Ushoga ni utamaduni wa Magharibi, kwanini iwe shinikizo kwa nchi nyingine?

Fuatilia Nchi za Kiarabu Kisha utajua ushoga umeanzia wapi, [emoji1787][emoji1787]
 
Mi nadhani tofauti yao na sisi ni wao kuhalalisha, kusema western ndio wametuletea sina uhakika na hilo, mimi nimekulia Kariakoo, miaka ya 90 nilishasikia sana habari za WASENGE, mtaa niliokuwa nakaa nyuma yake kulikuwa na kundi la Taarabu, MUCHACHO kama sikosei, hawa watu walikuwa na sifa za hizo tabia.
Kuhusu JPM kwamba alikataa sidhani kama nikweli, labda kama umesahau ile kauli ya yule aliyekuwa Waziri wake wa ulinzi kuhusu mashoga, mi nadhani kama Nchi ili kuachana na huo ujinga suala ni kujitegemea, kukaa na watoto wetu kuwaeleza madhara ya huo ushetani na umuhimu wa kushika dini, vinginevyo hali itakuwa mbaya sana siku zijazo.
 
Ni lini jpm amewahi kataa suala hili
 

You can't be serious!mashoga huku kwetu walikuepo toka Zamani zipi?!
Ushoga na kusagana kwa Sasa Tanzania ni tatizo kubwa kuliko hata la uvutaji wa sigara(watu wameacha kuvuta sigara now wameingia kwenye usagaji na ushoga)

Tatizo ni kubwa Sana chief,usifananishe na miaka ya 90s
 
Ujinga ndo unaokusumbua mfano republican chama Cha marekani kinapinga ushoga, kusema wazungu wote wanasupport ushoga ni Uzindaki
 
Hio takwimu umeifanya lini mpaka ukajua mashoga na wasagaji ni wengi kama na wewe sio mmoja wapo
 
Duh! I wonder how old you are. Mashoga walikuwepo toka wewe, baba yako na mama yako, na wazazi wao hawajazaliwa. Eti 90’s.

Hata Sodoma na ghomora ni kwasababu hiyo.
 
Hio takwimu umeifanya lini mpaka ukajua mashoga na wasagaji ni wengi kama na wewe sio mmoja wapo

😲😲😲Akutukanaye hakuchagulii tusi,huku kwetu Mbeya idadi ya wanafunzi wa kiume(sekondari)kujihusisha na mapenzi na waalimu wa kiume Ni za kawaida Sana mkuu,hiyo Zamani unayoisema wewe hizi kesi hazikuwako kwa kiwango hiki.
 
Duh! I wonder how old you are. Mashoga walikuwepo toka wewe, baba yako na mama yako, na wazazi wao hawajazaliwa. Eti 90’s.

Hata Sodoma na ghomora ni kwasababu hiyo.

🤣🤣🤣,Kipindi Cha akina OKONKWO ushoga pia ulikuepo mkuu?!

Tunaizungumzia Tanzania,wewe unarukia Mambo ya sodoma na Gomola sijui 🙄
 
USHOGA NI DHAMBI KUBWA MBELE ZA MUNGU. Ila sikubaliani na wewe kuwa ni utamaduni wa magharibi na umeletwa na wazungu. Ushoga upo kwenye jamii zote duniani tangu mwanadamu alipoanza kusambaa kwenye uso wa dunia, enzi za Nuhu na kabla yake, upo sana, na utaendelea kuwepo mpaka Yesu mwenyewe atakaporejea. Habari njema ni kwamba kwa imani ya Kristo sote sisi ni wakosaji na tunaokolewa kwa imani na wala siyo matendo. Siku ya mwisho usije kushangaa unayemuona shoga sasa hivi ndiyo akawa wa kwanza kunyakuliwa na Yesu.
 
Is it serious!!!
 
Mwamba ni M7 alijibu vizuri sana kwenye interview na CNN kama sikosei na aliwafunga mdomo kabisa na kusimamia anachoamini
Nafikiri unasifia pasipofaa, huyo si ndio alifyata mkia na kubadilisha sheria iliyopitishwa na bunge lake dhidi ya ushoga, hakuna kitu mtasimama against hawa wazungu ambao ndio wanalipa mishahara yenu
 
Hakuna nchi au mtu amelazimisha muwe mashoga, kwanza kwa waliokulia mjini hapo wanajua mashoga wapo kibao tangu enzi na enzi, zaidi ya vimaneno vya hapa na pale hakuna mtu anasumbuana nao na wanaishi kama kawaida tuu, hakuna cha mzungu wala cha utamaduni watu hao wapo tuu na wataendelea kuwepo mtaka msitake
 
Ila wazee kama Mugabe na M7 na hata Kikwete alijibu kistaarabu sana na kukipinga kiaina
Huwezi kukubali kisa njaa kwani ni maamuzi ya nchi nzima hayo na kama ni misaada wakate tu
kwa viongozi hawa waliojaa urafii si watatuua kabisa?sasa hivi kila leo ni kusaini mikopo tu na misaada lakini hali bado ni ngumu kiasi hiki,sembuse usipate hata shilingi toka kwao,maisha yatakuwaje?!!kama vitu vidogo vidogo kama maji tu,bado vinatusumbua!!Bila misaada maisha yatakuwa magumu mnoooo
 
Napingana na wewe,kuhusu suala la ushoga na ukanda wa pwani.Kwa pwani ushoga upo kwa kiasi kikubwa mno ,nimeishi PEMBA,UNGUJA,MOMBASA,ni aibu!!!kama UNGUJA hapo malindi huwezi ukaamini kama uyaonayo yapo kwenye nchi yenye waislam 99.9%!!!huko nako wageni wa kwanza kufika huko,zilikuwa nchi za magharibi??!Ukweli upo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…