Kiranga mbona unarudi mule mule, unadhani hiyo sheria waloiweka maana yake nin! kwan mtu atakamatwa bila kuonesha mambo hayo hadharani? hawawez kukamata watu bila wao kujidhihirisha kuwa ni mashoga..
wale wataofanya kwa kificho wataendelea tu, lakin mataifa ya ulaya wanataka uwaache wakiss hadharan, mapadri na mashehe wafungishe ndoa zao, ili kuwafundisha hata watoto wadogo wajue ushoga na ikibidi nao wafuate mlengo huo huo.
Mkuu umeongea vizuri sana na kusema kweli nchi za Kiafrika hakuna wakati wowote zinapita ktk kipindi kigumu cha kulinda maadili ya jamii yake kama hiki.
Kama umeona mijadala inayo endelea Ulaya na Amerika ktk sites za watu wanaopinga ushoga kuna tisho la wazi kwamba vijana wao wakiendelea kuishi maisha ya kishoga baada ya miaka michache Wazungu watakua Minority hata ktk nchi zao kwasababu watoto wao hawazai.
Kwa hiyo kwa kutambua hilo haishangazi Wazungu kutukomalia nasi tutumbukie ktk laana hii na wanajua ambavyo vijana wa Kiafrika kuiga mambo kama haya ilivyo rahisi sana.
Last edited by a moderator: