Ushiriki wa Maprofesa wetu katika Africa Energy Summit

Ushiriki wa Maprofesa wetu katika Africa Energy Summit

Naona unachokonoa wasomi.
Kuna siku nilikuwa nasoma prospectus ya Chuo cha Mipango. Daadeki PhD zimenyooka sijui Nuclear physics, Genetics blah blah, Sustainable Energy niliishia kujiuliza maswali meengi bila majibu.
Mbona mtaani hatuoni bidhaa made in Tanzania zinazotokana na PhDs hizi?
Yani chuo Cha rural development planning (mipango) kiwe na experts wa nuclear physics na genetics hehehe
 
1. Maprofesa wetu wapo wapi waelezee tafiti zao za Nishati kupitia energy summit? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM?

2. PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana.

3. Tafiti za Factors affecting.. zimepitwa na wakati
Kama PhD holders waliopo unaona wameshindwa kuleta kitu chochote special basi na wewe soma PhD ili ulete mchango kwenye taifa. Hii nchi sio ya PhD holders tu ni yetu sote
 
Back
Top Bottom