Ushiriki wa Maprofesa wetu katika Africa Energy Summit

Uendi hapo na mawazo yako nchi ina energy policy yake na imeandaliwa na wataalamu mbali mbali (ideally).

☝️Tanzania ina energy policy ambayo wana execute (supposedly).

☝️TANESCO wana master plan yao (long term and short term strategies) not sure ukiisoma kama inaoana na national energy policy (maana hii nchi kila mtu anaenda na mtindo) hakuna coordination of activities.

☝️Moreover TANESCO tayari ina advertised projects ambazo wanahitaji funds au PPP kuitekekeza.

Sasa unapoenda kwenye mazungumzo kama hayo, you sell above ideas to get funds. Not starting something; maana strategic goals unazo tayari. Uhitaji PhD kufanya hiyo shughuli (kwanza wengi, ambao) wapo nje ya wizara ya nishati utakuta hawajasoma hizo documents, If anything bungeni serikali ilitakiwa ipimwe kwa hizo objectives walizojiwekea.

Watu sahihi ni watumishi wa TANESCO mkurugenzi, waziri wa nishati, katibu mkuu wizara ya nishati au mkurugenzi wa maswala ya umeme wizarani kama yupo.

Sasa Kabudi hapo ataongea nini ata ukimpeleka.
 
Ndio, majibu tafadhali.
Hana PhD, ana Udaktari wa Heshima

Ilianza UDSM kumtunuku Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia then ikafuatia vyuo vingine kama unavyoona kwenye hayo mabadiko ya hapa JF
Screenshot_20250128-142420.jpg
 
1. Maprofesa wetu wapo wapi waelezee tafiti zao za Nishati kupitia energy summit? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM?

2. PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana.

3. Tafiti za Factors affecting.. zimepitwa na wakati
Dr..sukuma Dr.Taletale
 
So basically you mean that our highly qualified professors can't even attract venture capitalist?
Why should they in the first place when they aren't entrepreneurs, if they were they could. They're are public servants get that, business isn't in their DNA.
 
Kuna watu wanachukua mazoezi ya kumpongeza "mama yao" kwa fursa walizozipata kupitia huu mkutano.
 
Why should they in the first place when they aren't entrepreneurs, if they were they could. They're are public servants get that, business isn't in their DNA.
But they are doing bajajs, bodabodas, genges and playstations businesses!!!
Please, i welcome you to Changanyikeni & Makongo so you can see for your naked eyes what Tanzanian's Profs are doing as enterpreneurs!!!
 
Uendi hapo na mawazo yako nchi ina energy policy yake na imeandaliwa na wataalamu mbali mbali (ideally).

☝️Tanzania ina energy policy ambayo wana execute (supposedly).

☝️TANESCO wana master plan yao (long term and short term strategies) not sure ukiisoma kama inaoana na national energy policy (maana hii nchi kila mtu anaenda na mtindo) hakuna coordination of activities.

☝️Moreover TANESCO tayari ina advertised projects ambazo wanahitaji funds au PPP kuitekekeza.

Sasa unapoenda kwenye mazungumzo kama hayo, you sell above ideas to get funds. Not starting something; maana strategic goals unazo tayari. Uhitaji PhD kufanya hiyo shughuli (kwanza wengi, ambao) wapo nje ya wizara ya nishati utakuta hawajasoma hizo documents, If anything bungeni serikali ilitakiwa ipimwe kwa hizo objectives walizojiwekea.

Watu sahihi ni watumishi wa TANESCO mkurugenzi, waziri wa nishati, katibu mkuu wizara ya nishati au mkurugenzi wa maswala ya umeme wizarani kama yupo.

Sasa Kabudi hapo ataongea nini ata ukimpeleka.
PhD holders ndo mnayoyajua hayo mara Sera mara master plan ujinga mwingi
 
Why should they in the first place when they aren't entrepreneurs, if they were they could. They're are public servants get that, business isn't in their DNA.

Why should they in the first place when they aren't entrepreneurs, if they were they could. They're are public servants get that, business isn't in their DNA.
If they're not entrepreneurs, what's the value of their skills?
If a professor in livestock feeding doesn't engage in developing feed formula that eventually results in manufacturing best feeds, what will be the value of his/her professional?

Here is how I see this: Professor should become entrepreneurs. Unafahamu mwanzilishi wa kiwanda/shamba cha AKM Glitters?
If they don't have capital to invest which is obvious, it isn't a sin to cooperate with industrialists
 
Wabongo kwenye ubora wao wa kusimanga. Mmiliki wa hili bango kitita sijui anatokea Tanga Handeni au Korogwe.
 
Tanzania hii usishangae kukuta Professor wa aquaculture hana hata aquarium si nyumbani kwake wala ofisini. Yeye ni kufundisha tu/kukaririsha.
Kuna rafiki yangu ni Afisa Uvuvi wa Halmashauri, kwenye eneo lake la kazi hakuna hata bwawa la samaki. Yeye binafsi anafanya biashara ya mbao. Kwa namna hii tutatoboa kweli.
 
Back
Top Bottom