Ushirikiano baina ya wakristo na waislamu ni muhimu kuliko hata vyama vya siasa

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,699
Reaction score
9,323
Ni bora pasiwepo na vyama vya siasa lakini ukawapo ushirikiano wa dhati baina ya waislamu na wakristo kwani kila siku,tunashirikiana kwenye mambo mengi mno.Angalia baadhi ya mambo tunayoshirikiana japo kwa uchache:
1.Kuzikana
2.Kusafiri pamoja
3.Kufanya biashara
4.Kufanya ngono
5.Kucheza michezo
6.Kukopeshana
Hayo ni baadhi tu ya mambo yapo mengi tunafanya pamoja,sasa sio busara kabisa kutufarakanisha
 
Wakistro na waislamu Wala hawana shida kitaa , Aisha ana zagamuliwa na John vizuri tu , ni vibaka wachache wanaotafuta visingio vya kidini ili kupata huruma tu , hao ni wakuepuka Kama ukoma

Tatizo jipya mjini ni walokole hawa ni zaidi ya wehu.
 
Hata hao wanaoleta chuki wala hawana chuki, ni maslahi tu basi ni issue za li Chama kongwe lililokosa sera!
 
Ni bora pasiwepo na vyama vya siasa lakini ukawapo ushirikiano wa dhati baina ya waislamu na wakristo kwani kila siku,tunashirikiana kwenye mambo mengi mno.Angalia baadhi ya mambo tunayoshirikiana japo kwa uchache:
1.Kuzikana
2.Kusafiri pamoja
3.Kufanya biashara
4.Kufanya ngono
5.Kucheza michezo
6.Kukopeshana
Hayo ni baadhi tu ya mambo yapo mengi tunafanya pamoja,sasa sio busara kabisa kutufarakanisha

Nimeipenda sana hiyo namba 4 maana vijana wanavyoifanyia kazi...daaah mpaka sio poa
 
Ni bora pasiwepo na vyama vya siasa lakini ukawapo ushirikiano wa dhati baina ya waislamu na wakristo kwani kila siku,tunashirikiana kwenye mambo mengi mno.Angalia baadhi ya mambo tunayoshirikiana japo kwa uchache:
1.Kuzikana
2.Kusafiri pamoja
3.Kufanya biashara
4.Kufanya ngono
5.Kucheza michezo
6.Kukopeshana
Hayo ni baadhi tu ya mambo yapo mengi tunafanya pamoja,sasa sio busara kabisa kutufarakanisha
Mimi nilikuwa najua Wakristo ni Wenzetu sana kwani nimeishi nao vizuri kiujiraninna kushirikiana nao vizuri kijamii . Nilivyokuja Jf nikakuta hali tofauti Wana fikra za chuki , dharau na chokochoko dhidi ya Uislamu na Waislamu mifano michache kwa hapa Jf ni hii 👇👇

Nyuzi za baadhi ya maustadh wanaotuhumiwa ubakaji au ulawiti zinajaa matusi dhidi ya Waislam na Dini yao, halafu mtu anakuambia ni wachache tu hao! Kwanini nyuzi za mapadri wanaotuhumiwa kwa ulawiti na ubakaji na makosa mengine hazijai sana?

Kuna nyuzi za uchokozi na kashfa zinazoanzishwa mfululizo humu mwezi wa Ramadhaan. Watu wamejaa chuki na husda.

Kutwa kucha kuwatukana Waislam na kuwakejeli, mara hawana akili, mara sijui hawajasoma, unaona kabisa chuki na dharau katika midomo yao.

Kukiwa na viteuzi kukawa na Waislam kidogo tu, kuna vikelele, hii sio bahati mbaya wala utani, ni chuki. Ila Waislam wao maskini wako wachache serikalini na kwenye teuzi, wakilalamika kidogo wanaitwa wadini na wanakejeliwa kuwa tatizo hawajaenda shule, ila wakiteuliwa kidogo tu utasikia kiongozi anaendekeza udini. Fresh!

Nyuzi na hata mitandao mengine kuna malalamiko ya kuwalaumu wafanyabiashara kama Bakhresa kwa udini katika Azam. Ila kina Reginald Mengi na IPP yao Waislam wakiwa wachache ni sawa. Freshi!

Kukiwa na vi tamthilia vya kituruki kidogo tu ni udini, ila kuwekwa movies za Hollywood zinazowa portray Waislam vibaya tena kwa uongo ni sawa! Filamu za bongo movie za kina Kanumba zenye maudhui ya kanisa na ulokole ni sawa sio udini!

Huo unaoitwa udugu na upendo ni wa kinafki, na Waislam uzuri hatuna huo upendo wa maigizo.

Waislam tuko na subra na tunaishi kwa wema na uadilifu na wasio Waislam, tukijua kuwa wana chuki na sisi na husda na roho mbaya wengi wao. Ila tunaishi nao kwa wema.

Ukidhihirisha chuki iliyopo unaitwa mdini na sasa hivi walipoibuka baadhi ya Waislam kulalamika kidogo kuna watu wakijifanya wajanja eti wakataka kuwanyamazisha kwa kuunda dini mpya ya kipagani eti wakijifanya hawana chuki, na wakati huo huo kwa dini yao mpya hiyo ya kipagani wanaukejeli Uislam na kuuvunjia heshima.

Waislam, hatutaki kuvunjiwa heshima Dini yetu Tukufu, kila mtu abaki na Dini yake. Tuishi kwa wema, na kuheshimiana. Kila mtu na Dini yake. Tuishi kwa Amani
 
Kusema kweli kugombana na wanangu Waislam sijui kama inawezekana. Maana tumeunganishwa na vitu vingi na kati ya ivo vitu Siasa haipo.

Wanaheshimu dini yangu na mimi naheshimu ya kwao.
 
Na bado watu milioni 31 Waislamu kwa Wakristo wamempigia kura!
 
Back
Top Bottom