Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

Akili !! Nguvu ya mzungu unaijua vizur?
Hao wazungu wamekua na hiyo nguvu kwasababu waliwekeza kwenye akili na kujitambua.Hizo nguvu za wazungu kwenye mambo ya kijinga ziko uku kwetu kwenye nchi maskini tusiojitambua.Ila kwavile hatutaki kuondokana na utumwa wa fikra kila siku tutaendelea kua watumwa.
 
We chizi kweli, wachezaji mpira mara ngapi wanavalishwa manembo ya machoko wenzio?
Kwani ni lazima kucheza kwenye hayo matimu yao?.Umaskini wetu na kutojitambua ndo chanzo cha sisi kua watumwa.
 
Uhuru uliopitiliza, sasa sijui haki gani wanayoitaka aisee.

Ni kama nchi za ulaya hazina matatizo hivyo zinayatafuta kwa nguvu.
 
Swala hapa sio fimbo swala hapa ni kulazimisha lionekane la kawaida na kuligeuza kama haki.
Lionekane la kawaida kwa wanaofanya.sasa wewe hufanyi inakuuma nini.Hayo mambo yako toka karne na karne na kamwe huwezi kuyazuia kwasababu wahusika nao wanapambana kutafuta uhuru wao.Tunachotakiwa ni sisi turudi kwenye jamii yetu tuifundishe iwe smart.Tofauti na hapo tutaendelea kushikiwa akili hadi mwisho wa dunia.
 
Kwahiyo wewe mwenye akili ndo unadhani kwa akili zako unaweza kuuzuia ushoga?.Acha ndoto za mchana.Kujitegemea tu kwenyewe shida alafu unalalamikia ushoga uku kwenye mitandao.Hayo yote uliyosema yanatokana na jamii isiyojisimamia.Tunakimbia wajibu wetu kama wazazi alafu tunataka dunia itulelee watoto wetu kwenye maadili.
 
Unajifanya kuzunguka zunguka ila ww ni choko tu.
Nikiwa choko wewe unawashwa nini.hunijui sikujui jinga kweli wewe.Akili zako ndogo usifikiri wote tuko hivyo.fala wewe.
 
Sasa kama wao wamekubali kuliwa inakuaje wanatumia nguvu kusambaza mambo yao kwenye ulimwengu mzima
Kama ninyi wafia dini mnavyotumia nguvu kubwa kueneza propaganda za dini zenu.

Ni namna tu na wao wapate wafuasi wengi watakao waunga mkono..ili huu unyanyapaa na kutengwa uishe katika jamii nyingi wanazoona zinawafanyia hayo.

Kumbuka hakuna aliyeshikiwa bunduki ajiunge nao...just wanacho dai ni uhuru na amani katika maisha yao ya kufukuana mitaro.

#MaendeleoHayanaChama
 
Shida ni hapo ukubali usikubali..hao mashoga hawaishi leo wala kesho..walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo.

Chamsingi ni kulinda familia yako tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nadhani kama ni mkristo unatambua kabisa mwisho wa yote haya..so acha magugu na ngano viote pamoja vitapepetwa na kutupwa wakati wa mavuno.

Chamsingi ni kuendelea kuwakumbusha ubaya wa kile wanachokifanya.

#MaendeleoHayanaChama
 
Uhu

Uhuru si wanao nchini kwao, kwa nini wanalazimisha kampeni yao mpaka nchi ambako hawakubaliki! Wapakuane huko huko!!
Bongo haikubaliki lakini wapo wamejaa tele na huna cha kuwafanya wewe wala serikali yako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huwa nasem haya mambo yakitokea katika familia jua wazazi au walezi ndio chanzo cha yote.

#MaendeleoHayanaChama
 
Soma mada na uielewe.

Vijana wetu wanapolazimishwa kuona hawa wazungu washenzi mashoga wakijinadi mchana kweupe, ulitaka watu wakae kimya?
Wakijinadi wewe nadi dini au kitu kingine cha maana , watu wakiona chako ni bora wakufuate tu

Tatizo tunapinga kuambiwa hiki ni halali afu sisi tunawalazimisha wafuate tunachokitaka.huu ni ujinga kabisa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
We chizi kweli, wachezaji mpira mara ngapi wanavalishwa manembo ya machoko wenzio?
Siyo lazima kuvaa ukikataa hulazimishwi wachezaji wengi wenye misimamo yao hawavai. Ukiona kavaa ujuwe ana support
 
Ushoga hautambuliki hapa Tanzania!! Ushoga haukubaliki hapa hapa Tanzania!! Mashoga wapo lakini wanafahamika kama watu waliopotea na waovu! Hawaheshimiki hata kidogo!
 
Hata wakiwepo lakini wanajua kuwa hawakubaliki na ni fedheha yao kwenye jamii yetu!
Tuna vichaa wengi walio vaa nguo kuliko walio uchi mabarabarani.

Yangewekwa wazi maovu ya kila mmoja wetu sidhani kama tungeweza kutazamana usoni.

Shida tunajihesabia haki sana.

Hivi ukiwatenga mashoga..kuwachukia..kuwa nyanyapaa ama hata kuwauwa ndio tutakua tumetibu tatizo??

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…