Reciprocal
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 329
- 523
Issue ya msingi katika hatua ya mtoano ni kusonga mbele( kufuzu), idadi ya mabao haina matumizi yoyote.Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea.
Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje tunapokwenda kukutana na timu bora kuliko De Agosto. Hawawezi kukiri wala kusema hadharani haya niyasemayo ila huu ndio ukweli wenyewe.
Wamenyong'onyea na kidomodomo kimepungua wanasubiri matokeo ya Yanga wakiomba Yanga itolewe wapate cha kusema.
Kwanini, uhangaike ni vitu visivyokuwa na matumizi?, Hivi Simba angemfunga mabao mengi d'agosto angepata nini cha ziada?
JIBU: Hitaji la hatua za mtoano ni kupata ushindi wa jumla.( Let's not misuse the scarce resources).