Ushoga ni utamaduni wa Magharibi, kwanini iwe shinikizo kwa nchi nyingine?

Hata ukienda Mombasa mpaka lamu ushoga umekithiri sana na wenyeji wa kule ni waislamu 90+
 
Sehemu nyingi sijkataa ila sio kibongo bongo hata mimi ishu kama izo mombasa nilizisikia sana ila kwa Tanzania sio sana kama watu wanavyo overrated kule zanzibar utalii umeharibu sana izo mambo ..
 
JF kila dakika NI mada za ushoga, tuwe makini hizi NI mbinu za kutangaza ushoga.

MTU mwenye akili timamu huwezi hata kuwaza kuanzisha mada za ushoga kama sio mhusika.
Kabisa kabisa !! Hata hao wanaowasingizia ushoga watu wengine kwa nia ya kuwadhalilisha wajue wanaufanyia ushoga promoshen bila kujijua !! Maana watoto wanaposikia kisha na kumuona huyo anayetangazwa wengine wanapata mawazo kwamba kumbe kitendo cha ushoga ni cha kawaida tu hata fulani kumbe anafanya !!! Hiyo inakuwa ni promoshen ya kutosha kabisa !! Watu waache huo ujinga watafute tusi jingine la kudhalilisha wabaya wao!! Vinginevyo promoshen hiyo itawavutia mpaka watoto wao waingie kwenye hilo janga !! Babu zangu wanasemaga “kasekaseka kalilalila “ watu wanacheka lakini siku moja watakuja kulia !!!
 
Wapo hadi viongozi wa dini wanafanya ushoga.
 
Kwa sababu zamani hakukuwepo na simu au mitandao ya kijamii ya kusambaziana umbea kwa kasi kama leo hii.
[emoji44][emoji44][emoji44]Akutukanaye hakuchagulii tusi,huku kwetu Mbeya idadi ya wanafunzi wa kiume(sekondari)kujihusisha na mapenzi na waalimu wa kiume Ni za kawaida Sana mkuu,hiyo Zamani unayoisema wewe hizi kesi hazikuwako kwa kiwango hiki.
 
Mbele za Mungu kuna dhambi kubwa na ndogo??
 
Waafrika kila kitu wasichokipenda, walichoshindwa kukidhibiti, pamoja na umaskini wao wanawasingizia wazungu tu.
 
JF kila dakika NI mada za ushoga, tuwe makini hizi NI mbinu za kutangaza ushoga.

MTU mwenye akili timamu huwezi hata kuwaza kuanzisha mada za ushoga kama sio mhusika.
Nashangaa mnoo,as if ndo tatizo pekee kubwa duniani.wakati tuna matatizo kibao ya kujadili na kutatuliwa.
 
Kwa sababu mna akili mdogo hivyo mnapenda kujikita kwenye masuala madogo madogo na subjective yanayohusisha hisia zaidi kuliko masuala makubwa na yalio objective.
Nashangaa mnoo,as if ndo tatizo pekee kubwa duniani.wakati tuna matatizo kibao ya kujadili na kutatuliwa.
 
HIZI MADA ZIMEKUWA NYINGI SANA HAPA JF.

NA ZINAKUJA KWA KASI KUBWA SANA.
MUNGU ATUNUSURU.

MATUMIZI YA MISO P2 NA DAWA ZOTE ZA UZAZI WA MPANGO NI HATARI KWA WATOTO WENU.
 
JF kila dakika NI mada za ushoga, tuwe makini hizi NI mbinu za kutangaza ushoga.

MTU mwenye akili timamu huwezi hata kuwaza kuanzisha mada za ushoga kama sio mhusika.
Kukaa kimya na kufikiri kuwa tatizo halipo ni kuongeza tatizo. Suala hili lazima lijadiliwe waziwazi ili watu wajue namna ya kukabiliana nalo.
 
Kwani wewe ukiwa au ukiamua kuwa shoga una athari gani kwa Watanzania wengine wanaokuzunguka??
Hivi ni akili au matope kuacha kujadili mambo ya msingi ya maendeleo tukae tunajidili mambo binafsi ya ushoga wa watu??!
Kukaa kimya na kufikiri kuwa tatizo halipo ni kuongeza tatizo. Suala hili lazima lijadiliwe waziwazi ili watu wajue namna ya kukabiliana nalo.
 
Nashangaa mnoo,as if ndo tatizo pekee kubwa duniani.wakati tuna matatizo kibao ya kujadili na kutatuliwa.
waafrika ni wanafiki sana!!yaani wanaishi kwenye matatizo kibao,ambayo ni rahisi sana kuyaondoa ikiwa wataamua, kuwa wakali kwa viongozi wao,mfano hali ngumu ya maisha hospitali kukosa madawa,lakini wanashupalia vitu ambavyo havina impact sana kwenye maisha yao ya kila siku.
 
Ukifatilia vizur ulaya waliwapiga vita sana mashoga waliuliwa sana mbona afrika hawajapitia changamoto hii imetokana US NA ULAYA kuona kuwabania haki hawa watu n suala ambalo sio sahihi fuatilia mateso waliyo pitia had wakaanza kuandamana kudai haki zao
 
Mwamba ni M7 alijibu vizuri sana kwenye interview na CNN kama sikosei na aliwafunga mdomo kabisa na kusimamia anachoamini

Kuamini na kusema ni swala moja na wananchi wake kuingiliana kinyume ni swala jingine. Hivo kusema ni kutudanganya wapumbavu wenzie lakini ukweli ni kwamba watu wanageuzana na hawata acha ni dhambi za kuridhi. Kama una fira Demu uwe na hakika mwanao au mjukuu atafirwa tu.

Bila maombi ya kweli na kuacha dhambi hakuna jipya ni Makelele tu
 
Umesahau waarabu ndio walieneza hizo mambo kiasi maeneo ya pwani yakaona ni sehemu ya maisha ya kawaida ???

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa aliyejifunza kidogo mafundisho ya dini, Sodoma na Gomora ndipo kulikuwa ni kitovu cha ushoga. Maeneo haya yanapatikana Middle East huko na wala siyo huko Western.
 
JF kila dakika NI mada za ushoga, tuwe makini hizi NI mbinu za kutangaza ushoga.

MTU mwenye akili timamu huwezi hata kuwaza kuanzisha mada za ushoga kama sio mhusika.
Itakuwa wewe pia ni shoga na wanaokuunga mkono wapo kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…