Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Sahizi umeamka unaenda kuwanga eeh,Biashara za wapi ni rahisi mkuu
Tupo katika zile nchi Maskini sana, wafanyabiashara ni wengi kuliko wanunuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahizi umeamka unaenda kuwanga eeh,Biashara za wapi ni rahisi mkuu
Kijana wenu baada ya kumaliza chuo nikaona nijimix kwenye harakati za maisha nipo dar es salaaam japo Nina mda mfupi sana hapa.
Nimezunguka masoko yote hapa dsm kuanzia mabibo mpaka mbagala nilikuja na idea nyingine kwa sababu mtaji sikua nao mkubwa nikashindwa kwa sababu ilihitajika sehemu ya kukodi meza kununua mizani so nikashindwa nikaona nijiingize kwenye issue zingine.
Nilifanikiwa kupita tandale Sokoni kuna soko kubwa linajengwa. kwa nje kuna wafanyabiashara weengi sana nikaanza kufanya research kuhusu biashara ya Mchele kwamba nautoa mbeya then nawapa madalali wananiuzia, kwa vile niliona sihitaji kutafuta eneo la kazi wala mizani ngoja nianze kufanya hizo issue za kuuza Mchele .
Awali ya yote nilienda pale mwananyamala Sokoni nikakutana na wafanyabiashara wakubwa wa Mchele pale wakaanza kuniambia mwenyewe pale kila kilo waliochukulia mbeya wanapata faida tsh 30_50 yaani anauchukua mbeya kwa 1100 kila kilo kufika Sokoni anauza 1250/1300 akiondoa gharama zake zoote anapata faida hiyo (sema hao wana mitaji mikubwa saana).
Turudi tandale sokoni.
Mimi kwa sababu sikua na mtaji Mkubwa nilikua na around laki 7 nikajitosa kwenda kununua Mchele mzuri sio super saana ila ni mzuri.
Nilichukua mbeya kwa 1300 nikachukua kama kilo 500 total inakua ni 650,000 ukiondoa na gharama zoote na usafiri unajikuta umetumia laki saba na ishirini (720k).
Kufika Sokoni nilitaka niuze kwa 1750@ kilo ili nirudishe gharama zangu lakini naona watu wengi wanahitaji kwa 1600-1650 na mwingine anakwambia umuuzie kwa 1300/1400.
Changamoto nyingine unaweza shusha mzigo Mkubwa kama gunia 30 ukawa unauza 1300 kwa kilo, kesho yake anakuja mwingine anashusha Mchele kama wako anauza 1000/1100 kwa kilo inakua changamoto.
View attachment 1996258
Nilichogundua kwenye hii biashara wafanyabiashara wengi ambao wanauza wenyewe wengi wanachanganya mzigo anachukua Mchele super then anachanganya na Mchele mbaya kwa macho mteja hawezi kugundua kwa haraka.
Pia hii biashara kama unataka uone faida yake ni basi inafaa uwe na mtaji Mkubwa sana la sivyo wakuu mambo yatakua ni mazito sana..
Ombi la mwisho wakuu, huo Mchele wangu kwa atakae hitaji anicheck whatsap au normal text kwa namba hii 0757590836 free delivery nitakuletetea popote pale nataka nirudishe gharama yangu nirudi kijijini nikalime.
Hahahahah nakubali mwaisa😹Sahizi umeamka unaenda kuwanga eeh,
Tupo katika zile nchi Maskini sana, wafanyabiashara ni wengi kuliko wanunuzi
Ninavyojuwa mimi hii biashara ni kama kumchinja Kobe ni ya timing.Kijana wenu baada ya kumaliza chuo nikaona nijimix kwenye harakati za maisha nipo dar es salaaam japo Nina mda mfupi sana hapa.
Nimezunguka masoko yote hapa dsm kuanzia mabibo mpaka mbagala nilikuja na idea nyingine kwa sababu mtaji sikua nao mkubwa nikashindwa kwa sababu ilihitajika sehemu ya kukodi meza kununua mizani so nikashindwa nikaona nijiingize kwenye issue zingine.
Nilifanikiwa kupita tandale Sokoni kuna soko kubwa linajengwa. kwa nje kuna wafanyabiashara weengi sana nikaanza kufanya research kuhusu biashara ya Mchele kwamba nautoa mbeya then nawapa madalali wananiuzia, kwa vile niliona sihitaji kutafuta eneo la kazi wala mizani ngoja nianze kufanya hizo issue za kuuza Mchele .
Awali ya yote nilienda pale mwananyamala Sokoni nikakutana na wafanyabiashara wakubwa wa Mchele pale wakaanza kuniambia mwenyewe pale kila kilo waliochukulia mbeya wanapata faida tsh 30_50 yaani anauchukua mbeya kwa 1100 kila kilo kufika Sokoni anauza 1250/1300 akiondoa gharama zake zoote anapata faida hiyo (sema hao wana mitaji mikubwa saana).
Turudi tandale sokoni.
Mimi kwa sababu sikua na mtaji Mkubwa nilikua na around laki 7 nikajitosa kwenda kununua Mchele mzuri sio super saana ila ni mzuri.
Nilichukua mbeya kwa 1300 nikachukua kama kilo 500 total inakua ni 650,000 ukiondoa na gharama zoote na usafiri unajikuta umetumia laki saba na ishirini (720k).
Kufika Sokoni nilitaka niuze kwa 1750@ kilo ili nirudishe gharama zangu lakini naona watu wengi wanahitaji kwa 1600-1650 na mwingine anakwambia umuuzie kwa 1300/1400.
Changamoto nyingine unaweza shusha mzigo Mkubwa kama gunia 30 ukawa unauza 1300 kwa kilo, kesho yake anakuja mwingine anashusha Mchele kama wako anauza 1000/1100 kwa kilo inakua changamoto.
View attachment 1996258
Nilichogundua kwenye hii biashara wafanyabiashara wengi ambao wanauza wenyewe wengi wanachanganya mzigo anachukua Mchele super then anachanganya na Mchele mbaya kwa macho mteja hawezi kugundua kwa haraka.
Pia hii biashara kama unataka uone faida yake ni basi inafaa uwe na mtaji Mkubwa sana la sivyo wakuu mambo yatakua ni mazito sana..
Ombi la mwisho wakuu, huo Mchele wangu kwa atakae hitaji anicheck whatsap au normal text kwa namba hii 0757590836 free delivery nitakuletetea popote pale nataka nirudishe gharama yangu nirudi kijijini nikalime.
Ndio hivyo wengine tumeingilia biashara za watuNinavyojuwa mimi hii biashara ni kama kumchinja Kobe ni ya timing.
Inabidi ununuwe mpunga uhifadhi ghalani kwako hukohuko mkoani, usubili bei ikae vizuri sometimes huna haja ya kuleta mchele Dar unawauzia hukohuko vijijini wanakuja wenyewe.
Kwa mtazamo wangu mtu mwenye mtaji wa million 10 ndio anaweza kufanya biadhara hii bila stress, maana kuna kipindi unahifadhi stock ghalani unapiga mishe nyingine ndogondogo kuzungusha pesa ya matumizi ili usile mtaji.
Nauchukua huu ushauri mkuu, lakini uhalisia biashara hii ya nafaka kuanza na mtaji kama huu ni stress na maumivuIf you want to go somewhere it's best to find someone who has already been there...Hii ni moja ya kanuni moja nzuri katika biashara nakushauri uifuate.
Kabla ya yote napenda nikuambie ukweli tu hakuna biashara rahisi(easy money) kila biashara lazima ukubali kuwa mjinga kwa siku za mwanzo tena hii inabidi uwe unaweka katika akili yako.Biashara ni kama kuendesha baiskeli kwa mara ya kwanza lazima utaanguka lakini baada ya muda unakuwa kipanga.
Usikate tamaa endelea mwanga upo mbele
Mtaji ukiwa mdogo sana unatakiwa pia uangalie na biashara ya kufanya maana sasa kama una laki 7 hapohapo ununue mzigo, uusafirishe, ulipie gharama mbalimbali, bado ukute na wewe unakula hapo hapo kwenye iyo laki 7, bado upate na faida juu... aisee inakua vigumu.Nilichojifunza pia biashara yoyote ile ni mtaji ukiwa na elimu husika ya biashara mtaji NI muhimu saana ni ngumu sana kuanza na laki 7 then uje ufikishe million 100 ni ngumu sana wakuu
Ni ngumu sana mkuu, kwa idea yako ya biashara unafikiri nifanye nini kwa huo mtaji?Mtaji ukiwa mdogo sana unatakiwa pia uangalie na biashara ya kufanya maana sasa kama una laki 7 hapohapo ununue mzigo, uusafirishe, ulipie gharama mbalimbali, bado ukute na wewe unakula hapo hapo kwenye iyo laki 7, bado upate na faida juu... aisee inakua vigumu.
Nadhani kuna biashara zinazohitaji mitaji midogo ungeweza kuanza na hizo ili ukuze mtaji wako taratibu then baadae ndio uingie kwenye hiyo biashara ya mchele. Ukitafuta humu jukwaani kuna nyuzi nyingi zinatoa miongozo.Ni ngumu sana mkuu, kwa idea yako ya biashara unafikiri nifanye nini kwa huo mtaji?
Siyo kweli...acha kutia mtu uoga kama uliwahi kuferi ni wewe,shamba lina maisha kuliko ajira nyingi kwa 80%. Mnachokosea ni kudhani shamba linamfaidisha mkulima kwa miaka miwili lakini kumbe ni la hashaKulima ndio umefeli kabisa
Kwa soko la nje sawa lakini la ndani, hata uwe na mtaji mkubwa lakini kama huna store yako ya kuuzia bado ni mtihani!!kwani tatizo linaanzia kwa wenye store, unamuachia mzigo na bei yeye anakuja kukwambia bwana hii bei kwa sasa sokoni ni ngumu kwani kuna mchele mzuri zaidi ya huu bei yake ipo chini zaidi, unakubali punguza kidogo, yeye huko hapunguzi, ile inakuwa yake, mnaenda tena anasema bwana leo yameingia mawe hayo ni balaa, huu wako kwa bei hii hautauza!!wenye store zao sawa.kuna ubababishaji sana kwenye hii biashara na faida yake ni ndogo sana hivyo kidogo tu umeumiaWenye mitaji mikubwa ndio wanafaidika mkuu
Inategemea na muda!!ukiwa mrefu sana utaharibika, labda mpungaUzuri wa mchele unatakiwa uwe na mtaji..
Chukua mchele unakuwa unapandia mezani..mchele unapanda wakati wewe unao wa akiba
Mkuu kwa congo mchele unapeleka uvira ama maeneo gani?Kwa soko la nje sawa lakini la ndani, hata uwe na mtaji mkubwa lakini kama huna store yako ya kuuzia bado ni mtihani!!kwani tatizo linaanzia kwa wenye store, unamuachia mzigo na bei yeye anakuja kukwambia bwana hii bei kwa sasa sokoni ni ngumu kwani kuna mchele mzuri zaidi ya huu bei yake ipo chini zaidi, unakubali punguza kidogo, yeye huko hapunguzi, ile inakuwa yake, mnaenda tena anasema bwana leo yameingia mawe hayo ni balaa, huu wako kwa bei hii hautauza!!wenye store zao sawa.kuna ubababishaji sana kwenye hii biashara na faida yake ni ndogo sana hivyo kidogo tu umeumia
Uvira, ila nimepumzika kwanza changamoto ni nyingi sana, na mateso sana, japo kifaida kipo lakini, kunahitaji calculation, nyingin sana, kama, za kutengeneza bomu la nyuklia!!lasivyo unalipuka!!Mkuu kwa congo mchele unapeleka uvira ama maeneo gani?
safi nimefika pale kwenye pwani ya uvira kwenye lile soko sijui na wewe unafnyia biashara yako hapo ndugu?Uvira
Ya ni soko la maendeleo hapo uvira, japo nilikuwa na mpango wa kufika hadi BUKAVU,safi nimefika pale kwenye pwani ya uvira kwenye lile soko sijui na wewe unafnyia biashara yako hapo ndugu?
Safi sana siku nikianza mishe za congo nitakucheki Mdau vipi Mama Riziki unamfahamu aise maana kipindi kile ndiye nilikua nampelekea mzigo sijui anapatikana mpaka sasa pale sokoni?Ya ni soko la maendeleo hapo uvira, japo nilikuwa na mpango wa kufika hadi BUKAVU,