Ushiriki wa Maprofesa wetu katika Africa Energy Summit

Bongo watu wanasoma level hizo ili wapande vyeo kazini na kupata mishahara minono na wala si kuwa na maarifa yenye kuleta mabadiliko.
 
Bongo watu wanasoma level hizo ili wapande vyeo kazini na kupata mishahara minono na wala si kuwa na maarifa yenye kuleta mabadiliko.
Mbona husemi kutoa "makazachupi" ?? au umesahau.
 
Knowledge alone is not enough,without capital you can't produce anything. You need investors to finance your project and turn your ideas into tangible products. Wekeza hela uone kitachotokea.
 
Kwani research si zinaeleweka zinapopatikana? Kama hawajaslikwa watakwenda ku present Nini?
Tusiwadharau wasomi wetu,Mimi ni muumini wa matumizi ya tafiti ili kusukuma gurudumu la maendeleo..
Kabla hujawalaumu nikuulize,ni Pesa ngapi huwa zinatengwa na Serikali kwenye vyuo ama taasisi mbalimbali kwaajili ya tafiti?Hivi pale UDSM unaweza niambie Department yenye PhD holders 10 inatengewa kiasi gani Cha Pesa? Tuwe wakweli jamani, wasomi wetu wanakatishwa tamaa sana ndiyo maana wameelekeza Akili zao kwenye siasa, something which is wrong..
Surprisingly hata hizo tafiti ambazo zimefanywa na wao Wala hazifanyiwi Kazi.
 
Kwanini wewe usiwe professor ufanye hayo mabadiliko? Be the change you want to see. They owe you nothing. Na wao hawakudai anything.

Maskini anaamini shida zake zote zinasababishwa na matajiri au wasomi.
 
Mkuu mipango hawafundishi nuclear physics, vyuo pekee vinavyofudisha hiyo course ni udsm na udom na muhas TU hapa TZ
 
Aaah Aisee! Yani ww huoni hata hivi viberiti vya chapa kasuku au chiriku huoni vimeandikwa made in hapa-hapa Tz? Sasa wakitengeneza huko mitaani si ndo yale yale bidhaa Fake?
Halafu jamani waacheni maprofesa wapumue - hoja za nuclear physics ni ili iweje? Why keep a cow while you can buy milk? Tutanunua au kukopa manyukilia yao au tutapotezea tu na maisha yaendelee. Eboh! (in Magu's voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…