Ushindi walioupata Simba dhidi ya De Agosto umewanyongoza Simba na kuwakata ngebe

We Slip acha kuniaibisha bhas, mbona unaongea kama uko kwenye kijiwe cha kahawa mitaa ya kariakoo?
Simba imelinda heshima ya nyumbani bhasi no matter kigoli kimoja.
 
.
Screenshot_20221016-191021_WhatsApp.jpg
 
Lugha imebadilika kutoka kushinda goli nyingi kwenda tumechaza kulinda ushindio tulioupata ugenini.
We jamaa bana unatia aibu na hili bandiko lako, simba mechi ya leo alihitaji asifungwe tu full stop sasa ulitaka atumie nguvu nyingi ili iweje?
 
Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea.

Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje tunapokwenda kukutana na timu bora kuliko De Agosto. Hawawezi kukiri wala kusema hadharani haya niyasemayo ila huu ndio ukweli wenyewe.

Wamenyong'onyea na kidomodomo kimepungua wanasubiri matokeo ya Yanga wakiomba Yanga itolewe wapate cha kusema.
Siamini hii ni bandiko la Salary Slip..
 
Unateseka ukiwa wapi bwashee 😂
 
View attachment 2389312
Ama kweli mtu akikuchukia .... Hata ukiwa unaogelea atalalamika unamtimulia vumbi.......
 
Kubwa jinga. Bao moja linatia mimba!.
 
Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea.

Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje tunapokwenda kukutana na timu bora kuliko De Agosto. Hawawezi kukiri wala kusema hadharani haya niyasemayo ila huu ndio ukweli wenyewe.

Wamenyong'onyea na kidomodomo kimepungua wanasubiri matokeo ya Yanga wakiomba Yanga itolewe wapate cha kusema.
Huna akili kabisa Yaani 4- 1 ni magoli machache?
 
Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea.

Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje tunapokwenda kukutana na timu bora kuliko De Agosto. Hawawezi kukiri wala kusema hadharani haya niyasemayo ila huu ndio ukweli wenyewe.

Wamenyong'onyea na kidomodomo kimepungua wanasubiri matokeo ya Yanga wakiomba Yanga itolewe wapate cha kusema.
Nilikuwa najua huna ‘Akili’ na nilivyofungua uzi wako ndio nimethibitisha ‘Huna akili’ kabisa.
 
Yanga ndio maana mnafeli,champins league sio ligi ya ndani ina staili yake ya kuzicheza hizi game
Una mtaji wa goli tatu unatakiwa kulinda goli zako na sio kurisk
Huku hawaangalii point wala magoli bali aggregate
Vyura hamna akili
Vyura wajinga Sana yaani mtu Una magoli 3 kibindoni afu urisk unataka ufunguke eti umpige migoli mingi ili iweje?
 
Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea.

Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje tunapokwenda kukutana na timu bora kuliko De Agosto. Hawawezi kukiri wala kusema hadharani haya niyasemayo ila huu ndio ukweli wenyewe.

Wamenyong'onyea na kidomodomo kimepungua wanasubiri matokeo ya Yanga wakiomba Yanga itolewe wapate cha kusema.
Naona umeandika haya kuatafuta sympathy kwenye mechi yenu
 
Back
Top Bottom