Ushirikina bado upo sana katika siasa za Tanzania!

Sio kwenye siasa tu! Nchi hii sehemu kubwa watu wanaamini sana ushirikina ndo mana hata maendeleo ya watu binafsi na taifa kwa ujumla yanakuwa mtihani mgumu!

Ujinga mtupu
Kama wewe ulivyo mshirikina.
 
Ila hili jambo bwana ni gumu sana.

Bunafsi nimeshapata ndoto zikiniambia hivyo.

Yaliyofanyika awamu iliyopita yasiachwe.

Serious kabisa.

Ikiwemo kuiba kura eh , yaani wasiache kuiba kura 2025 na kuzima mitandao.

Tuone tena watu kwenye viroba coco beach na watu kupotea ?

Ok endelea kulala na uote majinamizi ya kishetani yalikuwepo miaka 6 iliyopita.
 
Upo nje ya mada mkuu.
 
Upo nje ya mada
Pole sana najua unaumia ila hafufuki ng'o!!!
Vijana mna maruhani vichwani mwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…