Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

Unajua kwamba wenye akili hufanya leo kwaajili ya baadae
Miaka ijayo maisha yatakuwaje mtu atakuwa anaona kupakuliwa ni kitu ya kawaida kwa sababu amezaliwa na jamii ameikuta hivyo ndiyo lengo la hawa watu
 
Watu wengi ambao huwa obsessed (hushughulishwa sana) na ushoga huwa na ushoga uliojificha au wanajitokeza kama mashoga baada ya muda fulani.
Ni kama vile mnaogopa mkitazama rangi za upinde wa mvua kwa muda mrefu mtaanza kutamaniana wenyewe kwa wenyewe. Wenzetu mkiona rainbow mnapatwa na nini?

Ya kujiuliza ni
1. Ingetokea kombe la dunia linafanyika Uzungini na wamequalify, wangejitoa kupinga kucheza na timu zinazoeneza ushoga?
2. EPL walivaa armband za upinde mwezi mzima. Kulikuwa na kampeni kuhimiza watu waache kutazama mpira?
3. Qatar, Emirates na makampuni yao walijiondoa kwenye jezi?
4. Qatar na Emirates hawajitangazi kwenye mashindano yanayoeneza pombe?
5. Kumekuwa na tuhuma za matumizi ya rushwa kupata nafasi ya kuwa mwenyeji wa kombe la dunia, matumizi ya wafanyakazi wageni waliofanya kazi kwenye mazingira yanayofananishwa na ya kitumwa kukamilisha viwanja na miundo mbinu ndani ya muda mfupi, uchafuzi wa mazingira mkubwa kwa kiwango ambacho hakijawahi tokea. Armband mkononi mwa wachezaji ni jambo baya kuliko haya?
 
Wazungu hawana akili hata hizi gunduzi asilimia karibia 80 zimefanywa na ngozi nyeusi.

Wao ni kuboresha tu, pia tulikuwa tukigundua wanatuuua halafu wanakuja wao kusema wamegundu
Wake up from your slumber
 
ushoga ni dhambi, wafiraji na wafirwaji wote wasipobadilika wataenda motoni. however, mwarabu hana ujasiri wa kukemea ushoga, kwasababu sio kitu kigeni kwake. truth be told.

waache unafiki, it is only through Jesus Christ mtu anaweza kuushinda ushoga na dhambi zingine zote, la sivyo utakuwa mnafiki tu wa kuukemea huku nje ila mkiwa ndani mnaharibu marinda ya watu.
Qur an inasemaje kuhusu ushoga?
 
Unaposema wana nia yakueneza kwani tunashikiwa fimbo kalazimishwa kufanya huo ujinga?.Au akili zetu ni ndogo kiasi gani hadi tushindwe kujisimamia.

Au wewe unaweza kufanya au kuiga jambo la kipuuzi kwasababu umewaona wazungu au mtu mwingine mjinga akifanya?

Tufundishe jamii yetu kujielewa ili hayo yakijinga ya wazungu wabaki nayo wenyewe.Vinginevyo tuna shida kubwa kama jamii na hatuko tayari kuishughulikia ndo maana tunataka kuelekeza lawama kwa wazungu wakati sisi wenyewe hatujitambui.
Akili !! Nguvu ya mzungu unaijua vizur?
 
LGBTQ community sio mashoga tu mleta mada tambua hilo kwanza...humo kuna wasagaji..transgender n.k

Elewa pia na movements zao..ni kutaka uhuru na amani waishi maisha waliyo yachagua bila chuki..husda..kunyanyapaliwa..kutengwa ama kuuawa.

Ndio lengo lao kuu..hakuna mtu wanayemlazimisha ajiunge nao...fanya yako na wao wa fanye yao kwa raha zao na maisha yaendelee.

#MaendeleoHayanaChama
Wasilazimishe huu utamaduni wao uwe sawa dunia nzima.

Kuna nchi haziwezi ruhusu kitu kama hiki na inabidi wakubaliane nazo.
 
Unajua kwamba wenye akili hufanya leo kwaajili ya baadae
Miaka ijayo maisha yatakuwaje mtu atakuwa anaona kupakuliwa ni kitu ya kawaida kwa sababu amezaliwa na jamii ameikuta hivyo ndiyo lengo la hawa watu
Kuna mashoga humu wanajihalalishia kuwa Qatar imekosea, na kwamba uchafu huu ungetokea vipi kama mashindano yangefanyika Ulaya au Marekani.
Haijalishi kombe, uchafu wakuunga mkono ushoga haukubaliki na dini zote.
 
Kwa hiyo kama ni uhuru wao na wa kwako kwa nini wajitangaze.
Ushiga wako hatuna haja kuufahamu.
Wanafanya hivyo kwasababu imefika wakati wa wao kupaza sauti mna wamechoka na manyanyaso na masimango na ubaguzi..huwa na shangaa sana watu wanao pambana na ushoga hivi ushoga ndio tatizo kuu pekee katika ulimwegu huu.

Ulisha jiunga nao, naona unatetea ushoga?
 
Wasilazimishe huu utamaduni wao uwe sawa dunia nzima.

Kuna nchi haziwezi ruhusu kitu kama hiki na inabidi wakubaliane nazo.
Ukweli ni kwamba..no one can stop them nw..ni suala la muda tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama mchezaji yuko Ulaya au Marekani analazimishwa kuvaa bendera ya ushoga na yeye hataki aache kucheza mpira Ulaya aje kucheza Africa, Uarabuni au Urusi.

Au wanalazimishwa pia kuchezea timu za Ulaya na Marekani tu??
Usichoelewa ni kuwa watu wanalazimishwa kuwatangaza mashoga, mtu analazimishwa kuvaa mabendera ya ushoga hii sio sawa
 
Ulisha jiunga nao, naona unatetea ushoga?
Sometimes tujifunze kufanya mambo yetu..hapo ulipo mishipa imekutoka juu ya keyboard ila huna hata uwezo wa kumchapa kofi shoga.

Kama huwapendi sana na unawachukia..jitokeze hadharani utamke hivyo na uanze oparesheni kuwaua hao mashoga ndio tutajua uko serious.

Njoo Mnazi Mmoja nikuchape bakora hadharani, shoga weye.
 
Sasa ni wazi. Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima. Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao duni huru haiwezi kuukubali. Hakuna dini inaruhusu suala la ushoga, si Uislamu au Ukriso.

Wameamua kuifnya Qatar kuwa mfano wa kulazimisha ushenzi wao. Nawapongeza Qatar kwa kutataa katakata kuruhusi hali hiyo isiyo ya kistaarabu.

Na hawa watu hawana haya, wanalinganisha hili la ushoga na haki za binadamu. Hata ninapoandikai hili naomba wanyeshewe mvua ya moto.
Hv huwa vichwa vyenu vibovu au hamuelew WAO WANADAI KUWAHESHIMU HIYO JAMII NA SIO KILA MTU AJIUNGE KUFANYA USHOGA , NI SWALA LA MUDA TU ILA HAO JAMAA HAKUNA TOFAUT NA ZERU ZERU , HIZ HIZ DINI HAPO AWALI ZILIWAI KUSEMA ZERU ZERU KUWA NI ZERU ZERU ILA MUDA ULIZIPINGA DINI LEO ZERU ZERU ANAISH KWENY JAMII
 
Unaposema wana nia yakueneza kwani tunashikiwa fimbo kalazimishwa kufanya huo ujinga?.Au akili zetu ni ndogo kiasi gani hadi tushindwe kujisimamia.

Au wewe unaweza kufanya au kuiga jambo la kipuuzi kwasababu umewaona wazungu au mtu mwingine mjinga akifanya?

Tufundishe jamii yetu kujielewa ili hayo yakijinga ya wazungu wabaki nayo wenyewe.Vinginevyo tuna shida kubwa kama jamii na hatuko tayari kuishughulikia ndo maana tunataka kuelekeza lawama kwa wazungu wakati sisi wenyewe hatujitambui.
Mwafrika anaeza andika kitu akahis anamchafua mzungu kumbe wenye akili wanaona UNYUMBU WETU Kuwa hatufany kitu mpk mzungu aseme , Wazungu wanadai kuwaheshimu tu wala sio kulazimisha kila mtu awe shoga
 
Back
Top Bottom