20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
After spending the whole night up waiting for the fight, I also just had a fight with sleep and guess what, it has also won by anonymous decision.
Let me dive into my bed now.
Hahha, hii nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
After spending the whole night up waiting for the fight, I also just had a fight with sleep and guess what, it has also won by anonymous decision.
Let me dive into my bed now.
Mchezo haukufurahisha kwa kuwa wengi walitegemea pambano kali la kutwangana makonde mazito hadi kieleweke. Katika boxing mbinu ni nyingi za kushinda ikiwemo kutompatia mwenzako nafasi nyingi za kupiga kitu ambacho Mayweather alifanya na Manu hakupata mbinu ya kujibu. Mayweather ameshinda kihalali japo kwa style ambayo ni kinyume na matarajio wengi. Naona kidogo inafanana na Chelsea anavyosogelea ubingwa kwa mchezo usiovutia lakini wako strategic sana kuondoka na ushindi mdogo wa bao moja moja wakijua wanaekekea kutimiza lengo lao. Kufunga mabao mengi kwao sio la msingi. Ushindi mdogo unawapa point 3 na zinatosha kwa kuwa hawana mpinzani wa karibu wa points. Mi naona ni professionalism at its best. Mayweather na Morino are pure professionals and I admire that. We piga kelele zako wee wao wanatekeleza mikakati yao bila masihara.
My weather kabebwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Weza kabebwa tu..msitumie hoja eti kurusha ngumi nyingi si kuwa zilimpata..kuna haja ya kuangalia mara tatu na zaidi hili pambano angalau mjiridhishe kuwa jamaa kabebwa..tatizo mmarekani asingekubali kushindwa koz game hii ilikuwa na sura ya kidiplomasia na utaifa rather than sura ya kimchezo..haki mbinguni
Sijui umekula maharagwe ya wapi wewe...Majaji wenyewe wametoa points 10-9..sasa Sijui ngumi nyiingi blank unasemea zipi, manake tulioshuhudia na hata ile preview wameonesha jinsi ngumi zikivyotua kwa Weather!! Na amekumbatia zaidi Weather kwa PAC...hembu check round ya 6...!!nadhani hamuelewi kitu hapa,
Fahamu kwanza points zinapatikana vipi kwenye masumwi,
Pacquiao alikuwa anapiga blank nyingi sana
Maymoney alikuwa akipiga, kweli kapiga
My weather kabebwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wewe nawe sijui wa wapi....Haya nakupa maneno ya PAC, manake yaonesha hata humwelewi anachoongea..Yuko live on ESPN right now. Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!
Anakiri kuwa amepigwa kihalali.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
Mtakula maneno yenu leo. Mayweather ndio dume