Ushuhuda kutoka kwa Shehe Omari Mnyeshani

Hawa wanaojiita wachawi hakuna cha uchawi wala nini, hao ni wajanja fulani tu wa kuunganisha dot na kucheza vizuri na historia.

Kwenye hili la waziri mkuu kutokuwa raisi, Ukiangalia historia ya Tanganyika baada ya uhuru ni kweli hakuna waziri mkuu aliyewahi kuwa raisi.
Sasa kwenye uhalisia huo unaweza kutengeneza hadithi lukuki za kimtizamo (dini, uchawi, laana n,k) na watu wakaamini.

Kwa hiyo huyu naye ni wale wale wa kurubuni watu kwa story za kutunga kwa ajili ya maslahi yao binafsi.
Kwani Nyerere hajawahi kuwa Waziri Mkuu?
Hizi njaa na network inakataga kichwani kwangu
 
Maamuzi hayo waliyafanya wakati tayari Nyerere keshakuwa Raisi.

Maana yeke kuanzia Nyerere kuja hadi leo.
Sasa sijui kama bado wana uamuzi huo huo hadi hii leo.
Ila bado wapo warithi wao.
 
Kwani Nyerere hajawahi kuwa Waziri Mkuu?
Hizi njaa na network inakataga kichwani kwangu
Hayo maamuzi yaliyofanywa na wachawi kwenye hilo tambiko hayakuwa na uwezo wa kumwathiri Nyerere. Alishakuwa Raisi.
Lingewahusus akina Kawawa na wengine wote waliofuatia, mpaka Kassim Majaliwa. Maana yake, kama hayo maagano hayajabatilishwa, Majaliwa hataweza kuwa Rais wa JMT. Labda kama atakuwa na nguvu kubwa zaidi (za Mungu au za kichawi) kuzidi za wachawi waliolifanya tambiko lililoweka hilo katazo.
 
Tambiko la Lindi

Basi timu ya Wachawi 100, iliendelea na Msafara toka DSM kuelekea Lindi Kichawi.
Msoma dua aliendelea kusoma Dua huku anayumbayumba kwa nguvu za Giza.

Hatimaye wakafika sehemu husika ya kupiga Kafara.
Wakazunguka hilo eneo na Dua ikaendelea.

Ghafla eneo kama la robo heka hivi likazama na kuwa shimo kubwa na refu kwenda chini
Yaani Ardhi ilichemka na kutitia ndani kama volcano hole.
Ukichungulia ndani ni Giza tupu.

Dua ikaendelea kusomwa huku msoma Dua akiwa ameshikiliwa na michawi yenzake.

Kwanza zikatumbukizwa Mbegu za mazao yote humo shimoni, mazao yanayopatikani hapa Nchini.

Pili ikatokea kila mnyama wa hapa nchini awe wa kufugwa au wa porini waliongozana na kutumbukia mle shimoni, wanyama, wadudu, ndege na viumbe hai vya aina zote.
Vinaletwa kimoja kimoja kama vina swagwa vile.

Inasimuliwa, Viumbe hai vilipo malizika ikaja zamu kwa Binadamu.

Inasemwa kila aina ya Binadamu walikuja mmoja mmoja na kutumbukia Shimoni. Binadamu wa race zote na gender zake duniani.

Walipokwisha tumbukia Binadamu, mwisho kabisa akatumbukia msoma Dua na shimo likajifunga kama zamani.

Hii ni kwasababu Wachawi hao walitoa Sadaka kwa Shetani kila kitu kilicho juu ya Ardhi Chenye Uhai kwa lengo la kapata uwezo wa kuviyawala hivyo vitu Kichawi.

Yaani akija Mjapani hapa nchini basi anakuwa chini Yao kwakuwa washamtoa Sadaka tayari. Mazao yote yanakuwa chini ya utawala wao na viumbe vingine vyote.

Baada ya Kumaliza Hilo Dua na msoma Dua kutumbukia Shimoni for good, safari ya kurudi DSM ikaanza hadi wakutane kwenye kituo walicho kutania.

Ila ilikuwa ni Mwiko kurudi katika njia walio endea.
Hivyo walitakiwa kuzunguka kupitia Tunduru, Songea na kurudi kwa njia ya Iringa.

Walipofika Madaba kalibu na Njombe inasemwa walikutana na uzio wa Moto mkali sana na kushindwa kupita hivyo wengine ikabidi watumie njia ya Ifakara kuukwepa huo moto, wengine walikwepea upande mwingine.
Nadhani Ulikuwa Moto wa Kimungu.

Hatimaye wakafika DSM huku wengine kadhaa wakifia njiani na kushindwa kufika DSM.

Msimuliaji anasema eneo walilofanyia Kafara Bado lipo na linahitaji watu wenye Nguvu za Kimungu waende Kulizindua na kuiua nguvu yake ya Kishetani.
Panahitajika Nguvu kubwa kama ile ya Madaba, Njombe.

Msimuliaji analijua eneo na Bado lipo tupu halijajengwa jengo. Linatakiwa kununuliwa kama kiwanja halafu Kulizindua.

Mwisho wa kunukuu.
 
Unafikiri binadamu wanaweza kuishi bila mazindiko na wakawa salama?
 
Big up mkuu!
Uko vizuri sana kwenye usimuliaji!

Lakini wewe unafikirije, ayasemayo huyo "mchawi" wa zamani yanaweza yakawa na ukweli?

Nimekuwa na maoni yanayopingana, kwamba kama ni mkweli, kwa nini watu wanaomwamini Mungu wasimtafute ili washirikane naye kuvunja hayo maagano?

Lakini kama si kweli, kwa nini vyombo vya dola visimchukulie hatua kwa kuizushia nchi uongo kuwa inatawaliwa na nguvu za giza?
 
Uchawi hauminiwi na Serikali.
Ni kama Dini isivyokuwa na mashiko katika uendeshaji wa Serikali.
Kuhusu masimulizi ya Ukweli mimi sifahamu sina ushahidi mimi ni msikilizaji tu.

Kuhusu kuvunja Hilo zindiko ni kuwa kunahitajika Nguvu kubwa ya Kimungu na wahusika waamini na kukubali Hilo Jukumu Zito.
 
Mkuu, unaweza ukaongezea maelezo kidogo kuhusu DUA YA KIKWETE? Sijawahi kuisikia.
Kipindi Kikwete akiwa ktk kampeni nafkiri ni u chaguzi wake wa pili ule alionaguka Jangwani kitu kama hicho. Kuna mtu alisema hamna kitu hapo Dua aliyofanyiwa ilikuwa kubwa sana. Waliitwa wapiga Dua maarufu wa Pwani yote ya Tanzania bara na visiwani. Msimuliaji anasema shehe Yahaya pia alikuwepo. Lakini anasimulia Dua iliangushwa na jamaa anatokea Mbagala ilikuwa si mchezo. Jamaa alishusha kiumbe kikakaa ktk bega la Kikwete. Basi jamaa akampa mkono akamwambia nenda kazi imeesha na Dua zote zikaishia hapo.
Hivyo siki Kikwete anaanguka Jangwani jamaa akasema hamna kitu pale ni mambo ya afya siyo mazingara ndo akaanza kutuhadithia hiyo Dua ambayo na yeye alishiriki kwa maelezo yake.
 
Aisee!

Kwa hiyo Kikwete alishushiwa jini?

Ama ni jini au malaika!

Lipi jibu sahihi?
 
Hawa wanaojiita wachawi hakuna cha uchawi wala nini, hao ni wajanja fulani tu wa kuunganisha dot na kucheza vizuri na historia.

Kwenye hili la waziri mkuu kutokuwa raisi, Ukiangalia historia ya Tanganyika baada ya uhuru ni kweli hakuna waziri mkuu aliyewahi kuwa raisi.
Sasa kwenye uhalisia huo unaweza kutengeneza hadithi lukuki za kimtizamo (dini, uchawi, laana n,k) na watu wakaamini.

Kwa hiyo huyu naye ni wale wale wa kurubuni watu kwa story za kutunga kwa ajili ya maslahi yao binafsi.
Mbona Nyerere ndiye wazir mkuu wa kwanza wa, Tanganyika na alikuja kuwa, Rais. kama ulivyosema wanaunga dot tu hawa.
 
Upuuzi mtupu,watu wanakula mihogo non stop unadhani cyanide itawaacha,watu wanakula michumvi ambayo haina iodine akili waikute wapi?.Hakuna mchawi hapo anaunga kuu doti ili apate umaarufu.
 
Mbona Nyerere ndiye wazir mkuu wa kwanza wa, Tanganyika na alikuja kuwa, Rais. kama ulivyosema wanaunga dot tu hawa.
Kuna mjumbe kauliza swali kama lako huko juu na kapata Jibu sahihi, soma hapo Juu.
 
Juzi tu tulizindua sgr usiku na kuweka kiatu na mtoto
 
Uchawi hauminiwi na Serikali.
Ni kama Dini isivyokuwa na mashiko katika uendeshaji wa Serikali.
Kuhusu masimulizi ya Ukweli mimi sifahamu sina ushahidi mimi ni msikilizaji tu.

Kuhusu kuvunja Hilo zindiko ni kuwa kunahitajika Nguvu kubwa ya Kimungu na wahusika waamini na kukubali Hilo Jukumu Zito.
🙏🙏🙏
 
Mbona Nyerere ndiye wazir mkuu wa kwanza wa, Tanganyika na alikuja kuwa, Rais. kama ulivyosema wanaunga dot tu hawa.
Wakati hilo tambiko linafanyika Nyerere alikuwa ameshastaafu Urais, kwa hiyo halikuwa linamuhusu yeye. Lingemkwamisha kama lingefanyika kabla ya Nyerere kutoka kwenye Uwaziri Mkuu na kuingia kwenye Urais.
 
Back
Top Bottom