Ushindi wa Taifa Stars waipa Milioni 10 kutoka kwa Rais Samia

Ushindi wa Taifa Stars waipa Milioni 10 kutoka kwa Rais Samia

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Baada ya Tanzania kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Niger katika uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwa goli la Simon Msuva, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa kupitia ukurasa wake wa Instagram amendika kuwa #GoliLaMama linaendelea na Taifa Stars imejinyakulia Shilingi Milioni 10
 
Hakuna dawa wala madawati.

Nchi inauzwa.
 
Back
Top Bottom