kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Simba tumeshinda pambano la Ngao ya jamii kwa kucheza mechi mbili dk 180 bila timu yetu kufunga hata BAO moja kimiani. Tunajiuliza ni nini hiki, Ubovu wa kocha, wachezaji au ubora wa timu nyingine? Tunajua kuwa tumeupata huu Ushindi kwa kelele nyingi juu ya waamuzi kutoka ndani na nje ya uwanja.
Hali itaendelea kama hivi au itaimarika? Je, wakati sisi tukiimarika na wenzetu nao siwanaendelea kuimarika pia? Tumepigwa?
Ukweli tunafurahia Ngao usoni TU lakini ukweli tunao mioyoni mwetu, false hope.