Ushirikiano: Mbunge wa Mbeya Mjini ashiriki usafi Soko la Sido, anywa chai ya rangi na masela, awahutubia wananchi

Cheap politics for the simple mind. Hapa ndipo utaelewa uwezo wa watanzania wakawaida kupima mambo. Bado tuna safari ndefu kufikia mabadiliko ya kweli ya kisiasa.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Una akili sana ! yaani umemzidi Ndalichako kiingereza ! hongera sana !
 
Mkuu, nimekukera? Sipendi siasa za tyoe ya kina Nape kuingia nyumbani kwa wenye dhiki na kujidai kula nao mlo mmoja ili tuamini wako pamoja nao. Huo ni ulaghai wa kisiasa, lazima tujifunze kuukataa ulaghai huu. Viongozi hawa tunazvijua vipato vyao na maisha yao kwa ujumla, hivyo muunganiko wao na jamii usihesabiwe kwa sababu tu wanazuga kula pamoja na wenye dhiki kwa siku moja, bali tuwapime kwa juhudi zao kujaribu kuwanyanyua wenye dhiki toka chini na kuwapandisha juu.

Tupime matokeo ya uwajibikaji wao kwenye mambo ya msingi kwa ujumla wake. Kama mtu akijidai kula nami eti kwa sababu tu uchaguzi umekaribia, wakati mwenyewe najua nimenunua nyanya moja shilingi 600 na mchele kilo shilingi 3,000 nitamtimua bila masikhara!! Siasa za usanii sanii ndizo zinazoua uchumi wa nchi hii na kuwaweka wanyonge kuwa wafungwa wa wenye nafasi. Sipendi na nachukia mno wapinzani wanapoiga aina hii ya siasa wakati wao wanatakiwa kujipambanua kwa kujenga misingi bora ya siasa. Mambo ya kusifiwa kwa kunengua na wanavijiji wawaachie kina Kangi Lugola, tunataka matokeo chanya katika kumkwamua mwananchi wa kipato cha chini.

Humjui Sugu wewe bila shaka
 
Kale ka kabibi ka kinyakyusa kikiona hii mambo tumbo la kuhara linaanza, na hivi kanavyojitahidi kumwaga fedha haramu kwa watu huko mitaani. Ngoja wakapige chini sukari ianze..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani miaka yote minne soko lilikua safi sasa hivi uchaguzi umekaribia soko ndio chafu na mbunge kapata nafasi ya kwenda kufagia. Hahahaaa mwaka wa kuliwa umewadia na bado ubunge atausikia tuu
 
View attachment 1372470

=====

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido.

Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa.

Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi kuwa chama chake cha Chadema kitashinda jimboni kwake katika uchaguzi mkuu ujao, hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Chalamila atakuwa kafura kwa kuvimbisha Mashavu huko

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Hapo story ni ipi?
Kushiriki usafi? Kunywa chai ya rangi? Au Kunywa Chai rangi na masela?
Nadhani cha muhimu ni kuchangamana na wapiga kura wake katika maisha ya kila siku. Na hicho ndicho kilichomwinua sana Sugu kisiasa Mbeya. Vijana wanamwona ni mwenzao katika hali zote.
 
Back
Top Bottom