Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

huyu Mama mleta hoja kama atarudi tena mnishtue /tag
huenda ni hasira tu saa hizi anapokea shuluba ya furaha yake sisi tunaendelea kumpa ushauri
Ndoa bwana haiingilia wakipatana tutabaki na aibu e .............
 
Ulisoma ili nia mojawapo ni uweze kuendesha maisha yako. Mwanamke amka na uchakarike, umesoma kwa nini ikiwa huwezi kujisimamia mwenyewe? Unakufa kwa ndani, kisa mwanaume? Hii ni aibu!
 
huyu Mama m;eta hoja kama atarudi tena nishtue /tag
huenda ni hasira tu saa hizi anapokea furaha yake sisi tunampa ushauri
Ndoa bwana haiingilia wakipatana tutabaki na aibu e .............
😆😆😆Kwamba huenda anatuchora tuu tunavo bwabwajuka
 
Yaani we acha tu inauma basi tu saa zingine twayaacha yatokee kwani wengine hujifunza kutoka kwetu.
 
Hyo ni njia nzuri na hamchokani bwana, hizi mambo za I love till death do us apart zimefanya watu waishi vibaya kila siku ugomvi cheating Hadi mda mwingine kuuana au kukatana viungo vya mwili
 
Ndugu wana jf...naendelea kusoma maoni yenu..nashukuru sana wengi mmenitia moyo...na nimefarijika sana na ushauri wenu..
Naomba niseme kua simchukii kabisa muhusika, mapenzi yetu yalijengeka kwwnye msingi imara wa upendo...
Ila baada ya miaka 11 ya ndoa nimekuja fahamu siwezi kumpa furaha wala yeye hajali furaha yangu..nimekuja kufaham kua yaliyotokea ni kwa sababu kuna vitu fulani havimo tena ndani yangu...na ni nje ya uwezo wangu..hapa wanawake wenzangu mmenielewa..
Mpaka sasa nimeamua kubaki kwa ajili ya watoto tuu...ila kusema ukweli ninapata maumivu mazito
 
Pole sana...
Hatuwezi ipanga furaha ya kesho yetu, ila twajitia ujasiri kila kukichapo kuwa kesho iwe ya Amani na furaha (Amen)
 
Ulivyoona kaleta magunia mawili ya mkaa nyumbani ndo umeogola? Usiogope bana
 
Ok mm nimeshakuelewa, na hii inantutokea sana hasa wake wetu wanapofikia hatua fulani za toweza kuendelea tena kuongeza familia kutokana na ajali, maradhi au ukomo
hamu na hisia hupungua, lkn inatupasa kuwa karibu sana na wake wetu.
Kwa ushauri wangu vumilia kaa na watoto na wala usithubutu kulipa kisasi, ni kwamba mwanamume yeyote mwenye wivu sana hatakubali chochote cha revange
 
Baada ya jukwaa letu pendwa kufutwa naona sasa hivi umehamishia majeshi ya technique advise huku mkuu!
 
Wewe Acha ku complicate maisha na kujinyima Raha. Life is alot more than relying on someone to make you happy.

Wanawake tuna tatizo moja when we get married. We eat, live and breathe our men. We live for our kids. We rely on our husbands to make us happy. We cannot go the extra mile to make us happy. We do not make our special meals or take ourselves out for us. Everything we do, we do it for our men.

Betrayal hurts, na Ni rahisi kujilaumu labda aiko hivi ndo maana amecheat. Labda Sina tako... Ama Nina tako but why amecheat.

Nothing remains the same except time itself. Hata mapenzi ya we deep vipi with time it gets eroded. So usijilaumu. Lia unavyoweza but make sure once those years dry up you will never cry again. Then the journey to recovery and ultimate self love begins.
 
Tabia hurithiwa, inawezekana ulilelewa na upande mmoja/mzazi mmoja hasa wa kike. Amini hata mwanaume aweje unconditionally utatafuta njia ya kubreak up! Na ndivyo itavyokuwa kwa mtoto/watoto wako wa kike nao watarithi 'furaha' na uhuru' uliokuwa nao kama mwanamke asiye na ndoa.

Samahani kama nimekujaji isivyo. Just a precaution
 

Behaviourist

wanalirekebisha kumbe hajaona mahali? , naona ni hizi siasa, nikiliona nitakuTAG
nimefurahi huyu mama hajatoka kwa jamaa, tukimshauri zaidi atakamata usukani wake aendeshe mwenyewe
 
Nimelia sana nilivyosoma comment yako...mume wangu was my best everyything...my hero...kwakweli nilikosea sana...kuna familia moja jirani nilikua namlaumu yule dada anavyoishi na mume wake kimoyomoyo nilikua naona hampendi au kumpa heshima anayostahili mume wake....baadae ndio nimekuja kujua kwanini
 
Cry as much as you want but never cry again. Sisi wanawake machozi yalikaukia labor. Jifute vumbi, you are down but not out. From now on your happiness depends on you.

Do you love coffee, take yourself out for coffee. Movies? Go out for movies. Go for a walk. I remember you are not working so jiwekee muda from jioni leo 4:30 p.m go for a walk. Wear comfortable shoes and just walk. Nowhere in particular just keep walking. Look around at how beautiful nature is, take a deep breath, let it out... Smile.

Whatever makes you happy go for it.


Put yourself first from now on. As long as the kids are okay and as long your role as a Mother and a wife are in place then you have no reason not be spoil yourself. Take better care of yourself.
 
Jifunze hisia za wanaume acha kubisha Msubhat...tuna vitu tunavyoweka moyoni kutokana na matendo na kauli zenu ambavyo ukieleza kwa watu (mmojawapo wewe) vinaweza onekana 'upuuzi'

Hapo ndipo tunatafuta alternative....Mara nyingi sio nzuri. Aidha tukae kimya au tutafute mbadala.
 
Huo mda wa kujifunza hisia za binadamu mwingine Sina badala nijipe Raha na furaha niwe namsoma hisia yeye ni kitabu, Bora tu akafanye umalaya wake huko na sio Mimi kujihangaisha kumfuraisha mtu
 
Angeongea nae kwa ustaarabu kuhusu kitambi tena wakiwa chumbani jamaa angemuelewa vyema Sana, siyo kumdhalilisha mbele za watu, kuropoka kulimfanya ale spana
 
How old are you? It's either you are inexperienced or bitter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…