Ushirikina bado upo sana katika siasa za Tanzania!

Ushirikina bado upo sana katika siasa za Tanzania!

Sio kwenye siasa tu! Nchi hii sehemu kubwa watu wanaamini sana ushirikina ndo mana hata maendeleo ya watu binafsi na taifa kwa ujumla yanakuwa mtihani mgumu!

Ujinga mtupu
Jinsi watu wanavyoroga na kuamini ulozi unatoa matokeo chanya, ndio umaskini unavyotamalaki. Maendeleo gani ambayo hayana matumizi ya akili? Ujinga mtupu
 
Ila hili jambo bwana ni gumu sana.

Bunafsi nimeshapata ndoto zikiniambia hivyo.

Yaliyofanyika awamu iliyopita yasiachwe.

Serious kabisa.
Ni kitu gani kizuri cha awamu iliyopita kimeachwa?
 
Sio kwenye siasa tu! Nchi hii sehemu kubwa watu wanaamini sana ushirikina ndo mana hata maendeleo ya watu binafsi na taifa kwa ujumla yanakuwa mtihani mgumu!

Ujinga mtupu

Mwenge wa uhuru ni sehemu ya ushirikina huo wa taifa.
 
Afadhali mwenge lakini hii ya mtoto wa siku tatu kumzungumzia Jiwe ni uchizi!

Mwenge ndio matokeo ya huu ukondoo wa wananchi. Hilo la mtoto wa siku tatu ni porojo za mtaani. Una uhakika ni mtoto wa siku tatu? Kuna popote umejiridhisha kuwa ni mtoto wa siku tatu anaongea?
 
Mwenge ndio matokeo ya huu ukondoo wa wananchi. Hilo la mtoto wa siku tatu ni porojo za mtaani. Una uhakika ni mtoto wa siku tatu? Kuna popote umejiridhisha kuwa ni mtoto wa siku tatu anaongea?
Porojo hizi za mtoto wa siku tatu ndiyo ushirikina wenyewe! Aidha kudhani mwenge ndiyo umewafanya Watanzania kuwa kondoo ni zaidi ya ushirikina!
 
200 (22).gif
 
Back
Top Bottom