Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

Kiranga mbona unarudi mule mule, unadhani hiyo sheria waloiweka maana yake nin! kwan mtu atakamatwa bila kuonesha mambo hayo hadharani? hawawez kukamata watu bila wao kujidhihirisha kuwa ni mashoga..

wale wataofanya kwa kificho wataendelea tu, lakin mataifa ya ulaya wanataka uwaache wakiss hadharan, mapadri na mashehe wafungishe ndoa zao, ili kuwafundisha hata watoto wadogo wajue ushoga na ikibidi nao wafuate mlengo huo huo.

Mkuu umeongea vizuri sana na kusema kweli nchi za Kiafrika hakuna wakati wowote zinapita ktk kipindi kigumu cha kulinda maadili ya jamii yake kama hiki.

Kama umeona mijadala inayo endelea Ulaya na Amerika ktk sites za watu wanaopinga ushoga kuna tisho la wazi kwamba vijana wao wakiendelea kuishi maisha ya kishoga baada ya miaka michache Wazungu watakua Minority hata ktk nchi zao kwasababu watoto wao hawazai.

Kwa hiyo kwa kutambua hilo haishangazi Wazungu kutukomalia nasi tutumbukie ktk laana hii na wanajua ambavyo vijana wa Kiafrika kuiga mambo kama haya ilivyo rahisi sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza fedha nyingi za misaad kwa Africa huwa zinaishia mifukoni kwa mafisadi mwananchi wa kawaida hawezi kuumia.

Niliwahi andika ktk kipindi kile Obama anagombea Urais wa USA kwamba kwa kiasi kikubwa Waafrika tuna maadili ya kihafidhina ambayo yanaheshimu familia na jamii. Kwa hiyo kama ni chama ambacho kwa kiasi kikubwa wapo kimaadili karibu yetu ni Republican. Wakati wa Bush misaada kwa watu wa aina hii na watoa mimba ilikua imekatwa mkasi!
 
Vipi kuanzisha kampeni ya kubadilisha tena jina la barabara ya Barack Obama irudie jina lake la zamani?
 
Mbona watu wanauawa kwenye vita dhidi ya ugaidi lakini hawajaongelea haki za binadamu wameona ushoga tu nisemetu ukweli marekani itakuja kuanguka vibaya sana nadhani nitakuasipo hai lakini mwisho wake umekaribia ghadhabu ya mungu itawashukia

Well said bro.Mungu amekuwa kimya saana sikuhiz bnadamu tunajisahau..like kwani aratufanya nini?mi nashangaa sana ambvyo hatumuogopi Mungu alafu kweli bnadamu tumetokwa utu ..ata ile hali ya kutofautisha kinyaa na salama hatna tna hvi kweli kuna ktu cha kubishana hapa mpaka tunyimane misaada ??lah!!maana ata kama humuogopi Mungu ilihari kakuumba binadamu lazma kna some major interests kama hizi tuna share nae..bt nayo imekuwa tabuu ..jamani?!!!...Eeh Mungu rudi tuu ufanye final judgement yaishe.hii Dunia imeshaisha maana
 
sidhani kama USA/UK au nchi yeyote imelazimisha watu kuwa MASHOGA. Lakini kama mtu ni SHOGA au ameamua kuwa SHOGA aachwe aishi atakavyo na sio mumpangie au mumuue au kumfunga kwa sababu AMEAMUA kuwa shoga.

Huo ndio msimamo wao na haki za binadamu. Mimi binafsi sipendi USHOGA/MASHOGA lakini mtu akiamua kuwa shoga hainihusu afanye ushoga wake hayo ni maisha yake.wanachopinga USA na wenzao ni PERSECUTION dhidi ya mashoga,waacheni waishi watakavyo.
Kama nimeamua kuwa shoga, na sina mpenzi lazima nitakutafuta nikushawishi wewe ambaye huajapata wazo, au hasa mtoto akijana mdogo anifanyie ninavyotaka. Kwa hio tutazalisha taifa la watu wenye kupenda kufikiria starehe zao zaidi bdala ya majukumu ya ubinadamu wao.
Ushoga na haki za ushoga kwa mtazamo wangu ni tabia ya kutokupenda kukubali udhaifu na uhitaji wa msaada wa hormonal imbalance kama udhaifu mwingine.
Hawa watu wanadai haki na tunapoteza muda kuwajadili badala ya kupoteza muda kutafuta dawa wapone???
huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, lazima kila binadamu apate fursa ya kutibiwa.
Ila tunawapenda ndugu zetu, ila wasiambukize watoto wetu.
 
museven kawafla wakongo ngoja na wazungu nao wajae uganda wawafi..le nchi nzima kuanzia ikulu mpaka mitaani,akiifuta sheria hiyo museveni ainame aokote kidude

Kwa hiyo wewe unashabikia kufirana?
 
hicho kipengele cha kuweka hadharani na kufundisha watoto na kukataa tiba ndio kinanikera zaidi
 
Kiranga mbona unarudi mule mule, unadhani hiyo sheria waloiweka maana yake nin! kwan mtu atakamatwa bila kuonesha mambo hayo hadharani? hawawez kukamata watu bila wao kujidhihirisha kuwa ni mashoga..

wale wataofanya kwa kificho wataendelea tu, lakin mataifa ya ulaya wanataka uwaache wakiss hadharan, mapadri na mashehe wafungishe ndoa zao, ili kuwafundisha hata watoto wadogo wajue ushoga na ikibidi nao wafuate mlengo huo huo.

Sheria inapiga marufuku ushoga, siyo public indecency.

Get it right.
 
Sheria inapiga marufuku ushoga, siyo public indecency.

Get it right.
wew tu ndo hutaki kuelewa, unadhani kupiga marufuku ushoga jeshi litakuwa linapitia kila nyumba kusaka waliolala kuona kama ni watu wa jinsia moja!!!. hata wangesema tunapiga marufuku kuonekana hadharan ushoga ila mafichoni ruksa, watu wa magharibi lazma wangesema wanayosema saiv, kuwa ni kukandamiza haki za binadamu.
 
Sure 666 on duty..marekani imetajwa kama nchi kuu itakayotumika kutimiza huu unabii..siamini nimeishi kushuhudia haya..anyway Kwa wale mlio na interest ya kujua zaidi visit WWW.Ellen g white prophecy concerning 666 kama sikosei..Bt all in all ..mie nadhani filam ilianzia eden ..Eva alipo disobey agizo la Mungu akala tunda..mwisho tukajua haya mema Yale mabaya..jamani let God be God..mwenyewe katuumba alijua nature yetu ni kujua mema tuu ..mabaya tusi come across nayo Kabsaa.sasa ona..tumejua yote kufanya uchaguz wa lipi tufanye lipi tuache imekuwa ngumu..hekma za wanadamu kweli Mungu amezfanya kuwa upumbavu khaa ata wanyama wanatushinda utashi sasa!!!!!..yaan bnadamu it was God himself to dictate us hii democracy thing hii ni Sera zilizoanzshwa na shetani tangu vta yake dhidi ya Muumba wake kule mbinguni.sasa aliposhindwa kaja kuziendeleza duniani.na amesha jua kuwa amekosea anatulaghai tuu tupotee nae na hivi tunavyo swing nae nadhani ata nae anashangaa na anamuelewa Mungu sasa kwanini alichoose kutu dictate from the beginning.. cz nature yetu hairuhusu kupewa choices!!.. plzz God don't be silent now do something tuna angamia ..show your presence where are you? like in those time of Noah..sodoma..moses..meshack..Abednego.. DO IT AGAIN...??? Well just a prayer..your will be done..you know more
 
Ni wapi hiyo sheria inasema ni marufuku kuonyesha mambo ya kishoga hadharani lakini rukhsa ukiwa ndani ya nyumba yako?
ha ha ha....., hakuna ruksa kama hiyo, ila unadhani sheria si imeweka kuwa mtu akiiba ni kosa na anahukumiwa! lakin watu wanaiba anaekamatwa anafungwa asiyekamatwa anapeta..,

nilitaka tu kumjibu bwana kiranga aliyesema kuwa sheria hiyo ingezuia tu ushoga wa hadharani na ikaacha wale watakaofanya kwa kificho!. sheria sio lazima iseme hivo, ila in reality inafanya kazi namna hiyo.
 
Bongo VP maana sisi kilacku tuko kwao huko.sijui kama kweli mkulu atamkatalia obama

Hata kama mkulu akiogopa, sie tukichukua dola suala la kwanza ni kupitisha sheria ya kupinga Ushoga. Aid for hell!
 
Mhh kweli twaelekea mwisho mana dahh..
JK walau subiri WB imalize morogoro road kwanza..mana hawachelewi
 
sidhani kama USA/UK au nchi yeyote imelazimisha watu kuwa MASHOGA. Lakini kama mtu ni SHOGA au ameamua kuwa SHOGA aachwe aishi atakavyo na sio mumpangie au mumuue au kumfunga kwa sababu AMEAMUA kuwa shoga.

Huo ndio msimamo wao na haki za binadamu. Mimi binafsi sipendi USHOGA/MASHOGA lakini mtu akiamua kuwa shoga hainihusu afanye ushoga wake hayo ni maisha yake.wanachopinga USA na wenzao ni PERSECUTION dhidi ya mashoga,waacheni waishi watakavyo.

mtoto wako wa kiume akiamua kuwa shoga utamuacha aishi atakavyo??? we ----- kwel
 
Sure 666 on duty..marekani imetajwa kama nchi kuu itakayotumika kutimiza huu unabii..siamini nimeishi kushuhudia haya..anyway Kwa wale mlio na interest ya kujua zaidi visit WWW.Ellen g white prophecy concerning 666 kama sikosei..Bt all in all ..mie nadhani filam ilianzia eden ..Eva alipo disobey agizo la Mungu akala tunda..mwisho tukajua haya mema Yale mabaya..jamani let God be God..mwenyewe katuumba alijua nature yetu ni kujua mema tuu ..mabaya tusi come across nayo Kabsaa.sasa ona..tumejua yote kufanya uchaguz wa lipi tufanye lipi tuache imekuwa ngumu..hekma za wanadamu kweli Mungu amezfanya kuwa upumbavu khaa ata wanyama wanatushinda utashi sasa!!!!!..yaan bnadamu it was God himself to dictate us hii democracy thing hii ni Sera zilizoanzshwa na shetani tangu vta yake dhidi ya Muumba wake kule mbinguni.sasa aliposhindwa kaja kuziendeleza duniani.na amesha jua kuwa amekosea anatulaghai tuu tupotee nae na hivi tunavyo swing nae nadhani ata nae anashangaa na anamuelewa Mungu sasa kwanini alichoose kutu dictate from the beginning.. cz nature yetu hairuhusu kupewa choices!!.. plzz God don't be silent now do something tuna angamia ..show your presence where are you? like in those time of Noah..sodoma..moses..meshack..Abednego.. DO IT AGAIN...??? Well just a prayer..your will be done..you know more

Sabato njema muke ya muyahudi
 
Last edited by a moderator:
That is what happens when the devil himself is calling the shots!!!
 
Jaman kwa nin watu weupe wanatuburuza kiasi hichi? Mim nazan wanapima uwezo we2 na si kingne... Kweli jaman swala la ushoga ni la kulazmisha likubaliwe na nchi ambayo ipo huru? Kama kuharibu tamaduni zetu wameshaharibu lakn 'USHOGA' Hapanaa.... Kama kufa na 2fe lakin ndoa ya jinsia moja c maadili mema kwa African People. Kip It Up M7.

Kama mlilazimishwa vyama vingi mpaka mkakubali wakati si mfumo wenu, kuruhusu haki za ushoga kutakuwa na tofauti gani?
 
Kweli kizazi hiki kina laana kubwa ,hata hao wazungu hapo siku za nyuma walikuwa wanalaani sana ushoga,na ikichukuliw kwamba miaka hiyo ukristo ulikuwa umeota mizizi kwa watu wa jamii ya kizungu,siku hizi ni tofauti wazungu wengi wanaamini ushetani,na huko kwao makanisa yamekuwa kama nyumba za makumbusho,na kwa watu wasio na dini ni vigumu kuamini utu na Mungu anavyotaka.
Nimeshangaa benki ya dunia kutoa tamko hio kwa Uganda,na hilo ni fundisho kwa watawala wetu na ningependa iwe angalizo kwa Raisi wetu,kutegemea sana misaada kutoka kwa nchi za Magharibi matokeo yake ndio hayo ya kulazimisha ushoga,kwetu sisi waafrika ushoga katika jamii una muonekano hasi na mbaya,hebu fikiria mwanao ,kaka yako au baba yako anakuwa shoga sijui utajisikiaje.Dawa ni kwa nchi za kiafrika kwa kila nchi kuungana na kuupiga vita ushoga,umasikini wetu usitufanye tuwe hayawani,mbona huo uhuru wa mashoga haushinikizwi kwa nchi kama China?Na imenishangaza kwa viongozi wa nchi za kiafrika walivyo wanafiki,kwenye suala la ICC la Kenya walipiga kelele lakini kwenye ushoga wamekaa kimya ni wakati wa waafrika kuwa na sauti moja,pia hao nchi za Magharibi na mashirika yake bado wanatuhitaji na sio kwelikwamba ni sisi pekee tunawahitaji,
 
Kila nikifikiria kauli za bado tunakopesheka napata wasi wasi kama Mkulu kwenye hili ataweza kuchomoa, Nchi tusiyopenda kusema tunaweza wenyewe mpaka mikopo au ufadhili, tangu uhuru mpaka leo bado tunajiita Nchi maskini utadhani hatuna rasilimali za kuliingizia Taifa mapato, siwalaumu sana hao wazungu, hela ni zao wacha wapange masharti watakavyo, kama kweli hatutaki kudhalilishwa ndio wakati wa viongozi wa Africa kuinuka na kuamua kwa kauli moja kuwa AFRICA TUNAWEZA BILA NCHI ZA MAGHARIBI............vinginevyo mutaona tu, watu washachoka.
Naomba wanawake wasinielewe vibaya ila na sisi waafrika kama nchi tumekuwa kama wanawake. Eti tukiwezeshwa, upuuzi mtupu!!! Tumekaa kazi kutegemea misaada kama wajinga fulani hivi.
 
Back
Top Bottom