Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Ina maana Mugabe alikuwa mmoja wao?Mugabe banah ndio alitoboa! Alimwambia Obama kama vipi aje kwanza yeye amuoe then ndio ataruhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana Mugabe alikuwa mmoja wao?Mugabe banah ndio alitoboa! Alimwambia Obama kama vipi aje kwanza yeye amuoe then ndio ataruhusu
Inawezekana, ni uraibu kama uraibu mwingine wowote!Magonjwa ya akili yanasababisha watu kuwa mashoga, ni vizuri kujihami na huu ugonjwa
Zamani ulikuwapo? Hakuna jipya chini ya jua![emoji44][emoji44][emoji44]Akutukanaye hakuchagulii tusi,huku kwetu Mbeya idadi ya wanafunzi wa kiume(sekondari)kujihusisha na mapenzi na waalimu wa kiume Ni za kawaida Sana mkuu,hiyo Zamani unayoisema wewe hizi kesi hazikuwako kwa kiwango hiki.
Zimbabwe pesa haikuwa na thamani hata kabla ya Obama.We have to try it Mr, if will you get pregnant, I'll realize,. Bas Obama aka mindisha jamaa pesa zao zikashuka thamani
Kwa Tz kuna rushwa, mauaji, wizi, udanganyifu, uchawi, ukatili, ubadhirifu, uzinzi, dhuluma, husda na nyinginezo, mvua haitanyesha tu, tusisingizie ushoga.Ina maana ni wengi kiasi gani mpaka wazuie mvuw kunyesha?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ni sahihi kabisa kuna vitu vingi vya kudiscus kwann tukae kuongea ushoga itakuwa muanzisha maada atakuwa anapumuliwa sibureJF kila dakika NI mada za ushoga, tuwe makini hizi NI mbinu za kutangaza ushoga.
MTU mwenye akili timamu huwezi hata kuwaza kuanzisha mada za ushoga kama sio mhusika.
Wengi hili hawataki kulielewa...cha kusikitisha nya za wanawake wanazifatua balaa..ila za wanaume wanaona kinyaa..enyi washenzi nya ni nya tu.Ushoga sio utamaduni wa nchi za Magharibi,ushoga ulikuwepo tangu enzi za Nuhu huko.
All over the World kuna Homosexuality hao magharibi wameamua tu kuheshimu haki za watu tu kufanya wanachotaka.
Sio kweli Africa hatukuwa na izo mambo kabisa
Hapana ushoga ni ngumu sana ni laana na enzi izo watu barobaro walikuwa wengi mno tofauti na sasa...izo Mila mbona za kuua zipo sana mpaka sasa kwa jamii wengine wakizaa mtoto sijui akianza kutoka meno ya ya juu wanajua ni kigego wanammalizaAfrica kumekuwepo na mambo mengi sana hadi ya kuua watoto wachanga viwete na albino. Sheria za kupinga ushoga Africa ndio hazikuwepo, zilileletwa na wakoloni.
Ni wakatili mno na misimamo yao mingineMadikteta huwa na tambo kubwa sana bali ni watu wa hovyo sana
Ili waitawale Dunia amaKwanza dadisi maana na malengo ya kitu kinachoitwa NEW WORLD ORDER,
UTAPATA JIBU.
Kwani Sodoma na Gomora ilikua miji ya waafrika mkuu.hapa naona tuzungumzie uasilia wa ushoga.[emoji1787][emoji1787][emoji1787],Kipindi Cha akina OKONKWO ushoga pia ulikuepo mkuu?!
Tunaizungumzia Tanzania,wewe unarukia Mambo ya sodoma na Gomola sijui [emoji849]
Ni kweli kabisa mkuu,ushoga umeletwa na wazungu na kwasababu ya tabia yetu ya kuiga kila jambo nalo pia tukalichukua.Tuwe wakweli jamaniAfrica kumekuwepo na mambo mengi sana hadi ya kuua watoto wachanga viwete na albino. Sheria za kupinga ushoga Africa ndio hazikuwepo, zilileletwa na wakoloni.