Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleh mpenziAhsante sana...nakufa ndani taratibu...ni degree holder sina kazi basi i am dying. Nimekata tamaa sana.....mume wangu sio type ya wanaume wa kukaaa na kuafiki muafaka..ni mtu wa excuses so hatufikii conclusion...sijaeleza ndugu yangu hata moja...hii ni kumstiri
Hahahah pengine pengineUmemfumania mumeo na mwanaume nini? Maana sijui kama kuna kubwa zaidi ya hilo
Pole sana, usaliti ni tatizo kubwa na halipaswi kuvumiliwa haswa kama ni jambo linalo jirudia, ushauri wangu :Kwakweli kuelezea kila kilichotekea nitareaveal identity za watu...ila kikubwa ni usaliti uliovuka mipaka..na yaliyotokana na usaliti ndio mazito zaidi...naombeni msaaada juu ua uzoefu wenu...mimi na mume wangu hatuwezi kurudi kama mwanzo...
Achaneni tu. Time heals. Kuliko watoto kukua kwenye nyumba ya ugomvi kila siku bora muachane au mnataka mpaka mpigane vitu vizito vichwani?Kwakweli kuelezea kila kilichotekea nitareaveal identity za watu...ila kikubwa ni usaliti uliovuka mipaka..na yaliyotokana na usaliti ndio mazito zaidi...naombeni msaaada juu ua uzoefu wenu...mimi na mume wangu hatuwezi kurudi kama mwanzo...
Tafuta shughuli ya kufanya ili ujikeep busy, shughuli yoyote hata kulima bustani pembeni ya nyumba ukapanda mboga mboga, au biashara yoyote tu itakayokufanya uamke alfajir na kurudi jioni. Hii pia ni tibaAhsante sana...nakufa ndani taratibu...ni degree holder sina kazi basi i am dying. Nimekata tamaa sana.....mume wangu sio type ya wanaume wa kukaaa na kuafiki muafaka..ni mtu wa excuses so hatufikii conclusion...sijaeleza ndugu yangu hata moja...hii ni kumstiri
Hahahah pengine pengine
Hata kushindwa kumueleza Ndugu wa Mume Mmoja wap
Uamuzi unao wewe.Nawasalimu sana ndugu wana JF.
Kwakweli lengo la ndoa ni kuishi pamoja kwa uaminifu na upendo na kulea familia pamoja.
Nafaham humu kuna watu wenye calibre tofauti na uwezo wa hali ya juu kupambanua mambo kutokana na experience...
Naomba experience yenu, je ilikua rahisi kuanza upya? Kwenda mahakamani kutoa talaka rasmi imeshindikana kabisa..ninachotaka ni kutengana kwa muda napo imeshindikana..hapo more than three children kwenye ndoa wapo involved, ten years na wengine below .simchukii kabisa mume lakini forgiving and forgetting what happened nashindwa kabisa..imani haipo Yarabi tena...nimekata tamaa kabisa...
Imefikia kipindi natafuta kazi mikoani ili nipone moyo...jamani wenzangu mliwezaje...sijashare na ndugu yangu hata mmoja....nikiwaeleza kila kitu watamchukia na they will never forgive him...
Nimeamua kumstiri mume wangu..sijaandika kila kitu ila baadhi yenu ni wanaume ila mngeumia sana na kutoa chozi...ndoa yetu ni ya serikali...naomba experience yenu especially kwa nyie mliokua na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya..
Njoo inbox hutajuta kwa ushauri! U will experience joyfully moment!Yaliyotokana na tukio yalipelekea tukio la ugomvi mkubwa mkubwa sana kama two weeks ago.. Ndio maana. Naogopa kueleza sana maana mashuhuda iam sure wengi ni jf members kutokana na neighbohood ugomvi uliotokea...wengine wanaweza kuja na hints hapa...mimi nimeamua kujitenga mbali na muhusika ili moyo upone..ila bado imekua ngumu kuna watoto
Ahsante sana...nakufa ndani taratibu...ni degree holder sina kazi basi i am dying. Nimekata tamaa sana.....mume wangu sio type ya wanaume wa kukaaa na kuafiki muafaka..ni mtu wa excuses so hatufikii conclusion...sijaeleza ndugu yangu hata moja...hii ni kumstiri
@kadogooCate mahakamani ni mchakato kidogo sio suala la simple simple.Mbona mahakamani inawezekana kabisa na ni rahisi unless mmoja awe hataki, napo kama mmoja hataki mtapewa muda wa kutafakari maamuzi yenu then mrudi tena mahakamani.
Tafuta hakimu mahakama ya mwanzo muelezee shida yako atakwambia nini cha kufanya.
Pia unaweza kuondoka hapo mnapoishi, ukarudi nyumbani au ukapanga chumba, kama unahofia watoto unaondoka nao, unaenda kuanza maisha upya, japo sio rahisi ni strong woman tu ndo anaweza hii kitu
Mkuu suala la talaka ni la kisheria, huwezi kukwepa mchakato wake na kwa kweli ni jambo linalochukua muda na linaumiza hisia na hata uchumi, mleta mada anahitaji kupata ushauri wa kumuandaa kisaikolojia kama kweli amedhamiria kudai talaka@kadogooCate mahakamani ni mchakato kidogo sio suala la simple simple.
Una roho ngumu kwanini unavunja ndoa ya watuAchaneni tu. Time heals. Kuliko watoto kukua kwenye nyumba ya ugomvi kila siku bora muachane,au mnataka mpaka mpigane vitu vizito vichwani ?
Umemfumania mumeo na mwanaume nini? Maana sijui kama kuna kubwa zaidi ya hilo
[emoji3516]watu wanataka tu umbea hawana chochote cha zaidi,ishia hapo hapo kuwa mmeachana inatosha,unachoulizia ni uzoefu wa wengne walioptia njia kama yako kwahyo kausha zako watakuja yaliyowakuta watakusimulia.
hawa wanaotaka usimulie ilikuaje hawana lolote zaidi ya umbea na mwisho wakuvamie wewe wakwambie ndio ulizingua thread nzima igeuke kukuandama wewe.
ila kama utapenda andika yaliyokutokea kama wanavyodai waja,andika ila jua hawatosaidia chochote zaidi ya kukwambia "pole sana"