Afta
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 469
- 724
Mkristo aliye nje ya ukatoloki.Mlokolendio wapoje hao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkristo aliye nje ya ukatoloki.Mlokolendio wapoje hao?
Mkuu, unaweza ukaongezea maelezo kidogo kuhusu DUA YA KIKWETE? Sijawahi kuisikia.Siku hizi hawaiti tambiko. Inaitwa Dua. Pia kulikuwa na Dua ya Kikwete hapa DSM.
Kwani Nyerere hajawahi kuwa Waziri Mkuu?Hawa wanaojiita wachawi hakuna cha uchawi wala nini, hao ni wajanja fulani tu wa kuunganisha dot na kucheza vizuri na historia.
Kwenye hili la waziri mkuu kutokuwa raisi, Ukiangalia historia ya Tanganyika baada ya uhuru ni kweli hakuna waziri mkuu aliyewahi kuwa raisi.
Sasa kwenye uhalisia huo unaweza kutengeneza hadithi lukuki za kimtizamo (dini, uchawi, laana n,k) na watu wakaamini.
Kwa hiyo huyu naye ni wale wale wa kurubuni watu kwa story za kutunga kwa ajili ya maslahi yao binafsi.
Maamuzi hayo waliyafanya wakati tayari Nyerere keshakuwa Raisi.Kwani Nyerere hajawahi kuwa Waziri Mkuu?
Hizi njaa na network inakataga kichwani kwangu
Hayo maamuzi yaliyofanywa na wachawi kwenye hilo tambiko hayakuwa na uwezo wa kumwathiri Nyerere. Alishakuwa Raisi.Kwani Nyerere hajawahi kuwa Waziri Mkuu?
Hizi njaa na network inakataga kichwani kwangu
Unafikiri binadamu wanaweza kuishi bila mazindiko na wakawa salama?Tambiko la Lindi
Basi timu ya Wachawi 100, iliendelea na Msafara toka DSM kuelekea Lindi Kichawi.
Msoma dua aliendelea kusoma Dua huku anayumbayumba kwa nguvu za Giza.
Hatimaye wakafika sehemu husika ya kupiga Kafara.
Wakazunguka hilo eneo na Dua ikaendelea.
Ghafla eneo kama la robo heka hivi likazama na kuwa shimo kubwa na refu kwenda chini
Yaani Ardhi ilichemka na kutitia ndani kama volcano hole.
Ukichungulia ndani ni Giza tupu.
Dua ikaendelea kusomwa huku msoma Dua akiwa ameshikiliwa na michawi yenzake.
Kwanza zikatumbukizwa Mbegu za mazao yote humo shimoni, mazao yanayopatikani hapa Nchini.
Pili ikatokea kila mnyama wa hapa nchini awe wa kufugwa au wa porini waliongozana na kutumbukia mle shimoni, wanyama, wadudu, ndege na viumbe hai vya aina zote.
Vinaletwa kimoja kimoja kama vina swagwa vile.
Inasimuliwa, Viumbe hai vilipo malizika ikaja zamu kwa Binadamu.
Inasemwa kila aina ya Binadamu walikuja mmoja mmoja na kutumbukia Shimoni. Binadamu wa race zote na gender zake duniani.
Walipokwisha tumbukia Binadamu, mwisho kabisa akatumbukia msoma Dua na shimo likajifunga kama zamani.
Hii ni kwasababu Wachawi hao walitoa Sadaka kwa Shetani kila kitu kilicho juu ya Ardhi Chenye Uhai kwa lengo la kapata uwezo wa kuviyawala hivyo vitu Kichawi.
Yaani akija Mjapani hapa nchini basi anakuwa chini Yao kwakuwa washamtoa Sadaka tayari. Mazao yote yanakuwa chini ya utawala wao na viumbe vingine vyote.
Baada ya Kumaliza Hilo Dua na msoma Dua kutumbukia Shimoni for good, safari ya kurudi DSM ikaanza hadi wakutane kwenye kituo walicho kutania.
Ila ilikuwa ni Mwiko kurudi katika njia walio endea.
Hivyo walitakiwa kuzunguka kupitia Tunduru, Songea na kurudi kwa njia ya Iringa.
Walipofika Madaba kalibu na Njombe inasemwa walikutana na uzio wa Moto mkali sana na kushindwa kupita hivyo wengine ikabidi watumie njia ya Ifakara kuukwepa huo moto, wengine walikwepea upande mwingine.
Nadhani Ulikuwa Moto wa Kimungu.
Hatimaye wakafika DSM huku wengine kadhaa wakifia njiani na kushindwa kufika DSM.
Msimuliaji anasema eneo walilofanyia Kafara Bado lipo na linahitaji watu wenye Nguvu za Kimungu waende Kulizindua na kuiua nguvu yake ya Kishetani.
Panahitajika Nguvu kubwa kama ile ya Madaba, Njombe.
Msimuliaji analijua eneo na Bado lipo tupu halijajengwa jengo. Linatakiwa kununuliwa kama kiwanja halafu Kulizindua.
Mwisho wa kunukuu.
Big up mkuu!Tambiko la Lindi

Wanaweza kama watamtegemea na kufuata mafundisho ya Mungu Muumba Mbingu na Nchi.Unafikiri binadamu wanaweza kuishi bila mazindiko na wakawa salama?
Uchawi hauminiwi na Serikali.Big up mkuu!
Uko vizuri sana kwenye usimuliaji!
Lakini wewe unafikirije, ayasemayo huyo "mchawi" wa zamani yanaweza yakawa na ukweli?
Nimekuwa na maoni yanayopingana, kwamba kama ni mkweli, kwa nini watu wanaomwamini Mungu wasimtafute ili washirikane naye kuvunja hayo maagano?
Lakini kama si kweli, kwa nini vyombo vya dola visimchukulie hatua kwa kuizushia nchi uongo kuwa inatawaliwa na nguvu za giza?
Kipindi Kikwete akiwa ktk kampeni nafkiri ni u chaguzi wake wa pili ule alionaguka Jangwani kitu kama hicho. Kuna mtu alisema hamna kitu hapo Dua aliyofanyiwa ilikuwa kubwa sana. Waliitwa wapiga Dua maarufu wa Pwani yote ya Tanzania bara na visiwani. Msimuliaji anasema shehe Yahaya pia alikuwepo. Lakini anasimulia Dua iliangushwa na jamaa anatokea Mbagala ilikuwa si mchezo. Jamaa alishusha kiumbe kikakaa ktk bega la Kikwete. Basi jamaa akampa mkono akamwambia nenda kazi imeesha na Dua zote zikaishia hapo.Mkuu, unaweza ukaongezea maelezo kidogo kuhusu DUA YA KIKWETE? Sijawahi kuisikia.
Aisee!Kipindi Kikwete akiwa ktk kampeni nafkiri ni u chaguzi wake wa pili ule alionaguka Jangwani kitu kama hicho. Kuna mtu alisema hamna kitu hapo Dua aliyofanyiwa ilikuwa kubwa sana. Waliitwa wapiga Dua maarufu wa Pwani yote ya Tanzania bara na visiwani. Msimuliaji anasema shehe Yahaya pia alikuwepo. Lakini anasimulia Dua iliangushwa na jamaa anatokea Mbagala ilikuwa si mchezo. Jamaa alishusha kiumbe kikakaa ktk bega la Kikwete. Basi jamaa akampa mkono akamwambia nenda kazi imeesha na Dua zote zikaishia hapo.
Hivyo siki Kikwete anaanguka Jangwani jamaa akasema hamna kitu pale ni mambo ya afya siyo mazingara ndo akaanza kutuhadithia hiyo Dua ambayo na yeye alishiriki kwa maelezo yake.
Mbona Nyerere ndiye wazir mkuu wa kwanza wa, Tanganyika na alikuja kuwa, Rais. kama ulivyosema wanaunga dot tu hawa.Hawa wanaojiita wachawi hakuna cha uchawi wala nini, hao ni wajanja fulani tu wa kuunganisha dot na kucheza vizuri na historia.
Kwenye hili la waziri mkuu kutokuwa raisi, Ukiangalia historia ya Tanganyika baada ya uhuru ni kweli hakuna waziri mkuu aliyewahi kuwa raisi.
Sasa kwenye uhalisia huo unaweza kutengeneza hadithi lukuki za kimtizamo (dini, uchawi, laana n,k) na watu wakaamini.
Kwa hiyo huyu naye ni wale wale wa kurubuni watu kwa story za kutunga kwa ajili ya maslahi yao binafsi.
[emoji817][emoji817]Umasikini wa watanzania ni kafara lililofanywa na ccm.
Ccm ni muunganiko wa vyama vya kichawi mwaka 1977.
Kuna mjumbe kauliza swali kama lako huko juu na kapata Jibu sahihi, soma hapo Juu.Mbona Nyerere ndiye wazir mkuu wa kwanza wa, Tanganyika na alikuja kuwa, Rais. kama ulivyosema wanaunga dot tu hawa.
🙏🙏🙏Uchawi hauminiwi na Serikali.
Ni kama Dini isivyokuwa na mashiko katika uendeshaji wa Serikali.
Kuhusu masimulizi ya Ukweli mimi sifahamu sina ushahidi mimi ni msikilizaji tu.
Kuhusu kuvunja Hilo zindiko ni kuwa kunahitajika Nguvu kubwa ya Kimungu na wahusika waamini na kukubali Hilo Jukumu Zito.
Wakati hilo tambiko linafanyika Nyerere alikuwa ameshastaafu Urais, kwa hiyo halikuwa linamuhusu yeye. Lingemkwamisha kama lingefanyika kabla ya Nyerere kutoka kwenye Uwaziri Mkuu na kuingia kwenye Urais.Mbona Nyerere ndiye wazir mkuu wa kwanza wa, Tanganyika na alikuja kuwa, Rais. kama ulivyosema wanaunga dot tu hawa.