Hii inashuhudia vita ya shetani dhidi ya watu WA Mungu, ndugu zangu waislamu na wakristu tuungane pamoja katika sala na dua dhidi ya muovu shetani..
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Illuminati Monetary Fund "IMF"
sidhani kama USA/UK au nchi yeyote imelazimisha watu kuwa MASHOGA. Lakini kama mtu ni SHOGA au ameamua kuwa SHOGA aachwe aishi atakavyo na sio mumpangie au mumuue au kumfunga kwa sababu AMEAMUA kuwa shoga.
Huo ndio msimamo wao na haki za binadamu. Mimi binafsi sipendi USHOGA/MASHOGA lakini mtu akiamua kuwa shoga hainihusu afanye ushoga wake hayo ni maisha yake.wanachopinga USA na wenzao ni PERSECUTION dhidi ya mashoga,waacheni waishi watakavyo.
Wapuuzi sana hawa wazungu. Wanakuchagulia hadi namna ya kujamiiana. Duh!!!!
MKUU mbona unanitia mashaka sana juu ya kauli yako ? au. na wewe ni muumini wa ushoga??
hivi kweli mwanao akiwa SHOGA anafirwa utamwacha afirwe kisa kaamua mwenyewe kufirwa.
duu mkuu umetisha ushoga sikia kwa jirani lakini usiwe nyumbani kwako ni laana na aibu tupu.
natukija kwenye suala la dini hakika hakuna atakayepona uwe SHOGA au laa mwenyezi mungu akiamua kuangamiza anateketeza
mashoga na wasio mashoga
Nyie mnafikiri nchi za Africa tukiwa na msimamo mmoja hao manyang'au watatutisha nini? tuna resources za kushiba, na wao wana shida na resources zetu, nani atapoteza?...hivi kwanza ni kampuni gani zilizopewa deal za mafuta ug, wafukuzwe wote wapewe wachina!
Nyie mnafikiri nchi za Africa tukiwa na msimamo mmoja hao manyang'au watatutisha nini? tuna resources za kushiba, na wao wana shida na resources zetu, nani atapoteza?...hivi kwanza ni kampuni gani zilizopewa deal za mafuta ug, wafukuzwe wote wapewe wachina!
Wapuuzi sana hawa wazungu. Wanakuchagulia hadi namna ya kujamiiana. Duh!!!!
msimamo wangu ni huu....SIPENDI USHOGA LAKINI MTU AKIAMUA KUWA SHOGA NI YEYE SIWEZI KUMPANGIA AISHI VIPI......kuhusu mwanangu kuwa shoga nitajitahidi kumlea asiwe shoga lakini akitokea kuwa shoga siwezi kumuua au kumkataa kwani hao wenye watoto mashoga walipenda kuwa na watoto wa aina hio?