Ushindi wa Ngao ya jamii na furaha bandia

Ushindi wa Ngao ya jamii na furaha bandia

Mtabwabwaja sana mpk suruali ziwalegee na kukonda kwa husda ..
 
Huwa sibishani na mbumbumbu, mwenye mihemko ya barehe.

Wewe mshamba mshamba umeanza kushabikia mpira juzi baada ya kufika mjini.
Unaongea mahaba huongei mpira na kufanya hivyo ni aina fulani ya ujinga kwenye mpira. Simba msimu huu Haina timu.
 
Mtabwabwaja sana mpk suruali ziwalegee na kukonda kwa husda ..
Simba inapishana na mtibwa shuga itaziweza timu za super league? Au Tunataka kulipaka kamasi taifa?
 
Malalamiko fc
FB_IMG_16923452936849261.jpg
 
Back
Top Bottom