Ushoga ni utamaduni wa Magharibi, kwanini iwe shinikizo kwa nchi nyingine?

Shoga ni Malfunctioning creature ... No sympathy kill them
 
Yani dini inamfanya mtu akatae ukweli ulio wazi kabisa
 
Kwa aliyejifunza kidogo mafundisho ya dini, Sodoma na Gomora ndipo kulikuwa ni kitovu cha ushoga. Maeneo haya yanapatikana Middle East huko na wala siyo huko Western.
Haina tatizo maana wao middle east dhambi za kila aina wanafanya ..Ishu ni kupromote ndo tatizo kulazimisha jamii kukubali ni vizuri watu wakapiga kimya ila wanapromote ni hatar zaidi
 
Mungu atunusuru na haya
Wao wazungu wanataka liwe jambo la kawaida ila haliwezekani kwani kuna wazungu wengi pia kama tulivyo sisi hawataki kabisa kusikia haya ila hawana jinsi

Serikali na taasisi zote zimekubaliana kuwapa ajira mashoga bila kuwabagua na kwa sasa wamejaa kila sehemu mpaka watangazaji wa Habari, Radio nyingi utawasikia na hata taasisi kubwa na pia Wabunge wamo

Sio jambo jema ila ndio wameibadili mpaka Israel kutoka kwenye so called Taifa Teule mpaka kuongoza kwa mashoga duniani na kila mwaka wana sherehe kubwa sana kwao
 
Ushoga sio utamaduni wa nchi za Magharibi,ushoga ulikuwepo tangu enzi za Nuhu huko.

All over the World kuna Homosexuality hao magharibi wameamua tu kuheshimu haki za watu tu kufanya wanachotaka.
 
Wale wengine wanafungisha ndo kwenye madhabahu za jinsia moja .
 
Mugabe banah ndio alitoboa! Alimwambia Obama kama vipi aje kwanza yeye amuoe then ndio ataruhusu
Mwamba alikuwa Mtu Bingwa sana. Alitaka amlapue kwanza yeye Obama halafu ndiyo aone kama ushetwaini wao unafaa
 
Kwanza dadisi maana na malengo ya kitu kinachoitwa NEW WORLD ORDER,
UTAPATA JIBU.
 
Dikteta Mugabe alishindwa kutoboa kwa Grace, alitaka kumuonga nchi akapinduliwa na wenzake na akafa kifo cha aibu kama mkiwa[emoji16]
Mugabe banah ndio alitoboa! Alimwambia Obama kama vipi aje kwanza yeye amuoe then ndio ataruhusu
 
Wazungu walipofika Uganda katikati ya karne ya 19 walimkuta Kabaka Mwanga II akiwa shoga na huko Uganda kulikuwa na mambo ya mudoko dako ambayo ni aina ya ushoga.
Ushoga haujaletwa na wazungu Africa, ulikuwepo.
 
Wazungu walipofika Uganda katikati ya karne ya 19 walimkuta Kabaka Mwanga II akiwa shoga na huko Uganda kulikuwa na mambo ya mudoko dako ambayo ni aina ya ushoga.
Ushoga haujaletwa na wazungu Africa, ulikuwepo.
Sio kweli Africa hatukuwa na izo mambo kabisa
 
Vladimir Putin
Xi-jiping
Ayatolah Sayyid Ruhollah Musavi Khomeini,
Hawajarasimisha tu, ila kama ambavyo hapa tz upo na wala si utamaduni wetu, hata huko kote upo. Kumpangia mwanadamu nini afanye au asifanye ni ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…