Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Sasaivi zimbabwe ina hali gani?Mugabe banah ndio alitoboa! Alimwambia Obama kama vipi aje kwanza yeye amuoe then ndio ataruhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasaivi zimbabwe ina hali gani?Mugabe banah ndio alitoboa! Alimwambia Obama kama vipi aje kwanza yeye amuoe then ndio ataruhusu
Yani dini inamfanya mtu akatae ukweli ulio wazi kabisaNapingana na wewe,kuhusu suala la ushoga na ukanda wa pwani.Kwa pwani ushoga upo kwa kiasi kikubwa mno ,nimeishi PEMBA,UNGUJA,MOMBASA,ni aibu!!!kama UNGUJA hapo malindi huwezi ukaamini kama uyaonayo yapo kwenye nchi yenye waislam 99.9%!!!huko nako wageni wa kwanza kufika huko,zilikuwa nchi za magharibi??!Ukweli upo wazi.
SAWA ENDELEENI KUTANGAZA BIASHARA.Itakuwa wewe pia ni shoga na wanaokuunga mkono wapo kama wewe
Haina tatizo maana wao middle east dhambi za kila aina wanafanya ..Ishu ni kupromote ndo tatizo kulazimisha jamii kukubali ni vizuri watu wakapiga kimya ila wanapromote ni hatar zaidiKwa aliyejifunza kidogo mafundisho ya dini, Sodoma na Gomora ndipo kulikuwa ni kitovu cha ushoga. Maeneo haya yanapatikana Middle East huko na wala siyo huko Western.
Hali ya ushoga au hali ya kiuchumi na kijamii?Sasaivi zimbabwe ina hali gani?
Hali ya kiuchumiHali ya ushoga au hali ya kiuchumi na kijamii?
Kumbe hali yao ya uchumi imesababishwa na kupinga sera za LGBQHali ya kiuchumi
Mungu atunusuru na hayaKuamini na kusema ni swala moja na wananchi wake kuingiliana kinyume ni swala jingine. Hivo kusema ni kutudanganya wapumbavu wenzie lakini ukweli ni kwamba watu wanageuzana na hawata acha ni dhambi za kuridhi. Kama una fira Demu uwe na hakika mwanao au mjukuu atafirwa tu.
Bila maombi ya kweli na kuacha dhambi hakuna jipya ni Makelele tu
Na mengineyo mengiKumbe hali yao ya uchumi imesababishwa na kupinga sera za LGBQ
Ushoga sio utamaduni wa nchi za Magharibi,ushoga ulikuwepo tangu enzi za Nuhu huko.Dunia yote imekubali kuwa ni wachumba tu kwa nchi za Magharibi, Marekani ikikohoa kuhusu utamaduni wake uheshimiwe na viongozi wote duniani, wote wanapiga saluti!
Hakuna asiyefahamu, Mungu amewaumba wanadamu wenye jinsia tofauti, na kwa sababu hiyo, ili wanapokutana na kufanya tendo la ndoa, basi kuwepo na uzao! Nje na hapo hakuna kuzaa.
Hakuna asiyefahamu kuwa, mashoga hawawezi kupata watoto bali wanachokifanya ni kumfanya Mungu kuwa mpumbavu na asiyejua chochote kuhusu uumbaji na matumizi sahihi ya viungo vya mwanadamu!
Utamaduni huu wa kijinga, waasisi wake ni nchi za huko juu! Na kwa kuwa kwao ni kawaida, basi wakatunga na sheria za kuulinda huu ujinga, na ole wa nchi itakayokwenda kinyume na sheria zao hizo zinazohusu Haki za Binadamu! Asante JPM kuwavimbia hawa mashetani Kwa ujinga wao huu,
Naiangalia Dunia yote ukimwondoa aliyekuwa Raisi wa nchi yetu ndogo JPM, ndiye pekee ambaye hakukibaliana na hizo sheria za kijinga. Na sasa namuona shujaa mwingine ambaye amesimama kidete kupinga huu utamaduni wa kijinga kwamba, isiwe ni jambo la kuyalazimisha na mataifa mengine kuunga mkono hili jambo Kwa mgongo wa haki za binadamu, jambo hili, libaki kwao kama utamaduni wao!
Sipendi operation za huyu mwamba anazozifanya kule Ukraine, ila kwenye kulikemea jambo hili, nampa asilimia zote kwamba, chini ya kitu inaitwa Demokrasia, kuna mambo ya kipumbavu hupitishiwa kule licha kwamba ni haramu!
Naisihi sasa dunia kuanza kuachana na hawa Wamagharibi katika sera zao za kishetani ili dunia ianze kuona nuru ya Muumbaji!
Naungana na Putin Rais wa Urusi, kupinga Kwa nguvu suala la ushoga na mashoga, hawa ndiyo wanaifanya dunia kuwa kama sehemu ya Jehanam, hakuna mvua, chakula, na haki ya hewa ni mbaya Kwa sababu ya mambo ya kishetani kama haya!
Mungu Ibariki Urusi.
Mwamba alikuwa Mtu Bingwa sana. Alitaka amlapue kwanza yeye Obama halafu ndiyo aone kama ushetwaini wao unafaaMugabe banah ndio alitoboa! Alimwambia Obama kama vipi aje kwanza yeye amuoe then ndio ataruhusu
Mwamba ni M7 alijibu vizuri sana kwenye interview na CNN kama sikosei na aliwafunga mdomo kabisa na kusimamia anachoamini
Mugabe banah ndio alitoboa! Alimwambia Obama kama vipi aje kwanza yeye amuoe then ndio ataruhusu
Western countries ni wajanja mno na wako kipopraganda enzi wanavamia pwani za Africa haswa Tanzania maeneo ya pwani walipata tabu kusambaza tamaduni zao kwani tayar walishakuwa wanajtambua wakaja na propaganda kwamba watu wa Pwani ni wavivu na Kuna ushoga sana ..ila kiuhalisia sio kweli hata leo mtanzania anaongelea sehemu fulani Kuna tabia fulani unakuta hajwai kuishi wala kufika ila anaongelea kwa chuki tu juu ya jamii fulani..
Msidanyanywe ushoga kwa Africa umeletwa na wazungu na wako katika agenda kubwa kuhakikisha unapamba moto nimesikia Kuna nyimbo ya jux na Mario wamepusha ile logo kupitia mwamvuli fulani alikuwa kshika mdada kweny video ..yote ni kushabikia hayo mambo.
Sio kweli Africa hatukuwa na izo mambo kabisaWazungu walipofika Uganda katikati ya karne ya 19 walimkuta Kabaka Mwanga II akiwa shoga na huko Uganda kulikuwa na mambo ya mudoko dako ambayo ni aina ya ushoga.
Ushoga haujaletwa na wazungu Africa, ulikuwepo.
Hawajarasimisha tu, ila kama ambavyo hapa tz upo na wala si utamaduni wetu, hata huko kote upo. Kumpangia mwanadamu nini afanye au asifanye ni ngumu sana.Vladimir Putin
Xi-jiping
Ayatolah Sayyid Ruhollah Musavi Khomeini,