MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,039
- 855
Hii inashuhudia vita ya shetani dhidi ya watu WA Mungu, ndugu zangu waislamu na wakristu tuungane pamoja katika sala na dua dhidi ya muovu shetani..
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Hii dhambi ya kulawiti inatisha maana hadi the devil himself anaogopa tusije tukamshawishi dhambi hii, katushawishi sana kufanya maovu, mwisho wa siku naye anaogopa kwa kasi tuliyonayo ya kufanya dhambi.