Nyoka mwenye makengezaa
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 787
- 1,054
Njoo inbox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkonowatu wanataka tu umbea hawana chochote cha zaidi,ishia hapo hapo kuwa mmeachana inatosha,unachoulizia ni uzoefu wa wengne walioptia njia kama yako kwahyo kausha zako watakuja yaliyowakuta watakusimulia.
hawa wanaotaka usimulie ilikuaje hawana lolote zaidi ya umbea na mwisho wakuvamie wewe wakwambie ndio ulizingua thread nzima igeuke kukuandama wewe.
ila kama utapenda andika yaliyokutokea kama wanavyodai waja,andika ila jua hawatosaidia chochote zaidi ya kukwambia "pole sana"
Kwamba tunamuuliza ili tuanze kumnanga!!!watu wanataka tu umbea hawana chochote cha zaidi,ishia hapo hapo kuwa mmeachana inatosha,unachoulizia ni uzoefu wa wengne walioptia njia kama yako kwahyo kausha zako watakuja yaliyowakuta watakusimulia.
hawa wanaotaka usimulie ilikuaje hawana lolote zaidi ya umbea na mwisho wakuvamie wewe wakwambie ndio ulizingua thread nzima igeuke kukuandama wewe.
ila kama utapenda andika yaliyokutokea kama wanavyodai waja,andika ila jua hawatosaidia chochote zaidi ya kukwambia "pole sana"
Uzito unakujaga pale ambapo hakuna communication kwenye ndoa. If the two of you cannot sit down to talk about your problems then it is very difficult to solve problems in your marriage.Usuluhishaji bora wa ndoa ni muhimu sana mke na mume wote wateme nyongo zao bila kuficha kitu kwenye kikao chao wenyewe kama wanandoa.
Na mara nyingi mkishindwa kuafikiana basi mlipeleke kwa kiongozi wa imani yenu, mkishindwana hapo mlipeleke kwa wazee wa pande zote mbili au mahakaman.
Binafsi mara kadhaa ndoa yang inapitia misuguano kadha wa kadha ila namshkuru Mungu huwa tunamalizaga wenyewe mimi na mama watoto hasa kila mmoja huwa muwazi na kufunguka yaliyo moyoni kwa lengo la kutafta nini hasa chanzo cha tatizo na huwa suluhu inapatikana.
Hivyo basi kukupa msaada kwa unayopitia hata ukituelezea hapa itakua tumepata malalamiko ya upande mmoja tu.
Hapana. Nilivyoona Ni kwamba huyu Dada anampenda mume wake. Na mume ni first offence Ila ni kubwa kiasi. Simshauri asepe kwa Sasa. Forgiveness heals. But first we need to know just what the issue is.Pole my dear ila you have to be strong Sana Kama umeona haiwezekani Tena beba wanao ondoka pigania furaha Kuna watu wanaishi kwenye magereza si ndoa Mimi kiukweli kitu chochote kitakachotaka kuniharibia furaha yangu nakiondoa haraka Sana kwenye maisha yangu napenda kua happy siwezi kukaa kwenye ndoa ya mateso never
I pray that she does not come to your inbox!Njoo inbox hutajuta kwa ushauri! U will experience joyfully moment!
lakinini Kama bado unampenda huyo bonge la bwana! Kama mmejenga gawaneni upande kila MTU aishi upande wake!
Lakini Kama Hilo huwezi! jipe mda, Rudi kwenu Kijijini Kama likizo ya matazamio! Hili litampa mda huyo mwanaume kuona umhimu wako, Kama atakufata kijijini msamehe tibia donda songa mbele; asipokuja kuiufuata Kijijini hiyo transition period itakupa majibu kuwa hupendwi!
kwahiyo utakuja kuomba talaka!
Note; Wakati wakuondoka kwenda kijijini usioneshe kuwa unataka talaka, coz jamaa atauza kila kitu afilisike ghafla ili mje kugawana vichache ambavyo havitakusaidia
Trust is like a broken glass. Once broken it cannot be the same again. But that does not mean that forgiveness cannot play it's part. People change... If he is cooperative you can go to therapy don't give up just yet.Kwakweli kuelezea kila kilichotekea nitareaveal identity za watu...ila kikubwa ni usaliti uliovuka mipaka..na yaliyotokana na usaliti ndio mazito zaidi...naombeni msaaada juu ua uzoefu wenu...mimi na mume wangu hatuwezi kurudi kama mwanzo...
Inawezekana upo sahihi but kumpa mtu ushauri bila kujua kilichotokea sio sahihi. Mfano anaposema usaliti dunia ya sasa imechafuka huwezi jua nature ya usaliti. Kuna usaliti wa kusamehe Kuna usaliti wa kusepa hapo hapo because lazima itakuwa na negative impact kwa watoto.watu wanataka tu umbea hawana chochote cha zaidi,ishia hapo hapo kuwa mmeachana inatosha,unachoulizia ni uzoefu wa wengne walioptia njia kama yako kwahyo kausha zako watakuja yaliyowakuta watakusimulia.
hawa wanaotaka usimulie ilikuaje hawana lolote zaidi ya umbea na mwisho wakuvamie wewe wakwambie ndio ulizingua thread nzima igeuke kukuandama wewe.
ila kama utapenda andika yaliyokutokea kama wanavyodai waja,andika ila jua hawatosaidia chochote zaidi ya kukwambia "pole sana"
Kwa kifupi huenda umeruka matope unaelekea kuogelea kinyesi. Ukiwaza sana chanzo cha mtu kuvunja mahusiano ni ubinafsi, unajiwazia mwenyewe na kusahau kuwa wewe ni sehemu ya furaha ya watoto wako. Kwanini usitulie kwa muda ndani ya ndoa yako hadi maumivu yaishe?Yaliyotokana na tukio yalipelekea tukio la ugomvi mkubwa mkubwa sana kama two weeks ago.. Ndio maana. Naogopa kueleza sana maana mashuhuda iam sure wengi ni jf members kutokana na neighbohood ugomvi uliotokea...wengine wanaweza kuja na hints hapa...mimi nimeamua kujitenga mbali na muhusika ili moyo upone..ila bado imekua ngumu kuna watoto
Furaha ndio kila kitu. Mimi mwenyewe ndoa imenishinda. Nimesepa na wanangu na nina furaha acha kabisa. Si kauliza tulio na uzoefu. Ndio nimempa uzoefu. Wanaume wa bongo wenyewe full michepuko, maugomvi. Bora kuwa mwenyewe kuliko kwenye ndoa iliyojaa masikitiko.Una roho ngumu kwanini unavunja ndoa ya watu
Haja zako unazitolea wapi ukishikwa na hamu?Furaha ndo kila kitu. Mimi mwenyewe ndoa imenishinda. Nimesepa na wanangu na nina furaha acha kabisa. Si kauliza tulio na uzoefu. Ndo nimempa uzoefu.Wanaume wa bongo wenyewe full michepuko,Maugomvi. Bora kuwa mwenyewe kuliko kwenye ndoa iliyojaa masikitiko.
Nawasalimu sana ndugu wana JF.
Kwakweli lengo la ndoa ni kuishi pamoja kwa uaminifu na upendo na kulea familia pamoja.
Nafaham humu kuna watu wenye calibre tofauti na uwezo wa hali ya juu kupambanua mambo kutokana na experience...
Naomba experience yenu, je ilikua rahisi kuanza upya? Kwenda mahakamani kutoa talaka rasmi imeshindikana kabisa..ninachotaka ni kutengana kwa muda napo imeshindikana..hapo more than three children kwenye ndoa wapo involved, ten years na wengine below .simchukii kabisa mume lakini forgiving and forgetting what happened nashindwa kabisa..imani haipo Yarabi tena...nimekata tamaa kabisa...
Imefikia kipindi natafuta kazi mikoani ili nipone moyo...jamani wenzangu mliwezaje...sijashare na ndugu yangu hata mmoja....nikiwaeleza kila kitu watamchukia na they will never forgive him...
Nimeamua kumstiri mume wangu..sijaandika kila kitu ila baadhi yenu ni wanaume ila mngeumia sana na kutoa chozi...ndoa yetu ni ya serikali...naomba experience yenu especially kwa nyie mliokua na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya..
Kuna ukweli unauficha ambao tungeanzia hapo..sasa ukisema mengine huwezi sema maana yake ushauli hautakusaidia chochote kwa sababu hautakidhi yote kulingana na uliyo yaficha kuyasema hapaNawasalimu sana ndugu wana JF.
Kwakweli lengo la ndoa ni kuishi pamoja kwa uaminifu na upendo na kulea familia pamoja.
Nafaham humu kuna watu wenye calibre tofauti na uwezo wa hali ya juu kupambanua mambo kutokana na experience...
Naomba experience yenu, je ilikua rahisi kuanza upya? Kwenda mahakamani kutoa talaka rasmi imeshindikana kabisa..ninachotaka ni kutengana kwa muda napo imeshindikana..hapo more than three children kwenye ndoa wapo involved, ten years na wengine below .simchukii kabisa mume lakini forgiving and forgetting what happened nashindwa kabisa..imani haipo Yarabi tena...nimekata tamaa kabisa...
Imefikia kipindi natafuta kazi mikoani ili nipone moyo...jamani wenzangu mliwezaje...sijashare na ndugu yangu hata mmoja....nikiwaeleza kila kitu watamchukia na they will never forgive him...
Nimeamua kumstiri mume wangu..sijaandika kila kitu ila baadhi yenu ni wanaume ila mngeumia sana na kutoa chozi...ndoa yetu ni ya serikali...naomba experience yenu especially kwa nyie mliokua na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya..
Najitolea mwenyewe.Haja zako unazitolea wapi ukishikwa na hamu?
Hahahaha.Umenishinda weye! Hahahahaha