Ushindi wa Ngao ya jamii na furaha bandia

Ingekuwa ligi maana yake Yanga na Azam wangekuwa na Points 4 kila moja, Simba point 2 na Singida point 1 mpaka sasa. Unaona namna simba ambavyo ingeanza vibaya mashindano?. Ni mpumbavu tu wa Simba anaweza kushangilia ushindi wa ngao na kusahau ukweli. Timu zote kwenye ligi zinaendelea kuimalika, sio simba tu kama wanavyotaka iwe.
Tofautisha tournament na league mdogo wangu.
INGE huwa inatamkwa sana na wajinga, wapumbavu na walioshindwa.
Je, wewe upo nafasi gani?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Muda gani ? Mwezi , miezi ,mwaka? Kwa hiyo tunaweza kuona ni tatizo la muda mrefu kumbe kamati ya ufundi itatua tatizo ndani ya muda mfupi.
Wakati Simba ikihitaji muda zaidi wa kutatua tatizo la kucheza kitimu na kufunga goli angalau moja, Yanga na Azam nao wanahitaji muda wa namna ya kufunga magoli zaidi zaidi ya 3 na namna ya kupiga penalties.
 
Tofautisha tournament na league mdogo wangu.
INGE huwa inatamkwa sana na wajinga, wapumbavu na walioshindwa.
Je, wewe upo nafasi gani?
Tournament ndio timu haitakiwi kufunga goli ili isubiri matuta? Ni mjinga TU ndio anawaza hivyo. Hata robertihno mwenyewe hawazi kijingajinga kama hivyo. Robertihno imemshangaza sana na akajiona kumbe anayo kazi kubwa ya kufanya dhidi ya Yanga na Azam wewe unawaza kizembe zembe.
 
Huwa sibishani na mbumbumbu, mwenye mihemko ya barehe.

Wewe mshamba mshamba umeanza kushabikia mpira juzi baada ya kufika mjini.
 
Wakati Simba ikihitaji muda zaidi wa kutatua tatizo la kucheza kitimu na kufunga goli angalau moja, Yanga na Azam nao wanahitaji muda wa namna ya kufunga magoli zaidi zaidi ya 3 na namna ya kupiga penalties.
Kama power dynamo walifungwa goli 2 , ni timu gani bora hapa bongo kuliko power dynamo mpaka simba iwahitaji muunganiko zaidi ili kufunga goli? Simba kushindwa kufunga goli dhidi ya yanga na Singida haimaanishi simba hawezi kuifunga goli yanga au singida wakicheza kesho.
 
Power Dynamo walikuwa wanajaribu wachezaji wake kama sehemu ya preseason wakati Simba ilicheza kama mechi ya mashindano ya must win.
 
Huwa sibishani na mbumbumbu, mwenye mihemko ya barehe.

Wewe mshamba mshamba umeanza kushabikia mpira juzi baada ya kufika mjini.
Unabishana kizembe sana, hakuna kocha duniani anaewaza anaacha kufunga magoli ili kusubiri penalty kwenye mashindano.
 
Tatizo hujui kuwa yale ni mashindano ya ngao sio ligi,so muhimu lipatikane kombe tu,hata kwa kuliiba ili mradi lipatikane tu,hayo mengine mbwembwe tu..haya nyie mmeshinda mechi ila ngao hamna ,mna tofauti gani na baskeli ya kunolea visu???
 
Tatizo ni huyu kocha.
Hakika huwezi mtegemea Bocco kama mshambuliaji namba 1.Inahitaji uwe taahira kuamini hivyo.

Kuamini Moses Phiri hana uwezo kwa sasa ni lazima uwe taahira fulani.
 
Maelezo kama hayo ni ushahidi tosha wa furaha bandia ya ngao. Robertihno hawazikizembe kama hivyo, mziki aliouona kwa Yanga anatamani aondike au asajili upya wachezaji wengine.
 
Tatizo ni huyu kocha.
Hakika huwezi mtegemea Bocco kama mshambuliaji namba 1.Inahitaji uwe taahira kuamini hivyo.

Kuamini Moses Phiri hana uwezo kwa sasa ni lazima uwe taahira fulani.
Kuna wachezaji ambao nguvu Yao ya kuichezea Simba ya Sasa imeshuka sana, hawezi kucheza dk 90 kwa uwezo uleule. Wachezaji hao ni Bocco, shabalala, kapombe na saido.
 
Kwahiyo mmefurahiii? Mmepata pa kupunguzia hasira baada ya msimu jana kuambulia patupu? Kule ulaya ngao ya jamii mapato hugawanya equally kwa timu zote mbili na kiasi kingine kuelekezwa kwenye mambo ya kijamii. Ngao ya hisani huwezi jivimbisha kifua mtaani eti na wewe umekuwa bingwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Punguza makasirikooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wachezaji ambao nguvu Yao ya kuichezea Simba ya Sasa imeshuka sana, hawezi kucheza dk 90 kwa uwezo uleule. Wachezaji hao ni Bocco, shabalala, kapombe na saido.
Shabalala na kapombe watoe.
 
Yanga 1~3 Simba
Penati

Swali Nani Mshindi Hapo?
Mtibwa vs Simba Wenye akili nyingi tulishaichambua Simba wakati ya ngao lakini mambumbu wakawaka kwelikweli
 
Tatizo hujui kuwa yale ni mashindano ya ngao sio ligi,so muhimu lipatikane kombe tu,hata kwa kuliiba ili mradi lipatikane tu,hayo mengine mbwembwe tu..haya nyie mmeshinda mechi ila ngao hamna ,mna tofauti gani na baskeli ya kunolea visu???
Mtibwa 2-2 Simba, hakuna Onana wala Fondo wala Ngoma, mmepigwa
 
Back
Top Bottom