Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

Nadhani kama ni mkristo unatambua kabisa mwisho wa yote haya..so acha magugu na ngano viote pamoja vitapepetwa na kutupwa wakati wa mavuno.

Chamsingi ni kuendelea kuwakumbusha ubaya wa kile wanachokifanya.

#MaendeleoHayanaChama
Hilo nalitambua vyema sana. Na hayo maneno ya "kuacha ngano na magugu yamee pamoja", ni maneno ya Bwana YESU KRISTO.
 
Hilo nalitambua vyema sana. Na hayo maneno ya "kuacha ngano na magugu yamee pamoja", ni maneno ya Bwana YESU KRISTO.
Pia unafahamu kristo alikula na kunywa na makahaba probably hata mashoga walikula na kunywa naye..tukiwajibu waovu kwa uovu tutakua tunatofauti gani nao??

Kumbukeni vita vyetu si juu ya mwili huu wa nyama na damu bali ni dhidi ya roho wabaya wadanganyao ulimwengu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hilo nalitambua vyema pia.
BWANA YESU KRISTO alikuja kwa ajili ya "waovu" na siyo wenye haki.

Lakini, fahamu kwamba waovu, hao mashoga, makahaba, wezi, wauaji nk watahesabiwa haki ikiwa tu watatubu maovu yao na kuyaacha kabisa. Pasipo kutubu, kuacha uovu na KUBATIZWA, hakuna ondoleo la dhambi.

Sisi hatuwahukumu mashoga wala waovu wowote wale, bali tunachokifanya ni kuwahubiria njia ya KWELI, na kukemea uovu wao.

Na wasipohubiriwa wataijuaje njia ya KWELI na UZIMA?
 
Basi hata watu wakiuana tuwaache hakuna kuwaingilia kwani inatuuma nini.hata kwa shetani kuna taratibu.
 
Awataki pawepo na wanaume duniani. Lengo la ushoga ni kupunguza idadi ya watu duniani
 
Aaah vijana wa sasa hawataki kazi.
Akitokea Mzungu na kibunda chake mbona vijana wetu wanavishwa pete na kina Rashford
 
Wazungu hawana akili hata hizi gunduzi asilimia karibia 80 zimefanywa na ngozi nyeusi.

Wao ni kuboresha tu, pia tulikuwa tukigundua wanatuuua halafu wanakuja wao kusema wamegundua.
Leo hizi gunduzi zimeishia wapi?
 
Ushoga si asili ni tabia.
 

Attachments

  • VID-20221126-WA0001.mp4
    10.3 MB
Shida watu wanakaza sana vichwa..hao mashoga walikuwepo wapo na watakuwepo milele...hadi huo mwisho unaosemwa kwenye maandiko utokee..tofauti na hapo ni kujilisha upepo tu.

#MaendeleoHayanaChama
Shida ni kupigiwa chapuo nini nyuma ya ajenda hii
 
Wanatengwa Ili wasiharibu generation hata bar watoto hawaruhusiwi Ili wasiige
 
UHURU wako usiingilie UHURU wa wengine pia.Kuvunja maadili ya UHURU wa wengine ni kuingilia UHURU wa wengine pia. Hata magaidi kwa imani yao wapo sahihi kuua nao waachwe huru kuua kisa kuwazuia kuua ni kuingilia UHURU wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…