Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
huyu Mama mleta hoja kama atarudi tena mnishtue /tagSikia ndg yangu Unajua unapoandika story nusu Kuna shida wale watakaokujibu wataeleza kulingana na mtu alivoelewa au anahisi kwa maelezo yako huenda ukawa na shida hi na hii..
Sasa hapo Ni ngumu kupata suluhu muafaka la tatizo lako... Mfano mmoja amesema huenda mme wako umemfuma analiwa haja Sasa mtu Kama huyo unategemea atakushauli nn zaidi ya kukwambia Muachane😒
Na Ni kweli Yupo sahihi kwasababu hujanyoosha maelezo na tatizo lako halijafahamika na amejibu kwa kudhani kwamba huenda ikawa ndo tatizo lako...
Degree holder your Matured enough We funguka watu tuna matatizo adi shetani anatuonea huruma na Bado tunapeta.🤝
huenda ni hasira tu saa hizi anapokea shuluba ya furaha yake sisi tunaendelea kumpa ushauri
Ndoa bwana haiingilia wakipatana tutabaki na aibu e .............