Maalim Raphael
Member
- Nov 23, 2018
- 94
- 202
Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu.
Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22
"๐ผ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐."
Kutokana na uzito wa kosa la liwati (ushoga) amri ya kuuawa washiriki imetolewa:
"๐ด๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐, ๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐."
( Mambo ya Walawi 20:13)
Leo tutazame hali ya Ushoga katika taifa hili bandia lilioanzishwa 1948 linalojiita teule.
Haki za wasagaji na mashoga katika taifa la Israeli ni bora zaidi kuliko nchi yoyote ya ukanda wa Mashariki ya Kati.
Israel imekuwa nchi ya kwanza barani Asia kutambua haki ya kuishi pamoja kati ya wapenzi wa jinsia moja bila kusajiliwa.
Wanandoa wa jinsia moja wanaruhusiwa kuasili mtoto kwa pamoja, kufuatia uamuzi wa kihistoria wa mahakama uliofanywa mwaka 2008.
Mashoga na Watu wengine wa LGBTQ pia wanaruhusiwa kuhudumu katika jeshi la Israeli.
Tel Aviv makao makuu ya Israeli yalirejelewa na jarida maarufu la "Calgary Herald" kama mojawapo ya miji inayowapa heshima kubwa mashoga duniani, ndio maana jarida la Out likaliita jiji hilo kwa jina la utani "mji mkuu wa mashoga wa Mashariki ya Kati."
Tovuti ya GayCities, 2011 iliitaja TelAviv kama jiji bora zaidi la wapenzi wa jinsia moja.
Jijini Tel Aviv kuna mnara wa kumbukumbu uliojengwa 2014 kuenzi mashoga walio wahanga wa Holocaust.
Sio serikali tu inayounga mkono mashoga, kura za maoni zimegundua kuwa Waisraeli wengi wanaunga mkono kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja.
Kwa mujibu wa ripoti ya Channel 13 kama ilivyonukuliwa na jarida la Jerusalem Post, Waisraeli 61% wanaunga mkono kuwapa haki sawa watu wa LGBTQ.
Uungaji mkono wa haki za mashoga ni mkubwa miongoni mwa Waisraeli Wayahudi kwa 68% na 17% tu ya wasiounga mkono.
Kwa wale Waisraeli wasio Wayahudi upingaji wa haki za mashoga ni mkubwa kwa 73% na uungaji mkono wa 22%.
๐ ๐ฎ๐๐ต๐ผ๐ด๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ด๐ฎ๐ท๐ถ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ท๐ฎ๐บ๐ถ๐ถ ๐๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฎ๐ฒ๐น๐ถ
Mashoga Waisraeli huhudumu waziwazi katika jeshi la Israeli tangu 1993. Israeli inatambua kikamilifu washirika wa wanajeshi na maafisa walio mashoga.
Sheria ya Fursa Sawa katika Ajira ya 1992 inakataza ubaguzi mahali pa kazi kwa sababu ya mwelekeo wa kijinsia.
Raia mashoga hutumikia nafasi nyeti serikalini kama vile Ubunge, ujaji, na uafisa wa umma. Idadi kubwa ya wanadiplomasia wanaoiwakilisha Israeli kote ulimwenguni ni mashoga.
Mashoga na wasagaji wanaopitia mateso kote Mashariki ya Kati mara nyingi hukimbilia Israeli.
๐จ๐น๐ถ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ณ๐ฎ๐บ๐ถ๐น๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐๐ต๐ผ๐ด๐ฎ
Wanandoa mashoga wanafurahia kutambuliwa na mahakama za Israel na wana haki ya:
๐๐๐ฎ๐๐ถ๐น๐ถ: Mahakama za Familia za Israeli zinatambua kikamilifu uasili unaofanywa na wapenzi wa jinsia moja.
๐จ๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ป๐ฑ๐ผ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ท๐ถ๐ป๐๐ถ๐ฎ ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ: Kwa kukosekana kwa ndoa ya kiraia nchini Israeli, Mahakama Kuu inatambua ndoa za jinsia moja zinazofanywa nje ya nchi.
๐๐ถ๐ณ๐ฎ๐ฑ๐ต๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐บ๐ถ๐ถ: Sheria ya Israeli inatoa usawa kati ya wapenzi wa jinsia moja na watu wa jinsia tofauti katika masuala ya pensheni za kustaafu na wajane na huduma za matibabu.
๐จ๐ฟ๐ถ๐๐ต๐ถ: Mahakama za Israeli, kwa idhini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, zinatambua haki ya watu wa jinsia moja kurithi mali ya mwenzi mwingine.
๐ ๐ฎ๐๐ต๐ถ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐๐ต๐ผ๐ด๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฎ๐ฒ๐น๐ถ
1. Gay Tel Aviv Guide
2.Chama cha Kitaifa cha LGBT nchini Israeli
3.Jerusalem Open House
4. Havruta
Bat-kol (Shirika la Wasagaji wa Kidini.
5. GayIsrael
๐ฅ๐ฒ๐ธ๐ผ๐ฑ๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐๐ธ๐ถ๐ผ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐ต๐ผ๐ด๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฎ๐ฒ๐น๐ถ
1975: Jumuiya ya kwanza ya LGBT ya Israeli (The Aguda) ilianzishwa
1988: Mapinduzi ya Mashoga ya Israeli yanaanza.
1992: Knesset (Bunge la Iraeli) linatangaza kubatilishwa ubaguzi kulingana na mwelekeo wa kijinsia au mahali pa kazi.
1993: Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) linatekeleza sera ya kupinga ubaguzi katika jeshi la Israeli.
1994: Mahakama Kuu yatoa hukumu ya kuwanufaisha mume na wenye jinsia moja.
1998: Nyota wa Kiisraeli aliyebadili jinsia, Dana International, alishinda Shindano la Nyimbo za Eurovision.
2000: Mahakama ya Juu inawatambua wapenzi wa jinsia moja kuwa wazazi wa kulea watoto.
2002: Mbunge wa kwanza shoga wa waziwazi wa Bunge la Israeli alichaguliwa.
2004: Mahakama ya Tel Aviv ilitoa uamuzi kwamba serikali haiwezi kumfukuza mpenzi wa jinsia moja mwenye asili ya kigeni wa raia wa Israeli.
2006: Ndoa za mashoga zilizofanywa nje ya nchi zinatambuliwa rasmi nchini Israeli.
2008: Haki kamili za kuasili zilizotolewa kwa wanandoa mashoga.
2010: Jarida la Out linatambua Tel Aviv kama jiji salama zaidi kwa mashoga Mashariki ya Kati.
2011: Jaji wa kwanza shoga aliteuliwa.
2011: Israeli inaandaa gwaride kubwa zaidi la Fahari ya Mashoga katika Bara la Asia na zaidi ya washiriki 100,000 kutoka kote ulimwenguni walihudhuria.
Madai kuwa Israeli ni taifa teule na takatifu yanavunjwa na hii kashfa nzito ya kuwa chaka la mashoga Mashariki ya Kati.
Ikumbukwe kuwa uteule wa Israeli ulitegemea sharti la kushika agano la Mungu kama inavyonukuliwa kutoka kwenye Torati:
"๐บ๐๐๐ ๐๐๐๐, ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐. ๐ด๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐.' ๐ฏ๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐พ๐๐๐๐๐๐๐๐.โ
(Kutoka 19:5-6)
Neno "kama" katika andiko hilo linaashiria sharti kuwa hamui taifa teule wala taifa takatifu ila kwa kusikia sauti ya Mungu na kushika agano lake.
Rejea:
โขWikipedia
โขGay Israel
โขJerusalem Post
โขOUT