Ushindi wa Mayweather utata

Ushindi wa Mayweather utata

After spending the whole night up waiting for the fight, I also just had a fight with sleep and guess what, it has also won by anonymous decision.

Let me dive into my bed now.

Hahha, hii nzuri
 
Owk
Kwanza kabisa style walizotumia zimechangia kufanya haya matokeo.
Pac alicheza Othodox, yaan unamshambulia adui bila kumpa nafasi.
Na style hii mara nyingi kama umekusudia kumtoa knock out adui.
Alicheza vema kama angekutana na mtu wa style yake angeza shinda.
Combinations saba ila hazikumpatia matokeo. Ngumi nyingi zilipotea, hapa nielewe kuwa zilitua mahali ambako hakumpatii point.
Round ya tano speed ikaisha.

Money man yeye alitumia Rope a dope.
Unamchokoza adui na kumkimbia, huku ukimkejeli ili kumharibia malengo.
Ulishuhudia jamaa alivyokuwa akimsogezea uso adui. Alimdanganya. Alikuwa anajaa kwenye kona na hapa mpinzani (pac man alikuwa anakuja kwa nguvu maana kwa style yake eneo kama hili ni rahisi kummaliza adui) Myweather alikuwa anajua hilo na ndo maana akawa anachepuka kwa haraka kukimbia au kumfumbata.
Alikuwa anatupa ngumi za mbali pia.
Hakuwa anatupa ngumi nzito ila zilikuwa zinafika.
Kujihami pia ilikuwa balaa. Na laiti kama Pac man angekuwa hajatulia yan angepanic angepigwa, maana mchezo huu jazba au kukamia kukizidi ni tatizo.
Hivyo ndivyo alivyoshinda.
 
Isanga family ni ile ya mbeya? kama ndiyo mlitisha mazee.. tulikuwa tunapita kwa adabu zote huko
 
Last edited by a moderator:
Pacquiao amerusha jumla ya ngumi 429, na zilizompata mpinzani wake (Money) ni 81.
Hii ni asilimia 19%.

Mayweather amerusha jumla ya ngumi 435, na zilizompata mpinzani wake (Pacman) ni 148.
Hii ni asilimia 34%.
 
Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
 
Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!

Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
 
Jamani tuache ushabiki tujue taratibu za mchezo ,kiukweli ungekuwa ni mpira ningekwambia ni arsenal v chelsea ..mmoja ni bingwa wa kuzuia mwingine bingwa wa kushambulia na kukaa na mpira(kumiliki pambano) kiukweli kama wewe ni mzoefu wa ngumi za uswahilini ungesema mayweather mwoga, but hiyo ndo staili yake kudefend zaidi na ngumi nyingi za kudokoa ambazo kwa mashabiki wa kawaida hatuzipendi na tunaweza tusione madhara yake na kwenye tv mara nyingi hazina reply lakini ndizo zinatoa point za ushindi coz majaji hawahesabu uzito wa ngumi wanahesabu umepiga ngumi ngapi na ngapi zimetua usoni kwa mpinzani wako na sio mikononi ,mabegani au tumboni its real kwa maumivu ya kibinadamu mayweather kaumizwa coz ngumi nyingi nzito zilimkuta zaidi ya pacqiao lakini kwenye swala la nani kagusa uso wa mwenzake mara nyingi ni mayweather na ushindi ni kutoka kwa majaji wote wa tatu..angalia kiambatanishi uelewe zaidi.
 
Attachments

  • SCORE CARD.jpeg
    SCORE CARD.jpeg
    50.7 KB · Views: 755
Mchezo haukufurahisha kwa kuwa wengi walitegemea pambano kali la kutwangana makonde mazito hadi kieleweke. Katika boxing mbinu ni nyingi za kushinda ikiwemo kutompatia mwenzako nafasi nyingi za kupiga kitu ambacho Mayweather alifanya na Manu hakupata mbinu ya kujibu. Mayweather ameshinda kihalali japo kwa style ambayo ni kinyume na matarajio wengi. Naona kidogo inafanana na Chelsea anavyosogelea ubingwa kwa mchezo usiovutia lakini wako strategic sana kuondoka na ushindi mdogo wa bao moja moja wakijua wanaekekea kutimiza lengo lao. Kufunga mabao mengi kwao sio la msingi. Ushindi mdogo unawapa point 3 na zinatosha kwa kuwa hawana mpinzani wa karibu wa points. Mi naona ni professionalism at its best. Mayweather na Morino are pure professionals and I admire that. We piga kelele zako wee wao wanatekeleza mikakati yao bila masihara.

Ha ha ha ha ha ha a ha ha ha ha ha ha a ha ha ha ha ha ha ha ha nacheka kwa furahaa tu mkuu money kashinda na Leo chama langu linatangazwaa bingwaa n furahaa iliyojaa moyon mwangu
 
mimi nilikuwa nasikia live redioni,sasa mbona watangazaji walijua May kashinda na walidai many katika mapambano yake yote hili lilikuwa baya baada ya raundi ya 5 hakuwepo ulingoni
 
Yuko live on ESPN right now. Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!
Anakiri kuwa amepigwa kihalali.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
 
Weza kabebwa tu..msitumie hoja eti kurusha ngumi nyingi si kuwa zilimpata..kuna haja ya kuangalia mara tatu na zaidi hili pambano angalau mjiridhishe kuwa jamaa kabebwa..tatizo mmarekani asingekubali kushindwa koz game hii ilikuwa na sura ya kidiplomasia na utaifa rather than sura ya kimchezo..haki mbinguni

Punguza kuandika utumbo
 
Mayweather Kashinda kwa points. Na hata hivyo kwenye safu ya waamuzi, wamerekani 8, hao wengine wa 3 tu. Wengi wape.
 
Yuko live on ESPN right now. Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!
Anakiri kuwa amepigwa kihalali.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
Mtakula maneno yenu leo. Mayweather ndio dume
 
nadhani hamuelewi kitu hapa,
Fahamu kwanza points zinapatikana vipi kwenye masumwi,
Pacquiao alikuwa anapiga blank nyingi sana
Maymoney alikuwa akipiga, kweli kapiga
Sijui umekula maharagwe ya wapi wewe...Majaji wenyewe wametoa points 10-9..sasa Sijui ngumi nyiingi blank unasemea zipi, manake tulioshuhudia na hata ile preview wameonesha jinsi ngumi zikivyotua kwa Weather!! Na amekumbatia zaidi Weather kwa PAC...hembu check round ya 6...!!
 
Boxing kiutaalamu wa kimchezo na kanuni zinazouongoza mchezo huu Maymoney kashinda, ila kama zile ngumi zetu za tandale kwa tumbo hadi Buguruni kwa Mnyamani basi Pacman kashinda
 
Yuko live on ESPN right now. Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!
Anakiri kuwa amepigwa kihalali.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
Mtakula maneno yenu leo. Mayweather ndio dume
Wewe nawe sijui wa wapi....Haya nakupa maneno ya PAC, manake yaonesha hata humwelewi anachoongea..
"It was a good fight. I got him many times. I saw the punches. I thought I won the fight. He is moving around, it is not easy to throw a lot of punches. I can handle his power. He is not strong like some others. He's not bigger than me, the size doesn't matter, I have fought bigger guys.""
 
Back
Top Bottom