KAMA UTANI
Member
- Aug 25, 2023
- 6
- 0
Andiko lako tungeliwekia akili na kulijadili kama ungelileta kipindi tofauti na sasa.
Sasa hivi tuna hangaika na jinsi ya kuangamiza kundi la kigaidi la Hamas lililoshambulia kongamano la nyimbo lililokuwa likifanywa na raia wa Israel.
Pwani ya afrika mashariki ubasha na ushoga alileta nani mara ya kwanza.
Nazungumzia unguja na pemba na tanga na kismayu na mogadishu na kilwa na mombasa na kilwa na sofala pia.
Na maalimu usisahau tutazame pia watu wa kwanza kuuleta ushoga na ubasha pwani ya afrika mashariki walitokea mataifa yapi
NB: Nitashukuru ukitizama na hilo pia
Mkuu safiri uone,,,unajua ushabiki bila kuisafiri dunia ni UMAMUHUMA.
Nenda nchi za kiarabu hata hapo kwa watani zangu Oman ujionee mwenyewe!!
Katika nchi zote nilizotembelea duniani ni nchi za kiarabu zinaongoza kwa ushoga na ulawiti na wanawake kuingiliwa kinyume.
Sema hapo ulipotukana ndio umekosea.Watu tupo wengi duniani na imani zipo nyingi..Sasa mtu akiwa na imani tofauti na wewe ukimtukana wala haisaidii maana imani ni uchaguzi binafsi wa hiyari kwa binadamu wote ulimwenguni