Ushoga ni utamaduni wa Magharibi, kwanini iwe shinikizo kwa nchi nyingine?

Ushoga ni utamaduni wa Magharibi, kwanini iwe shinikizo kwa nchi nyingine?

Paulsylvester

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2021
Posts
1,464
Reaction score
3,379
Dunia yote imekubali kuwa ni wachumba tu kwa nchi za Magharibi, Marekani ikikohoa kuhusu utamaduni wake uheshimiwe na viongozi wote duniani, wote wanapiga saluti!

Hakuna asiyefahamu, Mungu amewaumba wanadamu wenye jinsia tofauti, na kwa sababu hiyo, ili wanapokutana na kufanya tendo la ndoa, basi kuwepo na uzao! Nje na hapo hakuna kuzaa.

Hakuna asiyefahamu kuwa, mashoga hawawezi kupata watoto bali wanachokifanya ni kumfanya Mungu kuwa mpumbavu na asiyejua chochote kuhusu uumbaji na matumizi sahihi ya viungo vya mwanadamu!

Utamaduni huu wa kijinga, waasisi wake ni nchi za huko juu! Na kwa kuwa kwao ni kawaida, basi wakatunga na sheria za kuulinda huu ujinga, na ole wa nchi itakayokwenda kinyume na sheria zao hizo zinazohusu Haki za Binadamu! Asante JPM kuwavimbia hawa mashetani Kwa ujinga wao huu,

Naiangalia Dunia yote ukimwondoa aliyekuwa Raisi wa nchi yetu ndogo JPM, ndiye pekee ambaye hakukibaliana na hizo sheria za kijinga. Na sasa namuona shujaa mwingine ambaye amesimama kidete kupinga huu utamaduni wa kijinga kwamba, isiwe ni jambo la kuyalazimisha na mataifa mengine kuunga mkono hili jambo Kwa mgongo wa haki za binadamu, jambo hili, libaki kwao kama utamaduni wao!

Sipendi operation za huyu mwamba anazozifanya kule Ukraine, ila kwenye kulikemea jambo hili, nampa asilimia zote kwamba, chini ya kitu inaitwa Demokrasia, kuna mambo ya kipumbavu hupitishiwa kule licha kwamba ni haramu!

Naisihi sasa dunia kuanza kuachana na hawa Wamagharibi katika sera zao za kishetani ili dunia ianze kuona nuru ya Muumbaji!

Naungana na Putin Rais wa Urusi, kupinga Kwa nguvu suala la ushoga na mashoga, hawa ndiyo wanaifanya dunia kuwa kama sehemu ya Jehanam, hakuna mvua, chakula, na hali ya hewa imekuwa ni mbaya sana kuwahi kutokea Kwa sababu ya mambo ya kishetani kama haya!

Mungu Ibariki Urusi.
 
Kwan kuna mtu amelazimishwa kuwa shoga ?
 
Mugabe banah ndo alitoboa! Alimwambia Obama kama vip aje kwanza yeye amuoe then ndo ataruhusu
[emoji3][emoji3]
Wahenga hawana kupepesa macho
Yaani ukizeeka kitu ambacho huafikiani nacho unaponda hata kama awe nani
Mimi na uzee huu huwa najishangaa mara nyingine [emoji1]
 
Ukiwa na njaa huwezi fanya maamuzi!
Ila wazee kama Mugabe na M7 na hata Kikwete alijibu kistaarabu sana na kukipinga kiaina
Huwezi kukubali kisa njaa kwani ni maamuzi ya nchi nzima hayo na kama ni misaada wakate tu
 
Kusema ni utamaduni sidhani kama ni kauli sahihi. Mashoga hata huku kwetu walikuwepo na bado wapo. Sema wale ni kwasababu ya maendeleo waliyonayo ambapo hizo ni baadhi ya negativities za maendeleo yao. Hususan haki za binadhamu wa aina zote.

Lakini huku kwetu mashoga toka kitambo wako na walikuwa wakifahamika. Labda ni kwasababu kwa kiasi kikubwa hatutaki kuwaendekeza.
 
Dunia yote imekubali kuwa ni wachumba tu Kwa nchi za Magharibi,

Marekani ikikohoa kuhusu utamaduni wake uheshimiwe na viongozi wote duniani, wote wanapiga saluti!

Hakuna asiyefahamu, Mungu amewaumba wanadamu wenye jinsia tofauti, na Kwa sabb hiyo, ili wanapokutana na kufanya tendo la ndoa, basi kuwepo na uzao! Nje na hapo hakuna kuzaa

Hakuna asiyefahamu kuwa, mashoga hawawezi kupata watoto Bali wanachokifanya ni kumfanya Mungu kuwa mpumbavu na asiyejua chochote kuhusu uumbaji na matumizi sahihi ya viungo vya mwanadamu!

Utamaduni huu wa kijinga, waasisi wake ni nchi za huko juu! Na Kwa kuwa kwao ni kswaida, basi wakatunga na sheria za kuulinda huu ujinga, na ole wa nchi itakayokwenda kinyume na sheria zao hizo zinazohusu haki za Binadamu!

Asante JPM kuwavimbia hawa mashetani Kwa ujinga wao huu,

Naiangalia dunia yote ukimwondoa aliyekuwa raisi wa nchi yetu ndogo JPM, ndiye pekee ambaye hakukibaliana na hizo sheria za kijinga

Na sasa namuona shujaa mwingine ambaye amesimama kidete kupinga huu utamaduni wa kijinga kwamba, isiwe ni jambo la kuyalazimisha na mataifa mengine kuunga mkono hili jambo Kwa mgongo wa haki za binadamu,

Jambo hili, libaki kwao kama utamaduni wao!

Sipendi operation za huyu mwamba anazozifanya kule Ukraine, ila kwenye kulikemea jambo hili, nampa asilimia zote kwamba, chini ya kitu inaitwa Demokrasia, kuna mambo ya kipumbavu hupitishiwa kule licha kwamba ni haramu!

Naisihi sasa dunia kuanza kuachana na hawa Wamagharibi ktk Sera zao za kishetani ili dunia ianze kuona nuru ya Muumbaji!

Naungana na Putin Rais wa Urus, kupinga Kwa nguvu suala la ushoga na mashoga, hawa ndio wanaifanya dunia kuwa kama sehemu ya Jehanam, hakuna mvua, chakula, na haki ya hewa ni mbaya Kwa sababu ya mambo ya kishetani kama haya!

Mungu Ibariki Urus
Wameona jinsi unavyo watesa sasa waneona dunia nzima iingie kwenye mateso hayo. Ushoga upingwe kwa nguvu zote
 
Western countries ni wajanja mno na wako kipopraganda enzi wanavamia pwani za Africa haswa Tanzania maeneo ya pwani walipata tabu kusambaza tamaduni zao kwani tayar walishakuwa wanajtambua wakaja na propaganda kwamba watu wa Pwani ni wavivu na Kuna ushoga sana ..ila kiuhalisia sio kweli hata leo mtanzania anaongelea sehemu fulani Kuna tabia fulani unakuta hajwai kuishi wala kufika ila anaongelea kwa chuki tu juu ya jamii fulani..

Msidanyanywe ushoga kwa Africa umeletwa na wazungu na wako katika agenda kubwa kuhakikisha unapamba moto nimesikia Kuna nyimbo ya jux na Mario wamepusha ile logo kupitia mwamvuli fulani alikuwa kshika mdada kweny video ..yote ni kushabikia hayo mambo.
 
Back
Top Bottom