Ushindi wa Ngao ya jamii na furaha bandia

Yanga wanacheza mpira mzuri lakini hawajui kupiga penalty. Siyo mara ya kwanza kwa Yanga kushindwa kwa penalty hata wakati Mayele anaglipo. Kombe zla Mapinduzi walitolewa kwa penalty hivyo hivyo. Inabidi mwalimu awaweke somo maalumu la kupiga penaly. Huwezi kupiga penaly hkuel;ekea unakotazama kwani golikipa atarukia huko huko. Wapiga Penalty wazuri wakieleka kushoto basi ujue mpira utapigwa ama katikati au kulia wakati golikipa amesharukia kushoto.
Hakuna somo la penati, hata wachezaji mahiri kabisa huwa wanakosaga tu, ila ni wachezaji wenyewe kujifanyia mazoezi mengiiiii kwa wakati wao binafsi, labda somo linaweza kuwa kwa kiasi fulani kwa golikipa
 
Mpira wowote hata wa basketball hufundishwa kwa mazoezi yaliyopangiliwa vizuri; hiyo ni mojawapo ya majukumu ya kocha. Katika training yake anatakiwa awe anatenga muda wa penalty shootouts
 
Ingekuwa ligi kuu hapo points zilikuwa zimegawanwa sasa hawawezi furahia kwa sababu uwezo wa kuondoka na point tatu dhidi ya singida hawakuwa nao. Dhidi ya yanga hawakuwa nao
Ingekuwa ligi maana yake Yanga na Azam wangekuwa na Points 4 kila moja, Simba point 2 na Singida point 1 mpaka sasa. Unaona namna simba ambavyo ingeanza vibaya mashindano?. Ni mpumbavu tu wa Simba anaweza kushangilia ushindi wa ngao na kusahau ukweli. Timu zote kwenye ligi zinaendelea kuimalika, sio simba tu kama wanavyotaka iwe.
 
yanga mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe hata mlivyoshindwa kwenye fainali ya looser cup mlikuwa mnajifariji hivyohivyo ila bingwa atabaki yuleyule wa ngao ya jamii.
Simba siku zote wamekuwa wakijadili timu Yao Kwa sababu level ya Simba ipo Juu ndio maana wanashangaa kwanini Hawa underdog wametupekeka Hadi kwenye mikwaju ya penati.
porojo
 
Kuna tofauti kati ya kucheza league na tonarment (kwenye hili simba as a big team in Africa naona wameanza kulifahamu) ,ngao ya jamii ilikuwa ni tonarment tu ambayo haiitaji magoli kuamua usonge mbele isipokuwa kumtoa mpinzani wako ili kufikia hatua inayofuata hatimaye kuchukua kikombe, hayo magoli yatakuja tu subir league ianze
porojo za hovyo zinaendelea
 
Ingekuwa ligi maana yake Yanga na Azam wangekuwa na Points 4 kila moja, Simba point 2 na Singida point 1 mpaka sasa. Unaona namna simba ambavyo ingeanza vibaya mashindano?. Ni mpumbavu tu wa Simba anaweza kushangilia ushindi wa ngao na kusahau ukweli. Timu zote kwenye ligi zinaendelea kuimalika, sio simba tu kama wanavyotaka iwe.
Ukiwaambia hilo hawawezi kukuelewa
 
Timu imechukua ngao bila kufunga goli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ingekuwa ligi maana yake Yanga na Azam wangekuwa na Points 4 kila moja, Simba point 2 na Singida point 1 mpaka sasa. Unaona namna simba ambavyo ingeanza vibaya mashindano?. Ni mpumbavu tu wa Simba anaweza kushangilia ushindi wa ngao na kusahau ukweli. Timu zote kwenye ligi zinaendelea kuimalika, sio simba tu kama wanavyotaka iwe.
Wewe ni nani mpaka unapangia watu namna ya kufurahi? Msimu uliopita Kwani points zote zilizofanya yanga kuwa bingwa zilikusanywa kwa haki? Mbona mnajivunia ubingwa na hamkuwahi kunung'unika mlipopata points 3 dhidi ya geita gold kwa penati ya mchongo?

Unasema timu zote zinaimarika, ndio zinaimarika lakini hakuna uhakika 100 % kwamba simba haitaimarika zaidi na zaidi kama unvyoamini itakuwa.
 
Cha muhimu Simba ndio bingwa, mengine ni maneno ya kupunguza sonona.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Wewe ni nani mpaka unapangia watu namna ya kufurahi? Msimu uliopita Kwani points zote zilizofanya yanga kuwa bingwa zilikusanywa kwa haki? Mbona mnajivunia ubingwa na hamkuwahi kunung'unika mlipopata points 3 dhidi ya geita gold kwa penati ya mchongo?

Unasema timu zote zinaimarika, ndio zinaimarika lakini hakuna uhakika 100 % kwamba simba haitaimarika zaidi na zaidi kama unvyoamini itakuwa.
ukimsikiliza kila mwanasimba anakiri kuwa simba haikucheza vizuri mashindano yale. Lakini sababu wanayotoa ni kwamba simba inahitaji muda wa kuunganika kana kwamba timu nyingine hazihitaji muda wa kuunganika. Yaani timu nyingine zimeshaunganika ispokuwa simba tu. Huku ni sawa na kujificha nyuma ya kivuli chako mwenyewe kukwepa jua. Inafahamika kuwa timu zooote huwa zinaimarika kadiri ligi inavyopamba moto sio kwa simba tu, kama umecheza vibaya leo dhidi ya timu fulani basi ujue ratio (uwiano) utaendelea kuwa huohuo labda kutokee mabadiliko kwenye timu kama vile injuries za wachezaji, kocha kubadilishwa, uongozi kubadilishwa au mgogoro ndani ya timu.
 
Hivi unarudia kusoma unachoandika?Contraditions nyingi sana.Au sonona??
 
Ila Uto mnahangaika...Poleni...
Kwamba nawe ni Simba? "Eti Tumeshinda"...

Basi sawa...
Zile Penalt zirudiwe ili mdake..Na msipodaka zitarudiwa wiki nzima hadi mdake.
Hii staili yao ya kujifanya wanasimba inapendeza sana hasa wakifungwa na kujitia wanatoa ushauri.
 
ukimsikiliza kila mwanasimba anakiri kuwa simba haikucheza vizuri mashindano yale. Lakini sababu wanayotoa ni kwamba simba inahitaji muda wa kuunganika kana kwamba timu nyingine hazihitaji muda wa kuunganika. Yaani timu nyingine zimeshaunganika ispokuwa simba tu. Huku ni sawa na kujificha nyuma ya kivuli chako mwenyewe kukwepa jua. Inafahamika kuwa timu zooote huwa zinaimarika kadiri ligi inavyopamba moto sio kwa simba tu, kama umecheza vibaya leo dhidi ya timu fulani basi ujue ratio (uwiano) utaendelea kuwa huohuo labda kutokee mabadiliko kwenye timu kama vile injuries za wachezaji, kocha kubadilishwa, uongozi kubadilishwa au mgogoro ndani ya timu.
Sio kweli. Timu kucheza vibaya haihitaji mlolongo mrefu mara zote kuja kucheza vizuri maana kuna sababu mbalimbali kwa timu kucheza vibaya mechi kadhaa. Msimu uliopita sio mechi zote yanga ilicheza vizuri na kocha alikuwa huyo huyo mmoja.
 
Hivi timu yangu imeshinda naanzaje kukosa furaha!? Utopolo nyie huo Mwiko hapo nyuma....
 
Sio kweli. Timu kucheza vibaya haihitaji mlolongo mrefu mara zote kuja kucheza vizuri maana kuna sababu mbalimbali kwa timu kucheza vibaya mechi kadhaa. Msimu uliopita sio mechi zote yanga ilicheza vizuri na kocha alikuwa huyo huyo mmoja.
simba wamesema wenyewe kwanini timu haikupata goli hata moja la kuotea, wakasema ni maswala tu ya muda, give them time. Lakini kocha Robertihno akiwa uturuki alisema timu iko vizuri kabisa na inafanya vizuri akiwasifu sana akina Onana na Ngoma, sasa ghafla story inageuka ghafla.
 
Ndio maana nimekuambia hata hiyo yanga bingwa ya Nabi sio mechi zote ilicheza vizuri. Kwa hiyo Simba kucheza vibaya mechi mbili huwezi kuhitimisha itaendelea kucheza vibaya hivyo hivyo msimu mzima.Nikweli simba haijafunga goli mechi 2 ila na yenyewe haijafungwa goli ,kwa hiyo sio timu nzima iliyocheza vibaya bali ni sehemu ya timu ambayo kwa kocha mtalaam kama Robertinho atarekebisha.
 
simba ni timu kubwa na ni timu shindani, watu hawakuzoea ikicheza vibaya vile kwenye mechi 2 mfululizo. Watu wakauliza kulikoni? Jibu likawa ni timu inahitaji muda zaidi ya muunganiko. Jibu hili unakubaliana nalo?
 
Muda gani ? Mwezi , miezi ,mwaka? Kwa hiyo tunaweza kuona ni tatizo la muda mrefu kumbe kamati ya ufundi itatua tatizo ndani ya muda mfupi.
 
Back
Top Bottom