Ushindi walioupata Simba dhidi ya De Agosto umewanyongoza Simba na kuwakata ngebe

Ushindi walioupata Simba dhidi ya De Agosto umewanyongoza Simba na kuwakata ngebe

Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea.

Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje tunapokwenda kukutana na timu bora kuliko De Agosto. Hawawezi kukiri wala kusema hadharani haya niyasemayo ila huu ndio ukweli wenyewe.

Wamenyong'onyea na kidomodomo kimepungua wanasubiri matokeo ya Yanga wakiomba Yanga itolewe wapate cha kusema.
Hapo kwanza ncheke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani huyu ni shabiki wa yanga akitafuta faraja humu duniani
 
Mambo ya Simba ( Nguvu Moja) yaache, yeye keshakwenda makundi! Subiri vioja vya Utopolo kuanzia dakika 40 zijazo tangu muda huu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yanga kama yanga
 
Mkuu Salary Slip ungepaswa kujua Simba wanacheza kupata matokeo na kusonga mbele.. na hiyo ndo ilikuwa game plan..

Sasa kama una hazina ya magoli mawili ugenini na tayar unaongoza moja, maana yake kutafuta mabao mengi ni kuchosha wachezaji..

Mama lengo limefikiwa haina haja ya kupoteza nguvu kupata mabao mengi... Laiti kama hii mechi ingekuwa simba anatafuta ushindi wa lazima.. lazima mtu angekufa sio chini ya goli tatu
 
Back
Top Bottom