kumbeba,wanasema may weather won by annonimous decision.

Unakijua unachokiongea we mtu? Maidana hakumpiga Mayweather.
 
Firstly,siyo annonimous, ni Unanimous. Secondly,siyo kwa sababu mtu ana mkanda ndio untumia unanimous decision kumvua mkanda. Unanimous decision maana yake ni decision ya pamoja ya majaji walio kuwa wakijudge pambano. Decision nyingine inayoweza kutokea kwa majaji ni Majority na Draw.Knock Out unaipata baada ya kumpa kichapo kikali mwenzio mpaka anasurrender.

Kwenye Unanimous decision ni Kwamba woote wametoa score on your favour i.e majaji woote wamekupa point za ushindi wewe. Na score haziko based kwenye kurusha ngumi nyiiiiingi bila mpango. Zinabase kwenye kurusha ngumi za maana kwenye uso wa mpinzani wako. Na hicho ndicho kimempa ushindi Floyd. Pacman alikuwa anarusha ngumi nyingi lakini nyingi zilikuwa hazimfikii mpinzani wake. Mayweather alikuwa anarusha kwa accuracy kubwa sana na kuzuia sana. Kifupi Pacman alikuwa anafanya kama Man Utd jana, Posession 80%, mpinzani wako anatumia nafasi muhimu anakutoa nje.

Sijui boxing,ila kwa maelezo yako na jinsi nilivyoangalia game napata jibu kuwa Manpack kampiga Floyd,ila Floyd kamshinda Manpack.
 
Manny Pacquiao:

It was a good fight. I got him many times. I saw the punches. I thought I won the fight. He is moving around, it is not easy to throw a lot of punches. I can handle his power. He is not strong like some others. He's not bigger than me, the size doesn't matter, I have fought bigger guys

Dunia ili simama kuangalia upuuzi. Pambano lililokuwa na tension kubwa kiasikile then lime kuwa kawaida saana. Nilitegemea kuona fantastic punches from both side lakini haikuwa hivyo. Maywether amekuwa akijihami katika round zoote. Yes ameshinda, lakini ushindi wake hauna stimulation yoyote.

My take. Pambano halikustahili kupewa heshima kiasi kile.
 
Myweather ameharibu radha ya mchezo wa ngumi
 
Kuna sheria wanaitumia ya Annonimous Decision kama sijakosea spelling,ni ivi mtu akiwa anatetea mkanda ktk majaji watatu,wawili wakiwa mfano kwa pacquiano mmoja akiwa kwa may weather huo ni ubingwa wa mtetezi.inatakiwa kumvua mtu mkanda majaji woote wawe kwako,pambano la 47 may wether alipigwa vibaya na Margentina sema sheria iyo kandamizi ikambeba na imeendelea kumbeba,wanasema may weather won by annonimous decision.
UNANIMOUS DECISION

swissme
 
Kashinda mechi nyingi mno na hajui kupoteza mechi mpaka bado una shaka naye?

Bondia Mzuri ni yule ambae ktk historia yake ya Ngumu, yapo mapamabano ambayo ameshindwa, Hili May kapendelewa, kwanza mpaka kavimbishwa mdomo. Bado kapewa ubingwa.

Tusubiri likirudiwa.
 
Kuna sheria wanaitumia ya Annonimous Decision kama sijakosea spelling,ni ivi mtu akiwa anatetea mkanda ktk majaji watatu,wawili wakiwa mfano kwa pacquiano mmoja akiwa kwa may weather huo ni ubingwa wa mtetezi.inatakiwa kumvua mtu mkanda majaji woote wawe kwako,pambano la 47 may wether alipigwa vibaya na Margentina sema sheria iyo kandamizi ikambeba na imeendelea kumbeba,wanasema may weather won by annonimous decision.

!
!
we mbona muongo hivyo? duh Unanimous decisicion maana yake majaji wote wamekupa ushindi. Split decision maana yake majaji wametofautiana ila wengi I.e. wawili wamesema umrshinda. Na kwa taarifa yako score cards za leo ni zote kwa myweather 118/110, 116/113 na 116/112 and the winner by unanimous decicision still undefeated Floy Myweather.
 
Firstly,siyo annonimous, ni Unanimous. Secondly,siyo kwa sababu mtu ana mkanda ndio untumia unanimous decision kumvua mkanda. Unanimous decision maana yake ni decision ya pamoja ya majaji walio kuwa wakijudge pambano. Decision nyingine inayoweza kutokea kwa majaji ni Majority na Draw.Knock Out unaipata baada ya kumpa kichapo kikali mwenzio mpaka anasurrender.

Kwenye Unanimous decision ni Kwamba woote wametoa score on your favour i.e majaji woote wamekupa point za ushindi wewe. Na score haziko based kwenye kurusha ngumi nyiiiiingi bila mpango. Zinabase kwenye kurusha ngumi za maana kwenye uso wa mpinzani wako. Na hicho ndicho kimempa ushindi Floyd. Pacman alikuwa anarusha ngumi nyingi lakini nyingi zilikuwa hazimfikii mpinzani wake. Mayweather alikuwa anarusha kwa accuracy kubwa sana na kuzuia sana. Kifupi Pacman alikuwa anafanya kama Man Utd jana, Posession 80%, mpinzani wako anatumia nafasi muhimu anakutoa nje.

yaa nashukuru kwa kunielekeza maaana mkuu,ila nachokizungumza ndicho kinachotokea maana nina mapambano meengi nimeona na matokeo kama ya leo.na pia mpira sio mfano wa ngumi huko tukuache ukitaka kuja huko toa uzi wake,ngumi toa mifano ya ngumi zilizopita unakuja kwenye mpira tena,umeisema man ww timu gani?
 
in boxing what count is not number of punches thrown, but punches landed on target.
mayweather registered many good punches on targets and indeed absorbed very few. layman in boxing may be fooled by pacman useless combinations on mayweather body and gloves.
 
Thank you
 
Wale majaji kama sio wao wamebet basi rafiki zao watakua wamebet wanaenda kugawana mzigo pasu kwa pasu.
 
Firstly,siyo annonimous, ni Unanimous. Secondly,siyo kwa sababu mtu ana mkanda ndio untumia unanimous decision kumvua mkanda. Unanimous decision maana yake ni decision ya pamoja ya majaji walio kuwa wakijudge pambano. Decision nyingine inayoweza kutokea kwa majaji ni Majority na Draw.Knock Out unaipata baada ya kumpa kichapo kikali mwenzio mpaka anasurrender.

Hapo kwenye red kivingine huwa wanasema won by "split decision" in favour kwa mshindi....shule yako mkuu imetulia!!!
 
Utata uko wapi wakati judges wote unanimously wamempa Floyd?
It's not about how many punches you throw, but how many punches landed.
Angalieni in slow motion round zote majibu mtapata unless mna makengeza
Pac ni mtoto
Go Floyd
 
anyway mbeleko imehusika... Bg up majaji najua nanyie baadae mnaenda kuchukua mpunga wenu.. Kwakazi mliyoifanya ila ukweli ni kwamba mayweather kadumdwa vibaya.. Hizo ngumi alizokua anarusha mayweather alikua anampiga nani..ngumi zimeingia siasa jaman
 
Back
Top Bottom